Huyu Ole naye mwehu sana,kama alikataa kusajili wachezaji wazuri kwa kigezo cha kutaka wapigania beji ya klabu,si angesajili mashabiki tu maana hakuna mtu mwenye mapenzi na klabu kama shabiki.
Yaani ligi tumeisubiri miezi kibao kwa hamu lakin ndani ya mechi 6 tu tunaona kama week ends zinawahi sana.
Hapo ndo kuna tatizo kubwa sana.
Dunia ya leo wapigania beji ni pochi yako tu.
Ole ameleta siasa za kipumbavu tu, hakuna kocha pale.
Rashford au Lingard ndo wa kupigania beji?
Angalia wachezaji wa Fifa Pro XI. Man Utd hakuna hata mmoja.
Kweli tumefika hii standard kweli? Timu kubwa kwenye ulimwengu wa soka hakuna mchezaji kwenye timu ya Fifa?
Hii inaonesha wazi United ni mid table team.
Kuendekeza wachezaji wa kingereza upuuzi mtupu. Unamuacha Koulibaly unaleta Maguire. Huu ni ukabila. Unamuacha BF kisa una Lingard. How stupid has Man Utd management become?
Glazers na Woodward wawajibike. This is totally unacceptable.
Inabidi mashabiki tuwe na sauti kwenye management. Atleast 40%. Hii itasaidia kuwafanya wamiliki wawe na akili wafanye maamuzi sahihi.
Mwaka wa pili unahangaika na DoF, cha ajabu utashangaa analetwa mpuuzi wa kingereza kama sio Darren Fletcher basi Rio. Ataleta takataka za kingereza tupu ambao hadi kufunga magoli wafundishwe.
Tunatakiwa tufungwe mechi 10 mfululizo za EPL tu. Management wapate akili.