Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"nimemfuatilia sana OLEGUNAR nimegundua anakua kocha hatari akiwa hapati matokeo"

Umemaanisha nini hapa exactly??
Rejelea watu wanaomsapot lingard kuwa ana umuhimu kwenye timu akiwa hana Mpira.

Wapo watu pia humu ndani wanaoendelea kumbeba ole kwa kuamini anaijenga timu licha ya matokeo yetu mabovu

It is a satiric sentence.
 
Mfumo wake ni mbovu sana hauwezi jumps matokeo hata siku moja atachezea vichapo tu hana wachezaji wakucheza huu mfumo
yani hii man u yetu naona tunacheza kukamilisha ratiba, back pass nyingi mno. Then kocha anakuja kusema we are almost there. Nafikiri hii there ndo hiyo championship yenyewe.
 
I will leave it here
IMG_20191009_151903.jpeg
 
According to stone (Mwandishi wa habari wa BBC na mtu wa karibu wa Ed Woodward), Ole amemuambia Ed Woodward anahitaji wachezaji 9 Ili Man UTD ikae vizuri, na maneno haYa Ed ameambiwa kabla Dirisha la usajili halijafunguliwa.

Mkuu tuna matatizo makubwa as a club, Structure nzima ipo ovyo, huo usajili si tatizo Sana Kushinda issue ya Majeruhi, Nasikia Dogo Greenwood na yeye ameumia, kila mchezaji akija tu Man United anakuwa injury prone, mpaka AWB Sasa nae amekuwa hivyo hivyo, dalot karudi mechi 1 tayari nae Majeruhi, martial tuliambiwa kaumia kidogo mwezi wa Pili unaisha, pogba, lindelof, lingard, Shaw etc kila unapogusa Ni Majeruhi tu, issue hii IPO toka Fergie aondoke man U 2013 na Mpaka Leo haijatatuliwa.

Nyepesi nyepesi nyengine Ni kwamba Ed anamtoa kwa mkopo Matt judge akapate uzoefu zaidi, timu Kama Man U ndio kichwa chetu hicho tunakitegemea kusajili watu.

Wachezaji 9???
Wakati mwengine munamlaumu tu Ed lakini Hakuna timu inayoweza Kumsajili wachezaji 9 kwa dirisha 1 tena wote wa kikosi cha kwanza.

Wawili tu wa kikosi cha kwanza Maguire na Bissaka wamecost more than £130m+ , Sasa hao 9 Mkuu si wangefika £1B.

Hapo angeliishia kusajili 4 wa kikosi cha kwanza na 5 magarasa ikisha mukaishia kumtukana kuwa kaleta Wachezaji wabovu.
 
Lalana
Origi
Lambert
Lovren
Markovic
Fabio Bolin
Balotelli
Sakho
Sinclair
Iago Aspas
Etc mbona Brendan Rodgers aliweza kusajili zaidi ya hao 9?

Hakuna mtu aliesema wachezaji 9 dirisha 1 la usajili maneno hayo umesema wewe, kocha akimwambia list yake wewe Kama unaehusika na usajili unaangalia mwenyewe watakuja vipi. Toka ole aje Hawa wameondoka.
-Lukaku
-sanchez
-smalling
-Herrera
-valencia
-Fellaini

Maguire replacement ya Smalling, AWB replacement ya Valencia na James kwa Sanchez hivyo tunabaki na Fellaini, Herrera na Lukaku replacement zao zipo wapi?

Na most of time kocha anapotaka mchezaji Ngumu akawa Garasa, Yeye Ed ndio mhusika mkuu wa Kuleta magarasa, anaesajili kwa ajili ya effect za nje ya uwanja.
 
Lalana
Origi
Lambert
Lovren
Markovic
Fabio Bolin
Balotelli
Sakho
Sinclair
Iago Aspas
Etc mbona Brendan Rodgers aliweza kusajili zaidi ya hao 9?

Sikutegemea Mtu kama wewe kureply kitu kama hichi.

Ivi Man United ni Timu ya kujifananisha na Wachezaji wa Calibre hiyo?

Kwenye post yangu nimetumia Maneno mawili.

1) Wa Kikosi cha Kwanza
2) Magarasa

√ Sasa kama umekusudia Kusajili wachezaji wa kikosi cha kwanza basi Timu kama Man United haiwezi kusajili wachezaji 9

√ But kama umekusudia kusajili Magarasa kama hayo ya Rodgers basi Man United inaweza kuwasajili wachezaji 9 (New versions of Rashford).
 
Mkuu kwa timu yenye structure nzuri wachezaji 9 Ni possible kabisa. Mfano angalia Juventus msimu huu tu.
-Rabiot Bure
-Ramsey Bure
-Buffon bure

Wachezaji wa 3 top players wamekuja bure. Hapa tunaongelea timu ambayo wachezaji Kama Canavaro, Pirplo, Pogba, Alves, Emre can, Kingsley Coman etc wameenda bure, jamaa wamejipanga kukiwa na Opportunity yoyote wanaichukua.

Usajili wote Juve msimu huu wamesajili wachezaji 8 na Kati ya hao mmoja tu de ligt ndio amekuja kwa Bei ghali, waliobakia Ni bure ama Bei za kawaida,

Na mwaka Jana wamesajili zaidi ya hao 9.
 
Hizi habari za kuja kwa naagelsmann united zimekaaje jamani? Lengo tuangalie uwezekano wa kulifanikisha hili kama mshabiki wa united tulio na mtazamo hasi na rebuild ya Ole.
 
Back
Top Bottom