Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata yule mount wa chelsea anatajwa kumzidi lingard walahi utacheka ni kituko jana sterling walau alikuwa anaonekana

Chelsea ina viungo wazur sana pale kati kiasi kwamba madogo wanang'ara ila wale madogo wao siku wakubwa wakizembea pale kati shida ipo timu ni kiungo kante na mtoto wa sari wanamsaidia sana lampard

Nimeangalia movement za abraham ila sijashawishika had leo magoli mengi ya zari la mentali
 
Bado inawezekana ukiwa na vipaji halisi

Ajax wanafaidika na utamaduni wa kukuza vipaji vyao mpaka leo hii

Kwa sasa United haijabahatika kuwa na vipaji vingi kwa wakati mmoja kama ilivyokuwa class of 1992
The class 92 makinda chini ya Ferguson pengine ndio kikosi bora na maarufu cha vijana kuwahi kutokea katika soka la kiingereza.

Leo sidhani kama Sir Alex Ferguson angefanikiwa, leo timu zinatoa pesa nyingi katika vikosi vyao.

Hauwezi kuwa na Mason Greenwood wakati watu wengine wana KUN AGUERO, KEVIN DE BRUYNE, PEIRE AUBAMEYANG, HARRY KANE na Wengineo

Haiwezi kutamba na kina Greenwood katika dunia ambayo timu zinamilikiwa na pesa za warusi na waarabu. Ndicho ambacho Wenger alichemsha.

Chanzo. Mwanasport gazeti
 
Hawakuzembea mkuu

Dany Levy alikuwa hataki kuuza mchezaji wake kwa club yoyote ya Uingereza

SAF amewahi kusema negotiations na Levy kwenye kuuziana wachezaji ina maumivu makali kuliko maumivu aliyoyapata alivyofanyiwa operation ya hips lake

Haya aliyasema Baada ya usajili wa Berbatov/Carrick

Daniel Levy ni mgumu sana kufanya naye negotiations. Huyu Toby Aldeweherd aliyekuwa kabakiza msimu mmoja, eti summer iliyopita Spurs walitaka £75m. Ericksen amebakiza msimu mmoja lakini alikuwa anataka £75 kutoka Madrid.
Na Luca alikuwa tayari kuja United angalau Sneider unaweza kuwasamehe kutokana na demand yake ya mshahara ingeathiri wage structure ya timu nzima lakini still bado man united walizembea
 
Hata yule mount wa chelsea anatajwa kumzidi lingard walahi utacheka ni kituko jana sterling walau alikuwa anaonekana

Chelsea ina viungo wazur sana pale kati kiasi kwamba madogo wanang'ara ila wale madogo wao siku wakubwa wakizembea pale kati shida ipo timu ni kiungo kante na mtoto wa sari wanamsaidia sana lampard

Nimeangalia movement za abraham ila sijashawishika had leo magoli mengi ya zari la mentali
Waingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwa

Pale Arsenal tuna katoto kanaitwa willock hakana stamina wala u creativity wowote , kwa kuwa na mwingereza ,basi zinapigwa fitna kawe kanaanza badala ya ceballos au ozil ,

Yaani ni vichekesho vitupu,

Watu wanashangazwa na form za kina Abraham , mount ,wamesahau rashford alifanya zaid ya wao tena akifunga timu kubwa , Leo Waingereza wanaona aibu kumkosoa

Waingereza wenye vipaji ni wachache sana, Angalau rahim chin ya pep kasukwa , na Sancho , Ile kuna yule Declan Rice ambaye anapigiwa chapuo aende man u, sion jipya , kuna Sean longstaff eti anauzwa £50m

Wizi mtupu waingereza
 
Jana nimeangalia timu ya Taifa ya uingereza kwa vile vichezaj ambavyo vinatajwa kuja kwenye hii timu walah tutakuwa blackburn rovers tena

Kuna uwezekano wa Kuwa Timu ya Taifa ya Uengereza ukishaweza kupiga na Danadana 10 na ukawahonga Waandishi wa Habari Wakutaje sana kwenye Magazeti basi utacheza panga pangua kila game.
Yani ile ni Tifa Stars iloyochangamka tu
 
Waingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwa

Pale Arsenal tuna katoto kanaitwa willock hakana stamina wala u creativity wowote , kwa kuwa na mwingereza ,basi zinapigwa fitna kawe kanaanza badala ya ceballos au ozil ,

Yaani ni vichekesho vitupu,

Watu wanashangazwa na form za kina Abraham , mount ,wamesahau rashford alifanya zaid ya wao tena akifunga timu kubwa , Leo Waingereza wanaona aibu kumkosoa

Waingereza wenye vipaji ni wachache sana, Angalau rahim chin ya pep kasukwa , na Sancho , Ile kuna yule Declan Rice ambaye anapigiwa chapuo aende man u, sion jipya , kuna Sean longstaff eti anauzwa £50m

Wizi mtupu waingereza
Jamaa umeongea points sana
 
Harry kane ni mchezaj mbovu sana sema hao wengine ni shida tunatakiwa kupata playres kama hao kariba ya kun aguero au aubameyang hao best player ktk ligi ila sio harry kane

Harry Kane without injury ana uhakika wa kukupa goli 30+ in all competitions zikiwemo 24+ in only EPL.

Usimu-underrate kiasi hicho! Jamaa hana timu tu pale halafu na injury sikuhizi zimemuandama
 
Hata yule mount wa chelsea anatajwa kumzidi lingard walahi utacheka ni kituko jana sterling walau alikuwa anaonekana

Chelsea ina viungo wazur sana pale kati kiasi kwamba madogo wanang'ara ila wale madogo wao siku wakubwa wakizembea pale kati shida ipo timu ni kiungo kante na mtoto wa sari wanamsaidia sana lampard

Nimeangalia movement za abraham ila sijashawishika had leo magoli mengi ya zari la mentali
Ukweli mtupu
 
Bado inawezekana ukiwa na vipaji halisi

Ajax wanafaidika na utamaduni wa kukuza vipaji vyao mpaka leo hii

Kwa sasa United haijabahatika kuwa na vipaji vingi kwa wakati mmoja kama ilivyokuwa class of 1992

Shida ni kwamba Washabiki wengi wa Man United baada ya Kuibukia mnamo mwaka 2002 wamekariri Kuwa Kikosi cha Man United cha Wakati huo wachezaji wote ni Class ya 92, Na Wanaamini Kuwa Class hiyo ya 92 wote waliingizwa FXI Kwa pamoja ndani ya Msimu mmoja.

Na ndiyomana ukiwagusa basi reference yao ni Class ya 92.

Kumbe hawajui Kuwa Sehemu kubwa ya Kikosi cha Man United kilichotamba ni Wachezaji wa Kusajiliwa tu, Ni wachache walioibuliwa Academy (Class of 92) tena hawakuingia kwenye Kikosi cha kwanza kwa pamoja Bali waliingia FXI Kuwa misimu tofauti huku wakipewa uzoefu na Wakongwe kina Cantona, Steve Bruce, Pallista, Parker, Paulo Ince na Dennis Irwin, Wengine waliosajiliwa ni Kina Andy Cole na baadae Dwigt Yorke.
 
Boko la bebe ni carlos quieroz
Luis Nani alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakin ktk usajili wa kipaji pale united huyu bwana mdogo alikuwa vizur sir alex hakukosea kiasi kwamba akirud kutoka majeruh fom yake inapotea ila alikuwa akikaa sawa ni hatar sana

Sir alex alitoa boko kwa bebe,valencia, owen na veron
 
Hao ndio waingereza kocha mjeuri unaamua tu kumuuza huyo willock maana hana maajabu mbele ya cebalos.....halafu tuone wataendelea kupiga kelele ama la
Waingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwa

Pale Arsenal tuna katoto kanaitwa willock hakana stamina wala u creativity wowote , kwa kuwa na mwingereza ,basi zinapigwa fitna kawe kanaanza badala ya ceballos au ozil ,

Yaani ni vichekesho vitupu,

Watu wanashangazwa na form za kina Abraham , mount ,wamesahau rashford alifanya zaid ya wao tena akifunga timu kubwa , Leo Waingereza wanaona aibu kumkosoa

Waingereza wenye vipaji ni wachache sana, Angalau rahim chin ya pep kasukwa , na Sancho , Ile kuna yule Declan Rice ambaye anapigiwa chapuo aende man u, sion jipya , kuna Sean longstaff eti anauzwa £50m

Wizi mtupu waingereza
 
chief tatizo letu kubwa lilianza baada ya kuwaingiza michael owen, gabriel obertan na antonio valencia kwa dhumuni la kuziba nafasi za ronaldo na carlos tevez ambao wote waliondoka msimu mmoja.

muondoe ronaldo basi angalau msajili frank ribery
ni sawa unamuondoa tevez kwa dhumuni la kumpa nafasi zaidi dimitar berbatov ili athibitishe thamani yake, lakini chief klabu ilishampoteza mwanadamu mwenye uwezo wa kukupa goli 50 kwa msimu hivyo basi si vibaya kama klabu ingelikamilisha usajili wa tevez japokuwa usajili wake ulikuwa na matatizo.

tukumbuke tevez alipokwenda man city ndiye aliyekuwa mfungaji bora.

unaizungumziaje ishu ya luka modric?
unaizungumziaje ishu ya roberto lewandowski?
how about wesley sneijder?
juan mata kutoka valencia?
david silva kutoka valencia?
hazard kutoka lille?

tulizipoteza lulu kwa makusudi huku tukiwaachia wapinzani wetu waendelee kujijenga kidogo kidogo kwa hoja dhaifu ya mishahara ya gharama na fedha nyingi za usajili.

yaliopita si ndwele tugange yajayo
Mkuu ni kweli mwishoni baada ya Ronaldo hatukusajili sana, ila nilikuwa namjibu tu jamaa kwamba alipoondoka kenyon still timu ilikuwa inasajili vizuri 2003 mpaka 2008 yalikuja majembe mengi sana.

Kwa wasiofahamu Fergie Alikuwa ni team manager na sio kocha kama tulio nao sasa. Mara nyingi kocha msaidizi ndio alikuwa kila kitu man u, kwa kipindi hiki nilichotaja msaidizi alikuwa ni Carlos Queiroz ambaye ndio aliwaleta wareno wenzake, na jamaa ndio yupo responsible kumkuza Ronaldo hadi kuwa legend, aliwaleta watu kama Nani, Anderson, Kleberson etc timu yetu ilijaa wareno/watu wanaongea kireno wengi.

Queiroz aliondoka 2008 nafasi yake ikachukuliwa na phelan pamoja na Rene maulensteen kama first team coach,na Approach ikabadilika Rene yeye ni mholanzi tukaanza kuona kina Butner, Rvp etc na phelan nae na waingereza wake ndio ukaona na usajili nao umebadilika.

Wengi wanamlaumu Fergie ila alituachia watu 24 waliokuwa nyuma yake wanaoijua club nje ndani, moyes alipokuja kitu cha kwanza aliwafukuza na kuja na watu wake hapa ndio tukapoteza mwelekeo kabisa, na Ed yeye hajali anaangalia tu mapato taratibu timu ikapoteza mwelekeo na identity tukawa tunasajili sajili tu hatueleweki, Man u ikafanywa tu sehemu ya watu kuchukua mishahara minono na kuondoka.

Na kutomsajili Tevez nafikiri lilikuwa ni suala zuri, 3rd party ownership ilikuwa ni cancer kwenye mpira, na fergie siku zote alikuwa against na vitu kama hivi ndio maana alikuwa hazipandi na Raiola, tevez alivyoenda city walifungana magoli na Berbatov wakashare kiatu, na Rooney pia Alistep up misimu miwili mmoja alifunga goli 39 na mwengine 40 ama 41 kama kumbukumbu zipo sahihi, hivyo forward yetu haikuwa mbaya kivile japo pengo la Ronaldo lilikuwepo.
Screenshot_20191012-154013.jpg

Ila kwenye midfield ndio ilikuwa tia maji tia maji, nakumbuka kuna kipindi hadi giggs akawa midfield ya kati, tukamrudisha na scholes alipokuwa amestaafu, Na kipindi kile ndio fergie akasema duniani anaona midfield watatu tu wanaoweza kucheza pale united (tetesi ni Modric, Ericksen na sneidjer)
 
Rio ferdinand:"unanunua mchezaji kutoka swansea na wengi walitegemea huyu atakuja kung'aa kwa baadae na wengi walihisi huyu ndo sub ila cha ajabu ndo mchezaji wakutegemewa kwasasa na ndo mchezaji anaeonesha hali kabisaa na hii nadhani inaonesha kwajinsi gani man utd wachezaj wake wasasa walivyo."
 
Well said my friend.......
Mkuu ni kweli mwishoni baada ya Ronaldo hatukusajili sana, ila nilikuwa namjibu tu jamaa kwamba alipoondoka kenyon still timu ilikuwa inasajili vizuri 2003 mpaka 2008 yalikuja majembe mengi sana.

Kwa wasiofahamu Fergie Alikuwa ni team manager na sio kocha kama tulio nao sasa. Mara nyingi kocha msaidizi ndio alikuwa kila kitu man u, kwa kipindi hiki nilichotaja msaidizi alikuwa ni Carlos Queiroz ambaye ndio aliwaleta wareno wenzake, na jamaa ndio yupo responsible kumkuza Ronaldo hadi kuwa legend, aliwaleta watu kama Nani, Anderson, Kleberson etc timu yetu ilijaa wareno/watu wanaongea kireno wengi.

Queiroz aliondoka 2008 nafasi yake ikachukuliwa na phelan pamoja na Rene maulensteen kama first team coach,na Approach ikabadilika Rene yeye ni mholanzi tukaanza kuona kina Butner, Rvp etc na phelan nae na waingereza wake ndio ukaona na usajili nao umebadilika.

Wengi wanamlaumu Fergie ila alituachia watu 24 waliokuwa nyuma yake wanaoijua club nje ndani, moyes alipokuja kitu cha kwanza aliwafukuza na kuja na watu wake hapa ndio tukapoteza mwelekeo kabisa, na Ed yeye hajali anaangalia tu mapato taratibu timu ikapoteza mwelekeo na identity tukawa tunasajili sajili tu hatueleweki, Man u ikafanywa tu sehemu ya watu kuchukua mishahara minono na kuondoka.

Na kutomsajili Tevez nafikiri lilikuwa ni suala zuri, 3rd party ownership ilikuwa ni cancer kwenye mpira, na fergie siku zote alikuwa against na vitu kama hivi ndio maana alikuwa hazipandi na Raiola, tevez alivyoenda city walifungana magoli na Berbatov wakashare kiatu, na Rooney pia Alistep up misimu miwili mmoja alifunga goli 39 na mwengine 40 ama 41 kama kumbukumbu zipo sahihi, hivyo forward yetu haikuwa mbaya kivile japo pengo la Ronaldo lilikuwepo.
View attachment 1230778

Ila kwenye midfield ndio ilikuwa tia maji tia maji, nakumbuka kuna kipindi hadi giggs akawa midfield ya kati, tukamrudisha na scholes alipokuwa amestaafu, Na kipindi kile ndio fergie akasema duniani anaona midfield watatu tu wanaoweza kucheza pale united (tetesi ni Modric, Ericksen na sneidjer)
 
Luis Nani alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakin ktk usajili wa kipaji pale united huyu bwana mdogo alikuwa vizur sir alex hakukosea kiasi kwamba akirud kutoka majeruh fom yake inapotea ila alikuwa akikaa sawa ni hatar sana

Sir alex alitoa boko kwa bebe,valencia, owen na veron
Ila mkuu valencia sio Boko, jamaa alikuwa na chenga moja ila kwa msimu anakupa assist za kutosha. Msimu wa 2011/12 jamaa alikuwa na assist 13, kuna mafundi kibao Epl hizo assist wanazisikia tu.
 
Changamoto ya sasa Man united ni kutengeneza na kufunga magoli nafikiri hili likitatuliwa huenda timu ikarudisha matumaini

Back
Top Bottom