Manchester United (Red Devils) | Special Thread

```HIVI kila mtu humu anakumbuka kuwa wakati Man U anamfunga chelsea4-0 mashabiki wakaanza kusema Man U msimu huu itabeba kila kombe! Itabeba EPL, CARABAO, F.A, COMMUNITY SHIELD, UEFA, SERIE A, LA LIGA, LEAGUE 1, BUNDESLIGA, MAPINDUZI CUP, KAGAME CUP, WORLD CUP na COPA AMERICA???
```
mkuu ukisema mashabiki wote wa manchester united walifurahishwa sana na ushindi dhidi ya chelsea mpaka wakasahau udhaifu wao utakuwa hunitendei haki pamoja na wenzangu akiwemo PTER, fuentte, Belo na wengineo.

kabla hatujacheza na chelsea nilisema kipimo chetu halisi ni wolverhampton wanderers na si chelsea, kilichotokezea wewe mwenyeo unakifahamu.

niliangalia dakika 30 tu za mechi yetu ya kirafiki (pre season) dhidi ya tottenham hotspurs na nilikuja kusema humu ndani bila ya kificho timu yetu haijabadilika bahati mbaya wengine hawakunielewa.

nilimuangalia kwa dakika tano tu bwana daniel james kupitia youtube na nilikuja nikaongea humu ndani ya kwamba kitendo alichokifanya solskjaer cha kumsajili james bila ya kutafuta mbadala mwengine kitakuja kumuathiri pindi ligi itakapoanza, nikasisitiza simchukii james kwa sababu ya uingereza wake bali namchukia kwa sababu ya kiwango alichonacho ni cha kawaida na papara nyingi kama swala na nimeshawaona wachezaji wengi mfano wa james (nikamtolea mfano theo walcott, wright phillips, chamberlain, aron lennon, marehemu jose antonio reyes)
nikasisitiza kupitia kiwango hicho hicho cha wastani atakuja kubebeshwa mzigo mzito na wachezaji wenzake wazembe wakiwemo martial, lingard na rashford,
hii ni mechi ya nne daniel james anakamtwa na timu pinzani, kukamatwa kwake kumepelekea timu nzima ikate moto

baadae ukaja mjadala wa kuwapa nafasi young players: nakumbuka nilisema humu ndani bila ya uoga sipingani na mfumo wa kuwapa nafasi young players ila tunachokosea ni kuwaingiza young players kwenye kundi la wacheza wabovu ambao watawafanya young players wasiufurahie uhuru wao,
nikatoa mfano wa guardiola jinsi alivyowaingiza pedro, bosquets, pique, tello, bojan krkik kwenye kundi la wachezaji mahodari linaloundwa na etoo, henry, puyol, xavi, iniesta, toure yaya dani alves, abidal, david villa kuanzia mwaka 2008.

akajitokeza mdau mmoja ninayemuheshimu sana pindi anapowasilisha michango yake humu ndani yenye kujenga akamtolea mfano mbappe, nakumbuka alisema kama mbappe alicheza kwa kiwango kikubwa akiwa na miaka 18 basi upo uwezekano hata greenwood akaonyesha kiwango kikubwa.

nakumbuka nikamjibu ifuatavyo: sababu iliomfanya mbappe acheze vizuri ni kule kuzungukwa kwake na mafundi kila upande wa uwanja kuanzia falcao, joao moutinho, bernardo silva, fabinho, benjamin mendy, sidibe, thomas lemar n.k
monaco ile ndio timu iliofunga magoli mengi kuliko timu nyengine yeyote barani ulaya.

mchukue greenwood na umuingize kwenye kundi la wachezaji mfano wa aguero, silva d, silva b, debruyne, sterling, mahrez, gundogan, n,k
nakuhakikishia atafunga magoli 15 msimu huu.​
mkuu sisi wengine tulishajiandaa kisaikolojia tokea mechi za kirafiki, tuliwaachia wenye imani waendelee kumdanganya marehemu mtarajiwa.

nakuruhusu ufukue makaburi yangu kuanzia mwezi June​
 
Ole hatoboi game ya Liverpool labda kama Woodward anataka Man united ishuke daraja.
Na kuna vipigo vinakuja safi kabisa,tuna point 3 za liverpool, Norwich pia hatotaka kupoteza point kabisa maana kama Newcastle mbovu imezipata yeye ni nani hata akose?

Baada ya hapo naona Ole akitolewa kafara kwa ujinga wake.
 
mkuu ukisema mashabiki wote wa manchester united walifurahishwa sana na ushindi dhidi ya chelsea mpaka wakasahau udhaifu wao utakuwa hunitendei haki pamoja na wenzangu akiwemo PTER, fuentte, Belo na wengineo.

kabla hatujacheza na chelsea nilisema kipimo chetu halisi ni wolverhampton wanderers na si chelsea, kilichotokezea wewe mwenyeo unakifahamu.

niliangalia dakika 30 tu za mechi yetu ya kirafiki (pre season) dhidi ya tottenham hotspurs na nilikuja kusema humu ndani bila ya kificho timu yetu haijabadilika bahati mbaya wengine hawakunielewa.

nilimuangalia kwa dakika tano tu bwana daniel james kupitia youtube na nilikuja nikaongea humu ndani ya kwamba kitendo alichokifanya solskjaer cha kumsajili james bila ya kutafuta mbadala mwengine kitakuja kumuathiri pindi ligi itakapoanza, nikasisitiza simchukii james kwa sababu ya uingereza wake bali namchukia kwa sababu ya kiwango alichonacho ni cha kawaida na papara nyingi kama swala na nimeshawaona wachezaji wengi mfano wa james (nikamtolea mfano theo walcott, wright phillips, chamberlain, aron lennon, marehemu jose antonio reyes)
nikasisitiza kupitia kiwango hicho hicho cha wastani atakuja kubebeshwa mzigo mzito na wachezaji wenzake wazembe wakiwemo martial, lingard na rashford,
hii ni mechi ya nne daniel james anakamtwa na timu pinzani, kukamatwa kwake kumepelekea timu nzima ikate moto

baadae ukaja mjadala wa kuwapa nafasi young players: nakumbuka nilisema humu ndani bila ya uoga sipingani na mfumo wa kuwapa nafasi young players ila tunachokosea ni kuwaingiza young players kwenye kundi la wacheza wabovu ambao watawafanya young players wasiufurahie uhuru wao,
nikatoa mfano wa guardiola jinsi alivyowaingiza pedro, bosquets, pique, tello, bojan krkik kwenye kundi la wachezaji mahodari linaloundwa na etoo, henry, puyol, xavi, iniesta, toure yaya dani alves, abidal, david villa kuanzia mwaka 2008.

akajitokeza mdau mmoja ninayemuheshimu sana pindi anapowasilisha michango yake humu ndani yenye kujenga akamtolea mfano mbappe, nakumbuka alisema kama mbappe alicheza kwa kiwango kikubwa akiwa na miaka 18 basi upo uwezekano hata greenwood akaonyesha kiwango kikubwa.

nakumbuka nikamjibu ifuatavyo: sababu iliomfanya mbappe acheze vizuri ni kule kuzungukwa kwake na mafundi kila upande wa uwanja kuanzia falcao, joao moutinho, bernardo silva, fabinho, benjamin mendy, sidibe, thomas lemar n.k
monaco ile ndio timu iliofunga magoli mengi kuliko timu nyengine yeyote barani ulaya.

mchukue greenwood na umuingize kwenye kundi la wachezaji mfano wa aguero, silva d, silva b, debruyne, sterling, mahrez, gundogan, n,k
nakuhakikishia atafunga magoli 15 msimu huu.​
mkuu sisi wengine tulishajiandaa kisaikolojia tokea mechi za kirafiki, tuliwaachia vichwa ngumu waendelee kumdanganya marehemu mtarajiwa.

nakuruhusu ufukue makaburi yangu kuanzia mwezi June​
Acha kuwafananisha Ox,Reyes na hiyo jemsi aiseeh acha mara moja huyo dogo bado kabisa kufananisha na watu hao,kwa philips na walcott sawa kdg
 
Watu wameamua wale tu wali hawataki kabisa stress za Solskjær
manchesterunitedfanstanzania___B3SGiGanl0c___.jpeg
manchesterunitedfanstanzania_1___B3SrduqHaLh___.jpeg
manchesterunitedfanstanzania_3___B3SrduqHaLh___.jpeg
manchesterunitedfanstanzania_8___B3SrduqHaLh___.jpeg
 
mkuu ukisema mashabiki wote wa manchester united walifurahishwa sana na ushindi dhidi ya chelsea mpaka wakasahau udhaifu wao utakuwa hunitendei haki pamoja na wenzangu akiwemo PTER, fuentte, Belo na wengineo.

kabla hatujacheza na chelsea nilisema kipimo chetu halisi ni wolverhampton wanderers na si chelsea, kilichotokezea wewe mwenyeo unakifahamu.

niliangalia dakika 30 tu za mechi yetu ya kirafiki (pre season) dhidi ya tottenham hotspurs na nilikuja kusema humu ndani bila ya kificho timu yetu haijabadilika bahati mbaya wengine hawakunielewa.

nilimuangalia kwa dakika tano tu bwana daniel james kupitia youtube na nilikuja nikaongea humu ndani ya kwamba kitendo alichokifanya solskjaer cha kumsajili james bila ya kutafuta mbadala mwengine kitakuja kumuathiri pindi ligi itakapoanza, nikasisitiza simchukii james kwa sababu ya uingereza wake bali namchukia kwa sababu ya kiwango alichonacho ni cha kawaida na papara nyingi kama swala na nimeshawaona wachezaji wengi mfano wa james (nikamtolea mfano theo walcott, wright phillips, chamberlain, aron lennon, marehemu jose antonio reyes)
nikasisitiza kupitia kiwango hicho hicho cha wastani atakuja kubebeshwa mzigo mzito na wachezaji wenzake wazembe wakiwemo martial, lingard na rashford,
hii ni mechi ya nne daniel james anakamtwa na timu pinzani, kukamatwa kwake kumepelekea timu nzima ikate moto

baadae ukaja mjadala wa kuwapa nafasi young players: nakumbuka nilisema humu ndani bila ya uoga sipingani na mfumo wa kuwapa nafasi young players ila tunachokosea ni kuwaingiza young players kwenye kundi la wacheza wabovu ambao watawafanya young players wasiufurahie uhuru wao,
nikatoa mfano wa guardiola jinsi alivyowaingiza pedro, bosquets, pique, tello, bojan krkik kwenye kundi la wachezaji mahodari linaloundwa na etoo, henry, puyol, xavi, iniesta, toure yaya dani alves, abidal, david villa kuanzia mwaka 2008.

akajitokeza mdau mmoja ninayemuheshimu sana pindi anapowasilisha michango yake humu ndani yenye kujenga akamtolea mfano mbappe, nakumbuka alisema kama mbappe alicheza kwa kiwango kikubwa akiwa na miaka 18 basi upo uwezekano hata greenwood akaonyesha kiwango kikubwa.

nakumbuka nikamjibu ifuatavyo: sababu iliomfanya mbappe acheze vizuri ni kule kuzungukwa kwake na mafundi kila upande wa uwanja kuanzia falcao, joao moutinho, bernardo silva, fabinho, benjamin mendy, sidibe, thomas lemar n.k
monaco ile ndio timu iliofunga magoli mengi kuliko timu nyengine yeyote barani ulaya.

mchukue greenwood na umuingize kwenye kundi la wachezaji mfano wa aguero, silva d, silva b, debruyne, sterling, mahrez, gundogan, n,k
nakuhakikishia atafunga magoli 15 msimu huu.​
mkuu sisi wengine tulishajiandaa kisaikolojia tokea mechi za kirafiki, tuliwaachia vichwa ngumu waendelee kumdanganya marehemu mtarajiwa.

nakuruhusu ufukue makaburi yangu kuanzia mwezi June​
Mkuu hongera kwa kuchambua vzuri,,

Nime note kitu hapo
 
Ole akitanguliwa hawezi kurudisha sijajua ni kwanini labda kimbinu bado hajakomaa au hana wachezaji wakubadilisha matokeo
Sasa naanza kuzikumbuka zile comeback za Morihno, na ile substitution yake pendwa na Fellaini .
At least tulikua na matumaini yakupata dro tim ikiwa nyuma hata goli mbili zinarudi, uyu ndugu yake Olesendeka kafail kila kitu namashaka na uwezo wake.
 
Back
Top Bottom