The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Huyu jamaaa bhana aondoke aachie timu...aondoke bhana!
Anazungumza nini hiki? Anafikiri hii ni Molde! Aondoke zake bhana 😡😡😡😡😡😡😡
Huyu jamaaa bhana aondoke aachie timu...aondoke bhana!
Kiwango cha kujielewa huyu jamaa ni zero kabisaHuyu jamaaa bhana aondoke aachie timu...aondoke bhana!
Anazungumza nini hiki? Anafikiri hii ni Molde! Aondoke zake bhana 😡😡😡😡😡😡😡
Kumbuka pia wachezaji hao wakati wanasajiliwa Liverpool walikuwa na viwango vya juu.
Sakho alikuwa alipitwa timu ya taifa ya ufaransa.
Lovren ni regular starter wa national team yake mpaka leo
Iago Aspas alikuwa ni mchezaji kama wanne hivi kufunga goal nyingi laliga.
Lalana na Lambert walikuwa wakiitwa national team ya England na waliifiksha Southmpton nafasi ya 8 kwenye ligi ikiwa imepanda daraja tu.
Fabio Bolini nae alikuwa mchezaji kinda aliyefanya vizuri serie A
Laza Marckovic alikuwa mchezaji bora kwenye ligi ya ureno wakati anakuja Liverpool
Wewe unapata wapi ujasiri wa kuwaita magarasa?
Zinatumika lugha ngumu ukiona hivyo!Kweli ndo man united yetu ilipofikia.. View attachment 1228263
Lkn tunaoumia ni cc mashabikiZinatumika lugha ngumu ukiona hivyo!
The coach with high prolificacy to united was JM only!
Breaking | Lyon President Aulas confirms in a telephone press conference this morning that José Mourinho turned down the vacant managerial role because he's about to take a new job elsewhere.
Sio mbaya lakini jamaa anatupa updates ya what's going on..Hizi update unatuletea hapa ili iweje maana kwenye uzi wenu wa Arsenal huzipeleki ?
Kwngu machi ya marudio ndio inaanza, ila kwa jinsi man u wanavyocheza wanaweza wakafungwa tenaNaangalia mpira wa man u vs Newcastle united. Man U ameshafungwa 1 dk ya 72
Huyu ni kocha wenu , anaweza kurud kuna watu wanamuhitaji, au wewe humtaki Mou domo kaya?Hizi update unatuletea hapa ili iweje maana kwenye uzi wenu wa Arsenal huzipeleki ?
Huyu ni kocha wenu , anaweza kurud kuna watu wanamuhitaji, au wewe humtaki Mou domo kaya?
Kaikataa Lyon kasema bado anataka kufanya kazi EPL , nani ajuaye huenda akarudi man u
Tatizo ni kuretain wachezaji wengi takataka.Wachezaji 9???
Wakati mwengine munamlaumu tu Ed lakini Hakuna timu inayoweza Kumsajili wachezaji 9 kwa dirisha 1 tena wote wa kikosi cha kwanza.
Wawili tu wa kikosi cha kwanza Maguire na Bissaka wamecost more than £130m+ , Sasa hao 9 Mkuu si wangefika £1B.
Hapo angeliishia kusajili 4 wa kikosi cha kwanza na 5 magarasa ikisha mukaishia kumtukana kuwa kaleta Wachezaji wabovu.