Manure leo mnalala na viatu 5 bila majibu lazima mle
Mkuu unasema? |
Leo kafunga mkuu
Naona leo kageuka Ronaldo mkuu.😂 |
Hawa vibonde wa colchester tutapiga nyingi tu
Sasa hapa panahusika na nini? Si uende jukwaa lao ukatoe huu ujumbe kule nimekwambia muwaonee ajax ukasema nawakosea heshima vipi wewe hapa umeonesha heshima? Bongo bahat mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]City bingwa tena
Ile passion aliyokua nayo Herrera naiona kwa Daniel James.Namkubali DJ sana..hata asipotoa assist lakini unaona anapambana,anakimbia..A real United player
Wakati munaeka hio bet kulikuwa na kigezo cha penalty? Na akiendelea na hizi stats atafunga goli 20 mpaka 30 msimu huu.
Ilikuwa balaa tupu,Mechi kama vita ya Warumi na Zealots(Israel land)Hii ilikuwa ni vita aiseeeeh[emoji2][emoji2][emoji2]
City bingwa tena