Striker tegemezi wa Manchester huyo+
Hii namba 10 mgongoni mwa Rashford ni nzito sana, wamtue tu.

Striker tegemezi wa Manchester huyo+![]()
![]()
Ndio maana nilisikitika sana Ole alipomuondoa Sanchez, mara mia Sanchez acheze hapo kuliko Rashford. |
Tatizo la huyu dogo ni moja tu!"I want to be the best. The dream is to win the Premier League with Leeds - and to be a better player than dad."
Mchawi wetu hapa ni Roy Keane baada ya kumkwatua baba yake nahisi dogo hataki kabisa kusikia habari za United.![]()
Apo mkuu nme kuelew coz nkiwaambia um wanabsha me mwenyew cm laumu rashford kwa umr wake c o Ronaldo uy au mess nahc Nampa mcm uu ujao anawez improve

Aisee ... yan man utd anahaha na Astana ..
Tena OT.
Apo mkuu nme kuelew coz nkiwaambia um wanabsha me mwenyew cm laumu rashford kwa umr wake c o Ronaldo uy au mess nahc Nampa mcm uu ujao anawez improve

huu uandishi kijana,umetia fora kwa leo.Kweli beki na kipa wao ni wa kiwango cha juu.Astana hawana mabek na kipa?
Hii namba 10 mgongoni mwa Rashford ni nzito sana, wamtue tu.
Halland ni clinical finisher ila huo mtiti huyo dogo wa kikorea siyo wa kitoto ni kama yule dogo wa Tottenham
Aisee ... yan man utd anahaha na Astana ..
Tena OT.