Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwahuyo mnyama Aguero Nakupa heshima Mkuu

Huyu jamaa hana Bahati ya kubeba golden boot kwasababu ya injury tu

Manake ataongoza ufungaji then unasikia yupo nje mwezi mmoja

Lakini kama sio injury basi huu msimu wa 5 mfululizo angelikuwa anabeba yeye kiatu

Kweli mkuu
 
Ole akiendelea kuaminiwa atatufelisha vibaya sana, hamna kocha hapa.

Timu inacheza kilevi,wachezaji wazito hadi vichwani.
Timu zote zilizobadilisha makocha wanacheza vizuri.

Leo hii mnaambiwa mnasuka kikosi.

Man Utd ni timu ya kusuka kikosi kweli?

Umeuona mpira alocheza Chelsea jana?

Kocha ameingia juzi tu.
 
Modern football mchawi midfield, hauwezi kushinda mechi kama huwezi kufunga magoli na hauwezi kufunga magoli kama midfield yako haitengenezi hayo magoli.

Bado naendelea kushikilia msimamo wangu wa siku dirisha la usajili lilipofungwa kutokufanya usajili wa midfielder kungemtesa sana Ole.

Simuoni ndugu yangu Tanayser maana alisema timu itafanya vizuri sana kwa kipimo cha mechi za preseason.
Kuna wakati midfield hata ikifanya vibaya striking inakuokoa.

Angalia uchafu wa Rashford. Anakosa goli 7 anapata moja.

Forward yako Lingard unategemea nini??
 
Gharama alioiingiza Ole ni mara mia wangempa hela Morinho alete aina ya wachezaji anaowataka.

Mou alichukua UCL akiwa na Porto wachezaji wakiwa wa aina anayotaka yeye.

Amekuletea Lukaku, anataka sajili wengine unamtimua unamleta Ole anayecheka na Rashford.
 
Mechi ya 6 Man Utd imeshapitwa point 10 na anayeongoza ligi.

Ikifika mechi ya 20 tutakuwa tumepitwa point 30.
 
usajili bora wa msimu huu ni jose mourinho.
sky sports wamefanya biashara nzuri sana japokuwa ni usajili wa mkopo.
namuangalia kupitia youtube video zake za zamani na za nyakati hizi akifanya kazi ya uchambuzi nimebaki natikisa kichwa kama mlevi.

wakati nakwenda real madrid ni wachezaji watatu tu ndio nimewakuta wameshawahi kucheza robo fainal ya champions league, xabi alonso from liverpool, iker casillas from real madrid and cristiano ronaldo from manchester united, that is football heritage.

miaka saba iliopita matokeo mabaya ya manchester city ndani ya premier league ni kushika nafasi ya nne, ndani ya miaka 7 hii wameshinda premier league mara nne, that is football heritage.

ukiiangalia hii video utagundua ya kwamba jose mourinho ni mwanadamu aliyejaaliwa phd ya soka, amekichafua sana humu ndani
jamaa alikuwa na madhaifu yake lakini hakuwahi kuwa mnafiki kwenye ukweli.​



Then kaibuka Zidane kakuta Mou ameshatengeneza Timu yeye akafaidi Matunda bila ya Jasho! Sasahivi Timu inamtokea puani
 
Yawezekana tunawalaumu kina Rashford bila kuangalia pia kiungo chetu cha ushambuliaji kikoje.

Tunatengeneza nafasi za kufunga magoli chache sana kiasi kwamba clear chance zimekuwa za kubahatisha tu
Mechi ya Astana Rashford alipoteza nafasi za wazi 5 ambazo clinical finisher yeyote angefunga hata 4 au 3.
 
4 2 3 1 ya Ole imefeli ahamie kwenye 4 3 3 au hata 3 5 2
Ole sikio la kufa.

Formation imemshinda bado anaitumia.

Rashford kimeo bado anamtumia.

Kikosi kilikuwa dhaifu ila hajajiangaisha kuleta wachezaji.

Anadhani anacheza na watoto.
 
Jose Mourinho doubts Marcus Rashford can be Manchester United’s No.9

Mourinho coached Rashford for two years at United and explained why he feels the Englishman is better used elsewhere up front.

‘I am not going to say he cannot ever be a number nine, he can be a dangerous number nine especially if the opposition is not pragmatic, is not close and is giving spaces to attack. He can be dangerous in transitions,’ Mourinho told Sky Sports.

But when Manchester United is a team that normally plays against teams who go to Old Trafford, close the door, bring the bus, bring the double bus, he is not a striker to play with his back to the goal.

‘He is not the target man, he doesn’t score as many goals as a striker should do. ‘So I think from the side you will get him to numbers of 10-12 goals per season.
Niliwaambia Rashford akifikisha goli 20 za EPL msimu huu siingii tena kwenye huu uzi.

Msimamo wangu upo palepale.
 
Jana tu ulijinasibu wewe sio mtu wa mipasho

Mimi sina kawaida hiyo lakini kuna mjamaa hapa alikuja kusumbua sana kule Home baada ya sisi kudonolewa na Napoli, Sasa namimi ninajifariji hapa kidogo.

Anyway sikusudii Mipasho bali hizi picha nimezikuta sehemu na nimezipenda sana nimeamua kuja kushare na wadau hapa
 
Asee
255654911211_status_beb23677121641c3995c3507397d31b4.jpg
 
Back
Top Bottom