Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Aliyetengeneza timu hakua Mou alikua Carlo Ancelot weka kumbukumbu vizuri mkuu
Baada ya kueka kumbukumbu vizuri kama ulivyotaka ni kwamba sikumaanisha kuwa Mou aliitengeneza Real peke yake kama alivyotengeneza nyumba yake.
Nilichomaanisha ni kuwa Mourinho nayeye Ndiyo katika wahusika wakuu walioijenga Real madrid iliyompa mafaniko Zidane:
Miongoni Wachezaji waliosajiliwa na Mourinho at Real Madrid
1) ANGEL DI MARIA
2) MESUT OZIL
3) SAMI KHEDIRA
4) RAPHAEL VARANE
5) LUKA MODRIC
Hao ndiyo msingi wa Kutengenea kwa Timu ya Real kupitia Jose Mourinho
Ingawa wengine waliondoka lakini tayari Real ilikwisha tengenezeka
