Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona nishapigasana kelele humu enzi ya mou
Ona wenga kaondoka aseno kaacha timu nzuri plus mfumo mzuri unai sijui anafeli wapi tu kuleta ushindani kwa wenzie
mkuu unatafuta kipigo cha makusudi kutoka kwa timu fergie?
mimi sina mwili wa kukutetea
 
Tunakoelekea
Screenshot_20191011-093346~2.jpeg
 
Chevrolet kujiondoa kama mdhamini mkuu wa klabu ya man utd katika jezi pale mkataba wake utakapoisha 2021.Chevrolet wanaona wanalipa pesa nyingi saana wakati klabu yenyewe matokeo ya uwanjani ni mabovu.
Mkataba wao ulkuwa ni wa £400m kwa miaka 5.
As per reports elsewhere, manutd talking to alternative potential shirt sponsors. Almost certain Chevrolet will not renew. Club hopeful of matching terms. There is interest despite current problems.
 
Ndio maana mpaka leo namlaumu fergie kwa kuacha timu mbovu mno kwa wenzie.........
Fergie ni kocha anafukuzwa kama wengine.

Hana last say pale Old Trafford, ukongwe wa mafanikio unampa access ya kutoa ushauri pale anapohitajika.

Kuacha timu mbovu si kosa lake, kwasababu toka Moyes hadi Ole wote wamekuta timu mbovu na wamejaribu kusajili ila tatizo likawa kwa Ed na wamiliki.

Kwa matatizo ya United toka SAF aondoke, 70% inamuangukia ED moja kwa moja kwa kutotoa support inayohitajika kwenye usajili na 30% inaangukia makocha, kwa kutokutumia mbinu sahihi ya kuwatumia hao wachezaji wanaopata.
 
Toka Peter Kenyon alipoondoka Man united usajili wa man united ulikuwa tia maji tia maji na wengi waliosajiliwa hawakufikia malengo ya club.

Ferguson katika kipindi chake Man united kuanzia 2006 mpaka alipostaafu alikuwa anabebwa na mambo kadhaa ndiyo maana timu yake ilionekana bora japo haikuwa bora sana.
1 EPL haikuwa na ushindani mkubwa sana kama sasa kipindi hicho Man city haikuwa title contender wala haikuwa top four contender, Tottenham haikuwa title contender wala top four contender, arsenal baada ya invincible squad yao hawajawahi kurudi kwenye ubora ule tena. Unaweza kuona kuibuka kwa Chelsea ilikuwa surprise package kwa Ferguson.

2 Alikuwa na bahati ya kuwa na strong personality kwenye squad yake kuliko hawa waliopo, Giggs, Neville, Scholes, Carrick, Fletcher, Fendinarnd, Evra, Rooney , Van De Sar Rafael, etc hawa ni watu ambao ukiwa nao kwenye kikosi unakuwa na 60% ya ushindi kabla hata ya kuingia uwanjani.

3 uwekezaji kwenye vilabu vingi ulikuwa mdogo sana na hata zilizokuwa na uwekezaji hazikuweza kushindana na man united kutokana na sababu nilizozitaja hapo.

Miaka mitano ya mwisho ya Ferguson ilikuwa migumu sana uliangalia trend ya matokeo na challenge ya timu zingine.
Uwekezaji wa man city uliongeza ushindani epl pamoja na Chelsea kulifanya timu 3 kuwa title contenders no wonder strategy ya usajili ya Ferguson ilibadilika na kuanza kusajili wachezaji complete, Carlos Tevez, Robin Van Persie, Dimitar Berbatov etc.

Niseme wazi kwamba Man united ilianza kupotea miaka mingi tu iliyopita kilichokuwa kinasubiriwa ni muda utimie madhaifu yake yajitokeze.

Tunakila sababu ya kuwa wavumilivu sana maana tuna uwezekano wa kurudi juu baada ya miaka mitano ijayo kama tutaenda na approach ya Solckjaer.
 
Hapana mkuu nakataa hata Kenyon alivyoondoka bado tulisajili vizuri tu umesahau man utd ya 2007/08? Ni moja kati ya kikosi bora kupata kutokea na hata kingekuwepo leo kina uwezo wa kuchukua ubingwa mbele ya City na liverpool, Hata Uefa kiliitoa Barcelona ya Xavi, messi na iniesta.

Na hichi kikosi hakikuundwa tu na watu wa zamani wakongwe kulikuwa na damu mpya zilizokuja baada ya kenyon kama vile Carlos Tevez, christiano ronaldo, Owen hagreaves, Edwin van de sir, patrice Evra, Nemanja Vidic, wayne Rooney, michael Carrick etc. Kifupi zaidi ya nusu ya timu walikuwa wachezaji wapya.

David Gill alikuwa vizuri sana, haonekani ila alikuwa anafanya mambo makubwa, alipoondoka ndio Ed anatuonesha umuhimu wa Gill.
 
Ha ha! Tupo tunagumia chini chini!

How is the Relegation battle going for y'all? Who could've thought the Mighty Watford and Manchester United will be at the same bus fighting for their lives? Hail Ole!! And long might continues.....
 
Hapana mkuu nakataa hata Kenyon alivyoondoka bado tulisajili vizuri tu umesahau man utd ya 2007/08? Ni moja kati ya kikosi bora kupata kutokea na hata kingekuwepo leo kina uwezo wa kuchukua ubingwa mbele ya City na liverpool, Hata Uefa kiliitoa Barcelona ya Xavi, messi na iniesta.

Na hichi kikosi hakikuundwa tu na watu wa zamani wakongwe kulikuwa na damu mpya zilizokuja baada ya kenyon kama vile Carlos Tevez, christiano ronaldo, Owen hagreaves, Edwin van de sir, patrice Evra, Nemanja Vidic, wayne Rooney, michael Carrick etc. Kifupi zaidi ya nusu ya timu walikuwa wachezaji wapya.

David Gill alikuwa vizuri sana, haonekani ila alikuwa anafanya mambo makubwa, alipoondoka ndio Ed anatuonesha umuhimu wa Gill.
Ili ndio nalolijua mimi toka gill aondoke na united kuuzwa kwa hawa wamarekani ndio anguko kuu la hii timu lilipoanzia
 
umeandika pumba nyingi humu... enzi za david gill timu ilisajili majembe na wakaleta mafanikio

Back
Top Bottom