Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,878
- 32,801
Tim crul huwa tunamfunga kwa tabu kila mechi
Kwa wasiomjua Tim Krul kwenye kudaka/kutoa penati
Huyu ndio kwenye World Cup, zilipokuwa zinakaribia dakika za penati, kipa namba moja wa Uholanzi alitolewa ili kumpisha yeye akae katikati ya milingoti
Ila inauma sana kukosa penati
