Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale wakina tammy abraham monson mount wa chelsea wnanaumri gan
Huu ni zaidi ya uchawi
 
Hahahahahahaha asante sana Man united, asante sana Nu Casto ..weekend imekuwa poa sana aise ...asante sana Ole wewe ni jeniouz


Sasa mwendo ni ule ule tuendelee kufurahi kwa pamoja mazee, next weekend tuko na wale Liverpool tuna uhakika khasira zote tunapeleka kwao ..hii timu yetu Man united hatuwezi kufungwa Mara bee aise
wale liver wajipange sana tena wanakuja OT alaaa ..mzigo umeisha uo ...

Come on Man United


Kila la kheri Ole...

Asante Nu Casto..

Ole wao Liverpool...
 
Kocha nae hana spirit ya kutafuta ushindi wachezaji wake wanacheza kama wako honeymoon na yeye anachekacheka hovyo tu
Yaan kwa kariba ya wachezaji tulionao sioni umuhimu wa kocha mpya....yaani wachezaji hawana spirit kabisa..wanacheza wamerelax sanaa...hawapambanii brand ya utd
 
Waangalie waliowazunguka: kante , willian, jorginho, barkley, kovacic na odoi. Hawa wote wanauzoefu mkubwa na ligi ngumu. Lakin itazame man u watu kamaatic, pogba, herrera, ma wengine ambao ndio wenye uzoefu wanapigwa viata, wengine wameondoka na wengine viwango vimeshuka.
Wale wakina tammy abraham monson mount wa chelsea wnanaumri gan
 
Au sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…