Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Huyu dogo fala sana dakika zote uwanjani anatembea tu kama match official, akiupata mpira akacheza kama ana mimba ya miezi tisa.
Ole nae hata kumtoa hawezi anamwangalia anatembea uwanjani wakati anatakiwa akabe
Mkuu huyu ukimuangalia kwa Jicho la 3 akiwa anatembea uwanjani bila ya Mpira anakuwa hatari zaidi kuliko akiwa na Mpira! Trust me.

