Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bora huyo Mou alikuwa na mbinu pale timu inaposhikwa au inapokutana na mpinzani hatari. Ole ndio zero kabisa na ukitazama Interview ya Degea utagundua wachezaji wameshamuona mzugaji asiyejua lolote kuhusu ukocha.
Yan hali ni mbya sna maana wachezaj ni low quality kocha nae ndo amn kitu lzm team iwe ya wapuuz.. MOU Aliwaambia kumaliza nafas ya pili na hii team kwng nimafanikio makubwa sna.. Wakaona lbd utan saiv ss kila m2 anajua MOu alikua anaongea nn
 
Anapitia kipindi kigumu sana na yeye pia anakiri hilo. Anacheza na wachezaji wa kawaida mno ambao hawawezi kupata namba hata pale Leicester.

Pereira, Fred,Mata,Rashford, Young, Dalot,Scott,Lingard,Matic hivi hawa wanapata namba za uhakika hata pale Wolves kweli?

De Gea atabaki kuwa kipa wetu bora wa muda wote.
Wanaweza wakacheza vizuri maana hao wachezaji ni average na they belongs to Mid-table Teams..
 
Garry neville

The Longstaff brothers made me happy yesterday ! We see hundreds of interviews every year where players/managers are concentrated ,focused and on guard. The purity , the joy and the love of football was amazing and it should be shown to every young player . #DreamsView attachment 1225756
Neville & Longstaffs are Brexits.
 
Sasa hii thread yenu si bora muifute tu, mnajadili nini sasa kwa mfano mana timu yenu all torn apart.

Average team
 
Me naona alipo feli ni kwa viungo na forward tu na ed ndo anamuangusha nasubiri awachukue anao wataka na kuondoa takataka zake pale ndipo ntajua ka n kocha au branda nyingi
hizo takataka ameendelea kuziweka yeye bila ya kuwa na sababu za msingi za kimfumo.
baadhi yao amewapa kandarasi za miaka 3

lingard = huenda akapewa mkataba mpya kwa mujibu wa taarifa
phil jones = amempa mkataba mpya
ashley young =amempa mkataba mpya
chris smalling = amempa mkataba mpya
adreas perreira = amempa mkataba mpya
juan mata = amepewa mkataba wa miaka 3
marcos rojo = bado ameendelea kuwepo
marcus rashford = umri unamruhusu kupewa kwake mkataba mpya ila mshahara wake hauendani na uwezo wake, haiingii akilini umlipe rashford paundi laki mbili then ukatae kumlipa herrera paundi laki mbili.

hao anaowataka wengi wao hawana tofauti na hao waliopo.
sean longstaff
declan rice
wilson

baada ya kufungwa na everton magoli manne msimu uliopita alisema kuna wachezaji hawatovaa tena jezi ya man utd, cha kuchekesha amewaondoa wachezaji wawili muhimu na kuwabakisha vibasha wa wajukuu wa malikia.
kama lengo lake ni kutushusha daraja basi hatofanikiwa kwa sababu big sam yupo anasubiri kibarua.

1570447889492.png

Tuliwaonya humu kuhusu kumfukuza mourinho wengine tuliundiwa had magenge ya kutusema wenzenu tuliona shida ni bodi sio kocha huwez miaka 7 ukakaa na young akiwa namba 2 au 3 huna 7 wala 11 halafu bodi ipo kimya tu

Kaja sosha mchomoa betr uza lukaku toa sanchez toa herrera

Ukiulizwa vipi anakwambia natafuta mchezaji wa damu ya united

Hivi hawa wakina KDB na bernado silva walikuwa wakiipenda city?

Aguero alikuwa anaipenda man city

Silva alikuwa anapenda man city

Mpira ni pesa mapenz yaliondoka na wakina scholes na giggs
Hata kule mess mkataba wake unaongea pamoja na kukulia palepale

Sosha si kocha huwez kuuza top striker kama hujapata mbadala

Yule klopp alichomoa taratibu sana masalia mabovu kule liverpool hakufika na kufukuza wakina milner na orig hata sturidge alivumiliwa kapata mbele patamu kamuachia
Hahahahahahahahah
 
hizo takataka ameendelea kuziweka yeye bila ya kuwa na sababu za msingi za kimfumo.

lingard = huenda akapewa mkataba mpya kwa mujibu wa taarifa
phil jones = amempa mkataba mpya
ashley young =amempa mkataba mpya
chris smalling = amempa mkataba mpya
adreas perreira = amempa mkataba mpya
juan mata = amepewa mkataba wa miaka 3
marcos rojo = bado ameendelea kuwepo
marcus rashford = umri unamruhusu kupewa kwake mkataba mpya ila mshahara wake hauendani na uwezo wake, haiingii akilini umlipe rashford paundi laki mbili then ukatae kumlipa herrera paundi laki mbili.

hao anaowataka wengi wao hawana tofauti na hao waliopo.
sean longstaff
declan rice
wilson

baada ya kufungwa na everton magoli manne msimu uliopita alisema kuna wachezaji hawatovaa tena jezi ya man utd, cha kuchekesha amewaondoa wachezaji wawili muhimu na kuwabakisha vibasha wa wajukuu wa malikia.
kama lengo lake ni kutushusha daraja basi hatofanikiwa kwa sababu big sam yupo anasubiri kibarua.

View attachment 1225857
Huyu big sam huwa namkubali sana hajawahi kufeli lakin wasiwasi ni juu ya bodi na Wenye timu kama watampa sapoti au nae atatolewa nduki kama tulivofanya kwa Mou kocha pekee ambaye angetufikisha nchi ya ahadi after fergie era

Tatizo tulililo nalo sasa hivi ni kuwa timu i naingia uwanjani ikiwa na wachezaji watatu au wanne kati ya kumi na moja na hapo wachache tulionao hawana mwalimu

Kiukweli hali yetu ni mbaya Sana
 
Sisi mpka sasa vs Soton tuna goli mbili(+2) na bado game haijaanza...

Ole wenu ninyi wenye Pogba Lingard na Marshal ...mpka sasa mumeshapigwa (-1) goli na game bado..

Kila la kheri Nu Casto
Hahahaha kama nilijua nini kitatokea..
 
Huyu big sam huwa namkubali sana hajawahi kufeli lakin wasiwasi ni juu ya bodi na Wenye timu kama watampa sapoti au nae atatolewa nduki kama tulivofanya kwa Mou kocha pekee ambaye angetufikisha nchi ya ahadi after fergie era

Tatizo tulililo nalo sasa hivi ni kuwa timu i naingia uwanjani ikiwa na wachezaji watatu au wanne kati ya kumi na moja na hapo wachache tulionao hawana mwalimu

Kiukweli hali yetu ni mbaya Sana
teh teh teh
mkuu nimemtaja big sam kwa sababu ndiye mwanadamu asiyeshindwa kuinusuru timu isishuke daraja.
hahahhahaaaaa
tupo vibaya
 
teh teh teh
mkuu nimemtaja big sam kwa sababu ndiye mwanadamu asiyeshindwa kuinusuru timu isishuke daraja.
hahahhahaaaaa
tupo vibaya
Hahahaha nimekuelewa mkuu ndo maana nilisema kuwa Mou alikuwa mtu pekee wa kutupeleka nchi ya ahadi
Japo najua kuwa na wewe ni moja kati ya ile kambi mliokuwa mnaongoza kampeni ya kumtimua Special One
Tehtehteh
 
Me naona alipo feli ni kwa viungo na forward tu na ed ndo anamuangusha nasubiri awachukue anao wataka na kuondoa takataka zake pale ndipo ntajua ka n kocha au branda nyingi
Hata hawa waliopo walitakiwa waonyeshe kitu au kuna muelekeo au improvement ya kiuchezaji sasa mpaka leo kila siku zinavyoenda tunazidi kuwa vibaya wakija hizo signing anazozitaka ndo watacheza vizuri??.
Mimi ninavyoona ole kimbinu bado mmbovu tena sana sio suala la wachezaji hapa, kama Chelsea unaona kabisa wanaonyesha mchezo flani mzuri sema unaona kabisa wamekosa baadhi tu ya watu wa kazi na akiingia sokoni timu inaweza kuwa nzuri ila Ole masai hamna kitu mkuu ana wachezaji average sana pamoja na mbinu zake pia average sanaa.
 
hizo takataka ameendelea kuziweka yeye bila ya kuwa na sababu za msingi za kimfumo.
baadhi yao amewapa kandarasi za miaka 3

lingard = huenda akapewa mkataba mpya kwa mujibu wa taarifa
phil jones = amempa mkataba mpya
ashley young =amempa mkataba mpya
chris smalling = amempa mkataba mpya
adreas perreira = amempa mkataba mpya
juan mata = amepewa mkataba wa miaka 3
marcos rojo = bado ameendelea kuwepo
marcus rashford = umri unamruhusu kupewa kwake mkataba mpya ila mshahara wake hauendani na uwezo wake, haiingii akilini umlipe rashford paundi laki mbili then ukatae kumlipa herrera paundi laki mbili.

hao anaowataka wengi wao hawana tofauti na hao waliopo.
sean longstaff
declan rice
wilson

baada ya kufungwa na everton magoli manne msimu uliopita alisema kuna wachezaji hawatovaa tena jezi ya man utd, cha kuchekesha amewaondoa wachezaji wawili muhimu na kuwabakisha vibasha wa wajukuu wa malikia.
kama lengo lake ni kutushusha daraja basi hatofanikiwa kwa sababu big sam yupo anasubiri kibarua.

View attachment 1225857
..Ngoma ikikaribia kuwa ngumu tunampa kazi Big Sam ya kutufanya tubaki Ligi kuu
 
Tusimumunye maneno bhana

√Ole mbinu hana yaani ni hovyo na atatunyima hadi Europa next season..Uongozi wa United ni mbovu when it comes to football issues kwa sasa..Pia wachezaji wengi Mediocre

√Fred nilikuwa namvumilia ila sasa nimefika mwisho..hanioneshi kitu special..anapiga piga backpass na pia ni lazima apoteze mpira kizembe tu kila mechi..Kama jana kapigiwa mpira kapoteza hadi Perreira akashangaa..

√Hata kama timu inastruggle ni lazima uone kuna mchezaji au wachezaji wanaonyesha kitu..sasa mtu kama Rashford kuanzia kujiposition hovyo,maamuzi ya haraka sahihi hana..huyu si mchezaji ya midtable team??

√Hii timu kwa sasa inabidi impate mwalimu mzuri kimbinu na asiyemumunya maneno kama Mourinho..yaani makavu Live.
-Yaani kama Pogba ni kirusi then auzwe..simple

√Sema bodi na uongozi mzima ulivyohovyo utajitetea kwa kumsack Ole tuu bila kujihisi pia na wao wanahusika kwa namna moja au nyingine..

For the meantime

De Gea

Bissaka Tuanzebe Maguire XXX

XXXX XXXX Pogba

XXXX XXXX XXXX

Subs:James,Greenwood,Lindelof,Romero,Dalot,Martial,McTominay,Shaw

Hata James bado anahitaji kujifunza mambo mengi ili asogee kwenye First eleven yangu..Waliobakia wote ni takataka tu..they can fu.ck off

Ni kocha gani anayeweza kuja kufagia hizi takataka zenye mikataba ya ajabu ajabu??
 
Back
Top Bottom