Kwa hali ya Timu yetu Sasa Hivi bila wasiwasi nakubali di Maria na kiwango chake Cha era ya LVG na assist zake. Na ole mwenyewe anamhusudu Dybala hivyo pengine alikuwa na plan zake tofauti na kina Sanchez na Di Maria ambao walinunuliwa na Woodward.Ss imagine ndo angekua kwny hii team.. Si ndo wakina Sanchez au Di Maria?
Manchester United signed Fred from Shakhtar Donetsk for £52 million and the Brazilian has managed just one goal, one assist and the last time he completed a through ball to a team-mate was in April.
https://t.co/KUVj3HFYNyKwahiyo?Kuna kitu mnatakiwa mkubali mashabiki WA man u.
"Zama za utawala wenu zimeisha"
Mpaka timu ifike January hakuna sehemu hii timu itakuwa.KWA TAARIFA YENU:- OLE hatimuliwi makubaliano ni kwamba dirisha dogo january anasajili mastriker 2 na winga 1 na ahakikishe timu inamaliza top 4.
Hakuna mchezaji ananunulika hapa.JANUARY
- Kane
- Mbappe
- Bruno
Wote waondoke.Kudadeki nani atakubali kubaki?
Kwa formation ya Ole, huyo Mbappe au Bruno watakuwa flops.Kwa Mbappe sidhani kama tutaweza kumsajili
Ataenda kuokota takataka za kingereza kina Longstaff ndo wenye ndoto za kucheza United.Dybala ilikuaje?..hakuna mtu anaweza acha champions league kuja kwny club ambayo inacheza Europa.,, achilia mbl kucheza Europa yan m2 kuja kwny club ambayo haina muelekeo ni kazi ngm sna asa awa vjn wa saiv ambao weng hawana uvumilivu wa kusbr kujenga team
Akili za Championship.AMECHOKA
KUMBE hata Ole Gunnar Solskjaer anachoshwa na kikosi chake cha Manchester United. Kocha huyo raia wa Norway amekiri kuangushwa na safu yake ya ushambuliaji ambayo inaongozwa na Marcus Rashford.
Solskjaer alidai kuwa wakati mwingine eneo la ushambuliaji limekuwa likishindwa kutimiza majukumu yake ya kufunga mabao licha ya nafasi nyingi kutengenezwa.
Hata hivyo, alisema kuna uwezekano mkubwa timu hiyo ikashusha straika mwingine mpya ili kuwaongezea nguvu akina Rashford, Anthony Martial na kinda Mason Greenwood.
Mapema msimu huu, mabingwa hao wa zamani wa England walimuuza straika wao Romelu Lukaku kwenda Inter Milan kwa kitita cha pauni milioni 73, pia, walimtoa kwa mkopo Alexis Sanchez kwa wababe hao wa Italia.
Solskjaer hakusajili mchezaji yeyote katika safu ya ushambuliaji zaidi ya kuongeza nguvu kwenye eneo la ulinzi na kiungo kwa kunasa saini za Harry Maguire, Aaron Wan-Bissaka na Daniel James.
Tetesi za usajili barani Ulaya zinaihusisha timu hiyo na kutaka kusajili straika mmoja kati ya Mario Mandzukic wa Juventus na Callum Wilson wa Bournemouth.
“Ni kweli, tuliwaruhusu Sanchez na Lukaku kuondoka, wala hauhitaji mtaalamu wa sayansi kujua kama tutafanya usajili katika eneo la ushambuliaji, tutajaribu kufanya hivyo.
“Ulikuwa muda wa Lukaku kuondoka hapa, hata yeye alijua hilo, jambo muhimu ni kuziba nafasi hiyo kwa kusajili mchezaji sahihi ambaye atakuwa hapa kwa muda mrefu.
“Sokoni kuna wachezaji wengi, tunahitaji straika mwenye uwezo, atakayeendana na falsafa za Manchester United, lazima tuzingatie hilo,” alisema.
Kocha huyo aliendelea kuitoa kasoro safu yake ya ushambuliaji kwa kusema wanachangia kwa kiasi kikubwa kuirudisha klabu hiyo nyuma kwa kushindwa kutimiza majukumu yao ya kufunga.
“Unaweza kujionea mwenyewe, eneo pekee ambalo lina shida ni ushambuliaji, safu ya ulinzi tupo vizuri, sisi ni moja ya timu tulizofungwa mabao machache England.
“Hakuna utulivu kwenye ushambuliaji, hakuna anayeweza kufanya maamuzi sahihi, tunahitaji muda kulifanyia kazi hilo, najua tutakaa sawa baadaye,” alidokeza Solskjaer.
Katika michezo saba ya Ligi Kuu England, safu ya ushambuliaji ya Manchester United wamefanikiwa kufunga mabao nane.
Ole ange resign, asisubiri afukuzwe.According to stone (Mwandishi wa habari wa BBC na mtu wa karibu wa Ed Woodward), Ole amemuambia Ed Woodward anahitaji wachezaji 9 Ili Man UTD ikae vizuri, na maneno haYa Ed ameambiwa kabla Dirisha la usajili halijafunguliwa.
Mkuu tuna matatizo makubwa as a club, Structure nzima ipo ovyo, huo usajili si tatizo Sana Kushinda issue ya Majeruhi, Nasikia Dogo Greenwood na yeye ameumia, kila mchezaji akija tu Man United anakuwa injury prone, mpaka AWB Sasa nae amekuwa hivyo hivyo, dalot karudi mechi 1 tayari nae Majeruhi, martial tuliambiwa kaumia kidogo mwezi wa Pili unaisha, pogba, lindelof, lingard, Shaw etc kila unapogusa Ni Majeruhi tu, issue hii IPO toka Fergie aondoke man U 2013 na Mpaka Leo haijatatuliwa.
Nyepesi nyepesi nyengine Ni kwamba Ed anamtoa kwa mkopo Matt judge akapate uzoefu zaidi, timu Kama Man U ndio kichwa chetu hicho tunakitegemea kusajili watu.
Hata akipewa karne nzima. Sajili zake zinatia aibu.Chief kuna kitu kimoja unakosea... klopp imemchukua misimu mitano kujenga Liverpool ndo maana unaona mafanikio yao leo.. so ole aachwe apewe muda ajenge TEAM afumuee kila kitu then tuone matunda... hata kocha wa spurs kuingia final UCL sio jambo dogo.. took them 7 years.
Man u hawezi kumpiga hizo gori tatu hata yangaLiva atapigwa 3 bila na huta amini.






Kakojoe ukalaleSasa humu mnajadili nini na timu lenu bovu kama majimaji fc ya songea. Si bora thread ifungwe tu mnapoteza muda tu hapa shwaiiiini nyie.
Kwahiyo?
Wamiliki hawawez kuiuza timu ,inawaingizia hela nyingi sanaWote waondoke.
Hao wamiliki wataiuza tu timu.
Akiresign halipwi mpunga Sana Sana atatakiwa kuilipa club, wakimtimua analipwa mpunga wote wa mkataba, hvyo ni ngumu kuresignOle ange resign, asisubiri afukuzwe.