1. Maguire muache tu ni mwamba
2. Rojo ni muhuni wa South America huko, nampenda anacheza jihad. Wale maforward wasumbufu anawapoteza sana, natamani amkabe Sterling. Anawatuliza mastriker wanaacha papara.MZURI SANA, HAREMBI.
3. RASHFORD NI MOTO.
4.MARTIAL AKATAFUTE TIMU NYINGINE, Timu kama Southampton itamfaa zaidi.
Maguire kasababisha goal la kusawazisha la Chelsea,
Beki zipo kama 5 hivi zina msindikiza jamaa.
Kazingua sana jana cant forgive him.
 
Kwa sasa hawa ndo wachezaji wetu,
OGS ndo kocha wetu
Man United ndo timu yetu

Timu inajengwa taratibu tayari tushaanza kupata wacheji mmoja mmoja ambao wanastahili kuvaa ule uzi i hope na wengine wataendelea kupatikana

GGMU
Nmependa hii comment.
 
Scott ni hatari sana yule dogo, anajua kukaba na kuanzisha mashambulizi.
hata dogo William jana amecheza vzr pia.. Martial ndio bado analeta urembo vitani.
William namuamini sana kuliko shaw kwa sasa utasema ana miaka 18 kwenda mbele ndo kwanza kana 17
 
Ingekuwa chelsea hajawah kufungwa na united point yako ingekuwa na mashiko

Herrera na pogba walikutandika mbili bila hapo darajani

Martial alikufunga 2 hapo darajani mkasawazisha dakika ya 96 huko ina maana mlikufa sioni jipya kwa chelsea

Mnafikir sisi ni ajax sio?
Ndugu uwe na heshima kwa ajax nadhani habari yao unayo sio suala la kuwataja taja juventus na Madrid sio team za mchezo kuinama mbele yao
 
Back
Top Bottom