Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We are delighted to announce Nemanja Matic has extended his contract with #MUFC until June 2025, with the option to sign for a further year.
 
kuna video fulani niliiangalia zamani kidogo inamuhusu jose mourinho tokea akiwa ndie kocha wa manutd msimu wake wa pili, ilikuwa ni siku mbili baada ya kufungwa na sevilla kupitia michuano ya champions league, jose mourinho alitumia takribani dakika 12 kuizungumzia hali halisi iliopo ndani ya klabu ya manchester united kwa takribani miaka 8 pamoja na timu nyenginezo.

jose alisema ya kwamba ni sahihi kulaumiwa kwa sababu ya matokeo mabovu dhidi ya sevilla lakini kufungwa kwetu na timu ya sevilla si jambo la ajabu kwa sasa kwa sababu man utd imeshakosa football heritage, hivyo basi inahitajika mipango madhubuti yenye kuambatana na muda wa kutosha kuijenga upya manchester united ili irudi tena katika ubora wake.

mara ya mwisho kwa man utd kucheza fainali ya champions league ilikuwa ni msimu wa 2010/2011 chini ya sir alex ferguson, kiupande wangu nathubutu kusema ndio fainali iliokuwa nyepesi zaidi kumtambua bingwa kabla ya mechi kuchezwa kwa kulinganisha ubora wa vikosi vya timu mbili hizo, msimu huo mchezaji bora wa ligi pamoja na klabu yetu alikuwa ni nemanja vidic.

Licha ya kubeba ubingwa wa ligi kuu msimu huo kwa tofauti ya alama 9 dhidi ya chelsea na manchester city lakini kiwango chetu cha jumla kilikuwa ni cha kawaida sana na ndio maana haikuwa ajabu kutoa suluhu mechi 11 japokuwa tulifanikiwa kukusanya alama 80 pungufu ya alama 2 tulizokusanya msimu wa 2017/2018, ukimuangalia jirani yetu imewachukua miaka miwili tu kuweza kujenga timu ambayo iliweza kujiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kuchukua ubingwa (man city walishaonyesha dalili za kuwa tishio ila bahati mbaya mashetani wekundu wakaendelea kulala).,

mwaka mmoja baadae (msimu wa 2011/2012) man united tulipangwa kundi moja na timu nyepesi za basel, benfica, galati kutoka romania kwenye michuano ya UEFA, cha ajabu makamo bingwa alitolewa hatua ya makundi. Hatukuishia hapo tu pia tulitolewa kwenye hatua ya mtoano wa league ya europe dhidi ya athletic bilbao ya marcelo bilesa kwa magoli 5-2, msimu huo athletic bilbao walishika nafasi ya 10 kwenye ligi ya hispania. Miaka minne baada ya city kununuliwa na matajiri wa kiarabu hatimaye msimu huo walifanikiwa kubeba ubingwa kwa tofauti ya magoli dhidi ya man utd.

msimu wa 2012/2013 man utd tunafanikiwa kubeba ubingwa kwa utofauti wa alama 11 dhidi ya man city huku ukiwa ni msimu wa tano tokea man city inunuliwe na matajiri wa kiarabu kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya miaka mitano man city walizidi kujenga emperor yao na kuwa dominance kwenye top 3 ya ligi kuu, hatukuishia hapo tu pia msimu huo tulitolewa hatua ya 16 bora kwenye michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya real madrid ya jose mourinho. hatimaye sir alex akastaafu kufundisha soka.

ina maana miaka mitatu ya mwisho ya sir alex ferguson ilionyesha muelekeo wa timu kupanda juu (2010/2011), kushuka chini zaidi (2011/2012) baadae ikapanda kidogo (2012/2013),

huu ndio usajili alioufanya sir alex ferguson miaka mitano ya mwisho.
chris smalling = amefeli kuwa mrithi wa ferdinand tokea nyakati za fergie mwenyewe mpaka leo
phil jones = amefeli kuwa mrithi wa vidic tokea nyakati za fergie mwenyewe mpaka leo
alexander buttner = amefeli kuwa mrithi wa patrice evra tokea nyakati za fergie mwenyewe na leo hatujui yuko wapi
ashley young = alicheza vizuri mechi za mwanzo ikiwemo ile ya ushindi wa magoli 8 dhidi ya arsenal, baada ya hapo alipata majeruhi na hakuonyesha tena uwezo wake tuliouzoea tokea akiwa wattford na aston villa iliokuwa ikifundishwa na martin oneill, kutoka kuwa winga machachari hadi kuwa mlinzi wa pembeni
chicharito = alicheza vizuri sana lakini baadae akapoteza nafasi walipokuja walimu wengineo ambao hawakuvutiwa na uchezaji wake
robin van persie = ulikuwa ni usajili wa muda kutokana na umri wake kuwa mkubwa.
shinji kagawa = alishindwa kufikia matarajio ya klabu ndani ya uwanja.
bebe = sijui yuko wapi huyu bwege.
antonio valencia: alisajiliwa kwa dhumuni la kuziba nafasi ya ronaldo yule aliyeondoka manchester akiweka rekodi ya kufunga magoli 40 kwa msimu mmoja, kituko usajili huu haukuwahi kutupa hata magoli 5 kwa msimu mmoja, miaka yake 10 amefunga magoli 17 tu, Baadae aligeuzwa kuwa mlinzi wa pembeni.
gabriel obertan = sijui hata aliishia wapi huyu dogo.
michael owen = mfugaji farasi mwenziwe aliamua kumsitiri
david degea = huu ndio usajili pekee wa fergie unaoendelea kutupa faida ile tulioitegemea tokea kusajiliwa kwake.

kwa mtazamo wangu hawa ndio wachezaji ambao walishaanza kuonyesha dalili za kuchoka kisoka miaka mitatu ya mwisho ya utawala wa sir alex ferguson na bahati mbaya kama nilivyosema hapo juu walishindwa kupatikana warithi sahihi wa nafasi zao tokea fergie akiwa madarakani.
ji sung park
rio ferdinand
nemanja vidic
ryan giggs
darren fletcher
patrice evra
paul scholes: (alistaafu akarudishwa kana kwamba timu haina pesa)
darren gibson
tom cleverley
anderson: (kiwango chake ilikuwa ni sawa na maji kupwa na maji kujaa)
luis nani: hakuwahi kucheza vizuri mechi 10 mfululizo.

anguko letu lilianzia hapa
 
porojo langu linaendelea..

sitaki kuzungumzia kabisa usajili uliofanywa na man city kwa takribani miaka mitano ya mwanzo, kwa mukhtadha huu klabu ya manchester united ilishaonyesha dalili za kuwa na uwekezaji mbovu ndani ya uwanja tokea nyakati za sir alex ferguson akiwa manager wa timu, ndio maana timu ilikuwa inanyanyasika pindi inapokutana na wapinzani wake wa ndani ya uingereza na zaidi nje ya uingereza.
je kwa uwekezaji huo hapo juu anayepaswa kulaumiwa ni familia ya glazer au sir alex ferguson?

  • msimu wa 2013/2014 chini ya david moyes tulishika nafasi ya 7 na kutolewa robo fainali ya UEFA dhidi ya bayern munich, alimsajili juan mata pamoja na marouanne fellaini. sitaki kuzungumzia ishu ya kutotimiziwa target zake kama anavyolalamika mwenyewe.
  • msimu wa 2014/2015 chini ya van gaal tulishika nafasi ya 4 na hatukucheza uefa msimu huo.
  • msimu wa 2015/2016 chini ya van gaal tulishika nafasi ya 5, ligi ya mabingwa tukatolewa hatua ya makundi na timu nyepesi sana (PSV, wolfsburg na CSKA moscow), hatukuishia hapo tu pia tulitolewa hatua ya 16 bora kwenye michuano ya europe dhidi ya liverpool kwa goli 3 kwa 1. hatimaye LVG akafukuzwa.
huu ndio usajili alioufanya LVG miaka yake miwili ya kikazi, sitaki kuzungumzia ishu ya kutotimiziwa target zake kama anavyolalamika mwenyewe

luke shaw
= mrithi wa evra lakini mpaka leo hajafikia ubora wa evra.
victor valdes na sergio romero.
matteo darmian =
hakufikia hata ubora wa rafael da silva aliyeondolewa na kocha lvg.
angel di maria = alishindwa kuonyesha kiwango.
memphis depay = alishidwa kuonyesha kiwango sahihi.
morgan schneiderlin = alishindwa kuonyesha kiwango sahihi.
ander herrera = alifikia malengo ya klabu.
bastian schwensteiger = hakufikia malengo
daley blind = hakufikia malengo kwa asilimia kubwa.
anthony martial = nathubutu kusema hajafikia malengo ya klabu kwa asilimia kubwa sana.
marcos rojo = bado hajafikia matarajio ya klabu na sababu kubwa ni majeruhi ndio maana yupo kwenye black list ya kuuzwa.

kwa list hiyo hapo juu ni wachezaji watatu tu ndio waliondoka manchester united na kuelekea timu nyengine na wakafanikiwa kuonyesha kiwango kikubwa cha soka (dimaria, depay na daley blind).
katika hao waliobaki nathubutu kusema ni ander herrera pekee ndiye aliyefanikiwa kuonyesha kiwango cha uhakika kwa miaka yote aliyohudumu klabuni kabla hajaruhusiwa kuondoka akiwa huru msimu huu.

ina maana uekezaji mbovu wa ndani ya uwanja kwa manchester united (lacks of football heritage) uliendelezwa tena na mwalimu mwengine baada ya fergie na moyes ndio maana makocha waliofuata wakaendelea kuteseka

upande wa pili huu ndio usajili uliofanywa na makocha tofauti waliopita nyuma kabla ya guardiola na hatimaye wachezaji hao wakaendelea kutumika huku wengine bado wakiendelea kuonyesha kiwango kikubwa sana cha soka.
sergio aguero
david silva
kelvin de bruyne
raheem sterling
vicente kompany
fernandinho
yaya toure
otamendi.​

ukimuondoa yaya toure na vicent kompany wachezaji waliobakia wote wameendelea kuwa na uwezo wa kuingia kikosi cha kwanza cha manchester city yenyewe, real madrid, bayern munich, barcelona, liverpool, juventus n.k.
lakini ukija kwetu sidhani kama tunafikisha wachezaji wawili wenye uhakika wa kucheza timu kubwa barani ulaya.
  • msimu wa 2016/2017 tulishika nafasi ya 6 kwenye ligi kuu, tulibeba ubingwa wa europe league na kupata tiketi ya kushiriki uefa baada ya miaka.
  • msimu wa 2017/2018 kwa mara ya kwanza baada ya miaka takribani misimu minne tulifanikiwa kuingia top 3 kwenye ligi kuu pia tulitolewa 16 bora na sevilla kwenye michuano ya UEFA.
  • msimu wa 2018/2019 tulishika nafasi ya 6 na kutolewa robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya barcelona ambayo haijawahi kutolewa hatua ya makundi kwa takribani miaka 12 iliopita, wakati huo huo klabu tajiri ya man utd wameshatolewa mara 2 ndani ya miaka 6 kwenye hatua ya makundi ya UEFA
  • pia wakati huo huo tukumbuke kwa miaka takribani 7 nafasi mbaya zaidi kuwahi kushika klabu ya manchester city ni nafasi ya 4 tena mara moja.
huu ndio usajili wa jose mourinho kwa miaka yake mitatu ya kazi.

eric bailly
= alicheza vizuri misimu miwili baadae akapotezwa na majeruhi.
mkhitaryan = mvua za vuli (sometime inanyesha, some time hainyeshi)
alex sanchez = ameshindwa kufikia matarajio ya klabu
lukaku romelu = hajawahi kupewa huduma sahihi na wachezaji wanaomzunguka
paul pogba = no comment kwa sababu sitaki ligi ya kijinga
fred = hajafikia matarajio ya klabu
dalot = haonyeshi dalili za kuwa matured kwa siku za karibuni
victor lindeloff = hajafikia nusu ya uwezo wa nemanja vidic.

  • ujio wa ogs amewaondoa lukaku, na sanchez kwa wachezaji waliosajiliwa na mourinho, pia kuna dalili siku za mbeleni za kumuondoa bailly na fred ili nafasi zao zizibwe na young players kama vile tuanzebe, gardner (declan rice or longstaff kwa mujibu wa tetesi)
  • OGS huyu huyu aliyemuondoa lukaku kwa kisingizio cha mchezaji mwenyewe kuamua kuondoka ndiye huyu huyu aliyemshikila pogba ambaye pia alishaweka wazi dhamira yake ya kuondoka.
  • OGS huyu huyu anayesafisha banda letu kwa kumuondoa sanchez, lukaku, darmian ndiye tena huyu huyu anayewapa mikataba wachezaji ambao kiupande wetu tunawaona ni wabovu kama vile phil jones, smalling, lingard, rashford, young na mata.

je tunatokaje kwenye huu mkwamo unaozidi kuota mizizi migumu wa kukumbatia mediocre players?

je klabu itoe sadaka baadhi ya mapato yake kupitia wadhamini pamoja na haki za televisheni ili kocha asiwe kwenye presha ya kuitafuta nafasi ya UEFA?

ukiangalia makocha wote hao waliopita walifikukuzwa baada ya kushindwa kuihakikishia klabu nafasi ya kushiriki UEFA haijalishi ni kwa msimu mmoja

pia tukumbuke mkataba wa adidas wamewekeana kipengele cha kukata 30% ya malipo endapo klabu itashindwa kushiriki uefa miaka miwili mfululizo.
pia tusisahau msimu huu liverpool wametengeneza fedha nyingi zaidi ya manchester united kupitia mapato ya televisheni kuanzia ligi kuu hadi UEFA kama nitakuwa nipo sahihi.

daniel james, wan bissaka na maguire wote hao wameonyesha uwezo mkubwa mpaka sasa kwenye kikosi chetu kilichojaa mediocre players, kwa usajili huu unadhani OGS madirisha mawili makubwa ya usajili yatamtosha kujenga timu ya ushindani kama atapewa muda bila ya kuangalia matokeo atakayoyapata msimu huu?

FOOTBALL HERITAGE inaendelea kutuadhibu kwa takribani miaka 10.
 
Luis Campos (Lille sporting director): "Of course I believe I could help Manchester United. I want to work with a big club one day." #mulive [sky]

Luis Campos
Hawa ni wachezaji aliyowaleta kwenye vilabu vikubwa mpaka kujulikana
Fabinho
Thomas Lemar
Mbappe
Mendy
Pepe
Benaldo silva
James Rodriguez
 
Nimesoma hii makala kama shabiki wa Chelsea nimeshusha pumzi nzito. Swali USAJILI WA MAN U NANI ANAHUSIKA KUSAJILI WACHEZAJI ni kocha, mkurugenzi mtendaji au mkurugenzi wa ufundi?

Kwa mfano Chelsea kuna mkurugenzi wa ufundi ambaye anachukua mapendekezo ya kocha wachezaji anaowahitaji anafanya analysis ya hao wachezaji anaweza kuwasajili au asiwasajili akapendekeza yeye.

Kwa mfano ishu ya Lukaku na Morata. Kocha alikuwa anamtaka Lukaku, Mkurugenzi wa ufundi alikuwa anamtaka Morota mwisho wa siku akatua morata ambayo ilikuwa mistake kubwa Mkurugenzi wa ufundi akatimuliwa.

Je nyie nani anahusika kwenye kusajili edu au kocha na sidhani kama club yenu ina mkurugenzi wa ufundi
Kuna mzee anaitwa Matt Judge , akiwa anashirikiana kwa ukaribu na Ed ndo msajili wetu.
Ila kocha huitwa kupiga picha na wachezaji waliosajiliwa mbele ya waandishi wa habari.

Pia kocho hupewa ream zima la kuandika wachezaji anaowataka, ila wao kikawaida huwa wanamajina yao mfukoni ya watu wanataka kuwasajili. Japokuwa wao ni wataalamu wa mambo ya fedha yani ma teller😂😂😂
 
Nijibu kea kifupi kwanza:
Man united iliporomoka baada ya Peter Kenyon kuondoka na kwenda Chelsea
kuna video fulani niliiangalia zamani kidogo inamuhusu jose mourinho tokea akiwa ndie kocha wa manutd msimu wake wa pili, ilikuwa ni siku mbili baada ya kufungwa na sevilla kupitia michuano ya champions league, jose mourinho alitumia takribani dakika 12 kuizungumzia hali halisi iliopo ndani ya klabu ya manchester united kwa takribani miaka 8 pamoja na timu nyenginezo.

jose alisema ya kwamba ni sahihi kulaumiwa kwa sababu ya matokeo mabovu dhidi ya sevilla lakini kufungwa kwetu na timu ya sevilla si jambo la ajabu kwa sasa kwa sababu man utd imeshakosa football heritage, hivyo basi inahitajika mipango madhubuti yenye kuambatana na muda wa kutosha kuijenga upya manchester united ili irudi tena katika ubora wake.

mara ya mwisho kwa man utd kucheza fainali ya champions league ilikuwa ni msimu wa 2010/2011 chini ya sir alex ferguson, kiupande wangu nathubutu kusema ndio fainali iliokuwa nyepesi zaidi kumtambua bingwa kabla ya mechi kuchezwa kwa kulinganisha ubora wa vikosi vya timu mbili hizo, msimu huo mchezaji bora wa ligi pamoja na klabu yetu alikuwa ni nemanja vidic.

Licha ya kubeba ubingwa wa ligi kuu msimu huo kwa tofauti ya alama 9 dhidi ya chelsea na manchester city lakini kiwango chetu cha jumla kilikuwa ni cha kawaida sana na ndio maana haikuwa ajabu kutoa suluhu mechi 11 japokuwa tulifanikiwa kukusanya alama 80 pungufu ya alama 2 tulizokusanya msimu wa 2017/2018, ukimuangalia jirani yetu imewachukua miaka miwili tu kuweza kujenga timu ambayo iliweza kujiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kuchukua ubingwa (man city walishaonyesha dalili za kuwa tishio ila bahati mbaya mashetani wekundu wakaendelea kulala).,

mwaka mmoja baadae (msimu wa 2011/2012) man united tulipangwa kundi moja na timu nyepesi za basel, benfica, galati kutoka romania kwenye michuano ya UEFA, cha ajabu makamo bingwa alitolewa hatua ya makundi. Hatukuishia hapo tu pia tulitolewa kwenye hatua ya mtoano wa league ya europe dhidi ya athletic bilbao ya marcelo bilesa kwa magoli 5-2, msimu huo athletic bilbao walishika nafasi ya 10 kwenye ligi ya hispania. Miaka minne baada ya city kununuliwa na matajiri wa kiarabu hatimaye msimu huo walifanikiwa kubeba ubingwa kwa tofauti ya magoli dhidi ya man utd.

msimu wa 2012/2013 man utd tunafanikiwa kubeba ubingwa kwa utofauti wa alama 11 dhidi ya man city huku ukiwa ni msimu wa tano tokea man city inunuliwe na matajiri wa kiarabu kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya miaka mitano man city walizidi kujenga emperor yao na kuwa dominance kwenye top 3 ya ligi kuu, hatukuishia hapo tu pia msimu huo tulitolewa hatua ya 16 bora kwenye michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya real madrid ya jose mourinho. hatimaye sir alex akastaafu kufundisha soka.

ina maana miaka mitatu ya mwisho ya sir alex ferguson ilionyesha muelekeo wa timu kupanda juu (2010/2011), kushuka chini zaidi (2011/2012) baadae ikapanda kidogo (2012/2013),

huu ndio usajili alioufanya sir alex ferguson miaka mitano ya mwisho.
chris smalling = amefeli kuwa mrithi wa ferdinand tokea nyakati za fergie mwenyewe mpaka leo
phil jones = amefeli kuwa mrithi wa vidic tokea nyakati za fergie mwenyewe mpaka leo
alexander buttner = amefeli kuwa mrithi wa patrice evra tokea nyakati za fergie mwenyewe na leo hatujui yuko wapi
ashley young = alicheza vizuri mechi za mwanzo ikiwemo ile ya ushindi wa magoli 8 dhidi ya arsenal, baada ya hapo alipata majeruhi na hakuonyesha tena uwezo wake tuliouzoea tokea akiwa wattford na aston villa iliokuwa ikifundishwa na martin oneill, kutoka kuwa winga machachari hadi kuwa mlinzi wa pembeni
chicharito = alicheza vizuri sana lakini baadae akapoteza nafasi walipokuja walimu wengineo ambao hawakuvutiwa na uchezaji wake
robin van persie = ulikuwa ni usajili wa muda kutokana na umri wake kuwa mkubwa.
shinji kagawa = alishindwa kufikia matarajio ya klabu ndani ya uwanja.
bebe = sijui yuko wapi huyu bwege.
antonio valencia: alisajiliwa kwa dhumuni la kuziba nafasi ya ronaldo yule aliyeondoka manchester akiweka rekodi ya kufunga magoli 40 kwa msimu mmoja, kituko usajili huu haukuwahi kutupa hata magoli 5 kwa msimu mmoja, miaka yake 10 amefunga magoli 17 tu, Baadae aligeuzwa kuwa mlinzi wa pembeni.
gabriel obertan = sijui hata aliishia wapi huyu dogo.
michael owen = mfugaji farasi mwenziwe aliamua kumsitiri
david degea = huu ndio usajili pekee wa fergie unaoendelea kutupa faida ile tulioitegemea tokea kusajiliwa kwake.

kwa mtazamo wangu hawa ndio wachezaji ambao walishaanza kuonyesha dalili za kuchoka kisoka miaka mitatu ya mwisho ya utawala wa sir alex ferguson na bahati mbaya kama nilivyosema hapo juu walishindwa kupatikana warithi sahihi wa nafasi zao tokea fergie akiwa madarakani.
ji sung park
rio ferdinand
nemanja vidic
ryan giggs
darren fletcher
patrice evra
paul scholes: (alistaafu akarudishwa kana kwamba timu haina pesa)
darren gibson
tom cleverley
anderson: (kiwango chake ilikuwa ni sawa na maji kupwa na maji kujaa)
luis nani: hakuwahi kucheza vizuri mechi 10 mfululizo.

anguko letu lilianzia hapa
 
Nijibu kea kifupi kwanza:
Man united iliporomoka baada ya Peter Kenyon kuondoka na kwenda Chelsea

Ukweli rahisi n kwamba man u kwa ukubwa ule isingeweza poromoka siku moja, the same apply kuamka kwake haiwezikuwa n kazi ya muda mfupi.

Glazer may be hawana ubaya kama tunavoamini, yani man u haina tofauti na ccm chma kipo , ila legacy zake ndio zinaiangamiza.

Kuna wale wakongwe wale wasafishwe paingie fresh blood ambazo hazijivunii na historia yyte kuanzia kwenye backroom.

Mie naona ujinga upo kuanzia kwenye board pia kuna mediocre members, kama bodi ingekuwa imara hao wamiliki wangenyooka tu.

Sipendi sana kuandika, ngoja niwe nasoma tu. Apa nimeshachoka ha haha
 
Nimesoma hii makala kama shabiki wa Chelsea nimeshusha pumzi nzito. Swali USAJILI WA MAN U NANI ANAHUSIKA KUSAJILI WACHEZAJI ni kocha, mkurugenzi mtendaji au mkurugenzi wa ufundi?

Kwa mfano Chelsea kuna mkurugenzi wa ufundi ambaye anachukua mapendekezo ya kocha wachezaji anaowahitaji anafanya analysis ya hao wachezaji anaweza kuwasajili au asiwasajili akapendekeza yeye.

Kwa mfano ishu ya Lukaku na Morata. Kocha alikuwa anamtaka Lukaku, Mkurugenzi wa ufundi alikuwa anamtaka Morota mwisho wa siku akatua morata ambayo ilikuwa mistake kubwa Mkurugenzi wa ufundi akatimuliwa.

Je nyie nani anahusika kwenye kusajili edu au kocha na sidhani kama club yenu ina mkurugenzi wa ufundi
sina uelewa mkubwa sana wa mambo ya ndani yanayoihusu man utd ila kwa mtazamo wangu nahisi wote hao wanahusika kwa namna tofauti kwenye ishu za usajili, kichekesho zaidi baadhi ya nyakati wote kwa pamoja wanakuwa na mawazo sawa na vile vile baadhi ya nyakati wanajikuta wakiwa na mawazo tofauti.

nitajaribu kutoa mifano japokuwa sina uhakika nayo kwa asilimia kubwa:
  • sitaki kuamini ya kwamba bastian schwensteiger hakuwa chaguo la LVG, kivyovyote usajili huu umemuhusu moja kwa moja kocha hivyo basi kufeli kwa schwensteiger haistahiki kumuangushia mzigo wa lawama ed woodward
  • usajili wa nemanja matic sote tunafahamu jinsi gani mourinho anavyovutiwa na matic tokea wakiwa chelsea hivyo basi pia si sahihi kumuangushia lawama ed woodward kwenye dili la matic.
  • kufeli kwa dili la ivan perisic anayepaswa kulaumiwa ni ed woodward pamoja na rafiki yake matt judge.
  • kusajiliwa kwa angel dimaria anayepaswa kuwajibika ni ed woodwad kwa sababu chaguo la LVG ilikuwa ni arjen robben
  • kufeli kwa depay hatupaswi kumlaumu ed woodward, ndio maana wafuasi wa ed woodward baadhi ya nyakati tunakuwa na hoja za msingi kwa sababu kama fedha mbona zinatolewa lakini wachezaji wanaokuja hawafikii malengo?
  • kusajiliwa kwa fred bila ya kusajiliwa kwanza mlinzi wa kati anayepaswa kuwajibika kwa jicho la kawaida ni CEO ndipo afuate jose mourinho, haingii akilini jose mourinho alipe paundi millioni 50 kwa midfield asiyekuwa na shida naye sana ndio maana baada ya kusajiliwa fred aliishia kukaa benchi, fedha hiyo ingelimtosha kumnunua alderweireld wa tottenham hotspurs, pia inawezekana wawili hao( ed woodward na mourinho) walishafikia makubaliano ya kumsajili kwanza fred baadae afuate mlinzi wa kati ila kwa makusudi ed woodward akavunja ahadi.
  • kuuzwa kwa lukaku anayewajibika ni OGS, lakini kama OGS alipendekeza mchezaji mwengine wa kusajiliwa na ikashindikana basi anayewajibika ni ed woodward na matt judge
1570775443726.png
 
Ndio maana mpaka leo namlaumu fergie kwa kuacha timu mbovu mno kwa wenzie.........
kuna video fulani niliiangalia zamani kidogo inamuhusu jose mourinho tokea akiwa ndie kocha wa manutd msimu wake wa pili, ilikuwa ni siku mbili baada ya kufungwa na sevilla kupitia michuano ya champions league, jose mourinho alitumia takribani dakika 12 kuizungumzia hali halisi iliopo ndani ya klabu ya manchester united kwa takribani miaka 8 pamoja na timu nyenginezo.

jose alisema ya kwamba ni sahihi kulaumiwa kwa sababu ya matokeo mabovu dhidi ya sevilla lakini kufungwa kwetu na timu ya sevilla si jambo la ajabu kwa sasa kwa sababu man utd imeshakosa football heritage, hivyo basi inahitajika mipango madhubuti yenye kuambatana na muda wa kutosha kuijenga upya manchester united ili irudi tena katika ubora wake.

mara ya mwisho kwa man utd kucheza fainali ya champions league ilikuwa ni msimu wa 2010/2011 chini ya sir alex ferguson, kiupande wangu nathubutu kusema ndio fainali iliokuwa nyepesi zaidi kumtambua bingwa kabla ya mechi kuchezwa kwa kulinganisha ubora wa vikosi vya timu mbili hizo, msimu huo mchezaji bora wa ligi pamoja na klabu yetu alikuwa ni nemanja vidic.

Licha ya kubeba ubingwa wa ligi kuu msimu huo kwa tofauti ya alama 9 dhidi ya chelsea na manchester city lakini kiwango chetu cha jumla kilikuwa ni cha kawaida sana na ndio maana haikuwa ajabu kutoa suluhu mechi 11 japokuwa tulifanikiwa kukusanya alama 80 pungufu ya alama 2 tulizokusanya msimu wa 2017/2018, ukimuangalia jirani yetu imewachukua miaka miwili tu kuweza kujenga timu ambayo iliweza kujiingiza kwenye kinyang'anyiro cha kuchukua ubingwa (man city walishaonyesha dalili za kuwa tishio ila bahati mbaya mashetani wekundu wakaendelea kulala).,

mwaka mmoja baadae (msimu wa 2011/2012) man united tulipangwa kundi moja na timu nyepesi za basel, benfica, galati kutoka romania kwenye michuano ya UEFA, cha ajabu makamo bingwa alitolewa hatua ya makundi. Hatukuishia hapo tu pia tulitolewa kwenye hatua ya mtoano wa league ya europe dhidi ya athletic bilbao ya marcelo bilesa kwa magoli 5-2, msimu huo athletic bilbao walishika nafasi ya 10 kwenye ligi ya hispania. Miaka minne baada ya city kununuliwa na matajiri wa kiarabu hatimaye msimu huo walifanikiwa kubeba ubingwa kwa tofauti ya magoli dhidi ya man utd.

msimu wa 2012/2013 man utd tunafanikiwa kubeba ubingwa kwa utofauti wa alama 11 dhidi ya man city huku ukiwa ni msimu wa tano tokea man city inunuliwe na matajiri wa kiarabu kama nitakuwa nipo sahihi, ndani ya miaka mitano man city walizidi kujenga emperor yao na kuwa dominance kwenye top 3 ya ligi kuu, hatukuishia hapo tu pia msimu huo tulitolewa hatua ya 16 bora kwenye michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya real madrid ya jose mourinho. hatimaye sir alex akastaafu kufundisha soka.

ina maana miaka mitatu ya mwisho ya sir alex ferguson ilionyesha muelekeo wa timu kupanda juu (2010/2011), kushuka chini zaidi (2011/2012) baadae ikapanda kidogo (2012/2013),

huu ndio usajili alioufanya sir alex ferguson miaka mitano ya mwisho.
chris smalling = amefeli kuwa mrithi wa ferdinand tokea nyakati za fergie mwenyewe mpaka leo
phil jones = amefeli kuwa mrithi wa vidic tokea nyakati za fergie mwenyewe mpaka leo
alexander buttner = amefeli kuwa mrithi wa patrice evra tokea nyakati za fergie mwenyewe na leo hatujui yuko wapi
ashley young = alicheza vizuri mechi za mwanzo ikiwemo ile ya ushindi wa magoli 8 dhidi ya arsenal, baada ya hapo alipata majeruhi na hakuonyesha tena uwezo wake tuliouzoea tokea akiwa wattford na aston villa iliokuwa ikifundishwa na martin oneill, kutoka kuwa winga machachari hadi kuwa mlinzi wa pembeni
chicharito = alicheza vizuri sana lakini baadae akapoteza nafasi walipokuja walimu wengineo ambao hawakuvutiwa na uchezaji wake
robin van persie = ulikuwa ni usajili wa muda kutokana na umri wake kuwa mkubwa.
shinji kagawa = alishindwa kufikia matarajio ya klabu ndani ya uwanja.
bebe = sijui yuko wapi huyu bwege.
antonio valencia: alisajiliwa kwa dhumuni la kuziba nafasi ya ronaldo yule aliyeondoka manchester akiweka rekodi ya kufunga magoli 40 kwa msimu mmoja, kituko usajili huu haukuwahi kutupa hata magoli 5 kwa msimu mmoja, miaka yake 10 amefunga magoli 17 tu, Baadae aligeuzwa kuwa mlinzi wa pembeni.
gabriel obertan = sijui hata aliishia wapi huyu dogo.
michael owen = mfugaji farasi mwenziwe aliamua kumsitiri
david degea = huu ndio usajili pekee wa fergie unaoendelea kutupa faida ile tulioitegemea tokea kusajiliwa kwake.

kwa mtazamo wangu hawa ndio wachezaji ambao walishaanza kuonyesha dalili za kuchoka kisoka miaka mitatu ya mwisho ya utawala wa sir alex ferguson na bahati mbaya kama nilivyosema hapo juu walishindwa kupatikana warithi sahihi wa nafasi zao tokea fergie akiwa madarakani.
ji sung park
rio ferdinand
nemanja vidic
ryan giggs
darren fletcher
patrice evra
paul scholes: (alistaafu akarudishwa kana kwamba timu haina pesa)
darren gibson
tom cleverley
anderson: (kiwango chake ilikuwa ni sawa na maji kupwa na maji kujaa)
luis nani: hakuwahi kucheza vizuri mechi 10 mfululizo.

anguko letu lilianzia hapa
 
Chevrolet kujiondoa kama mdhamini mkuu wa klabu ya man utd katika jezi pale mkataba wake utakapoisha 2021.Chevrolet wanaona wanalipa pesa nyingi saana wakati klabu yenyewe matokeo ya uwanjani ni mabovu.
Mkataba wao ulkuwa ni wa £400m kwa miaka 5.
 
Back
Top Bottom