Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ikitokea ivi itakuwa furesh sana ..wale liver uwezo wa kuwamudu munao kabisa ..kesho pigweni ili mupate khasira za kuwaburuza Liverpool ..mimi nitawaunga mkono ..mkipenda na mguu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahiyo baada ya wewe kushindwa unataka Wakubwa zako Wakupigie sio?
 
Mpira una mmaajbu mkuu,kila kitu ni kama ndoto. Leicester alishindwa kuifunga MUFC ila nyie mmebahatisha ushindi mwishoni kabisa.
Tena wa mbeleko la VAR

Kila.la.kheri.chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Wewe mtoto mchawi sana..Soton watakunyoosha na wewe muda sio mrefu
Sisi mpka sasa vs Soton tuna goli mbili(+2) na bado game haijaanza...

Ole wenu ninyi wenye Pogba Lingard na Marshal ...mpka sasa mumeshapigwa (-1) goli na game bado..

Kila la kheri Nu Casto[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Nimeangalia video zao mbili wakihojiwa kuna moja inasema kila ferguson anapoingia uwanjani kabla hajakalia kiti chake lazima apeane nao mkono........
Hao ni Madons wakubwa sana pale kweny e Jiji la Manchester, Wanapokuwa nyuma ya Bench la Ferguson alikuwa hawezi kuleta ujinga kama anaoufanya Ole.

Sasahivi nadhani wameachana na kuifatilia Timu coz hawajazoea shida.
 
Sisi mpka sasa vs Soton tuna goli mbili(+2) na bado game haijaanza...

Ole wenu ninyi wenye Pogba Lingard na Marshal ...mpka sasa mumeshapigwa (-1) goli na game bado..

Kila la kheri Nu Casto[emoji123][emoji123][emoji123]
Hahahahahahaha asee mimi bana ..

Nishamnywa mtu tatu ukooo

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
ahsante sana kwa masahihisho
ule ushindani kati ya rashford na tammy abraham bado unaendelea?
Ollachuga Oc
Hahahaha mkuu nilisema na msimamo wangu ni ule ule ..Rashid akifikisha GOLI 15 msimu huu kwenye all competition, yani Europa, EFL, EPL, FA na mengineyo basi mimi NAJIPIGA BAN kuingia hili jukwaa mpka msimu wa mpya 2020/2021..

Haha nadhani tuko pamoja kiongozi.
 
Back
Top Bottom