Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,372
- 12,529
Tunaisubiri hiyo Tactical ije ifanye kazi tena ANFIELD.Nimewashangaa sana..yaani jamaa tumewakamata kinoma kwenye ile mechi na kama Ole angezidisha mtu mmoja kwenye midfield tulikuwa tunachukua point zetu tatu

