Baba ake alicheza Leeds United na Man City kama beki
Akavunjwa mguu na Roy Keane katika Derby Manchester, na ikawa mwisho wa carrier yake
Amezaliwa Leeds na shabiki wa Leeds United, ataanzaje kuipenda United
Kitu pekee kinachoweza kumvutia United ni OGS aliyempa debut pale Molde
Pia baba yake kasema, kupenda timu ni jambo moja na kucheza mpira kama kazi /profession ni jambo jingine hivyo kwenda United kufanya kazi anaweza ila sio sababu ya mapenzi
Pia OGS juzi amemfananisha na Lukaku, je atakuwa kwenye Mipango ya OGS?