Hii game nawaonea huruma tu chong na greenwood hawana nguvu kabisaaaaaaaa ila gomez balaaaaaaaaaa
Chong na Greenwood kuna muda hata kusukuma mpira inakuwa shida😂😂 |
Anakimbia vila kutoa pasi mpaka goal kickRashfd mbinafisi sana kama MO sarah
HIYO INAONYESHWA CLOUDS MEDIAEuropa League wazee tunaiangalia wapi??
Dstv naona hawaonyeshi..hii kweli futuhi
Anakimbia vila kutoa pasi mpaka goal kick
matokeo ngapi ngapiPamoja na ubovu wetu, tunapaswa kuonyesha makali kwenye kikombe hiki kidogo, pigs sana hao astana.. .
naona mnalaumiana tu matokeo vipi kwani?Aisee ... yan man utd anahaha na Astana ..
Tena OT.
wanapiga sana nyetoMadogo hawana nguvu kabisa yani hata kupiga mipira ya kona wanashindwa
usimfananishe salah na upuuziRashfd mbinafisi sana kama MO sarah
Rashford siyo mfungaji kabisa, atafutiwe position nyingine.Greenwood kaza ivi ivi uchukue namba ya rashford
Kweli beki na kipa wao ni wa kiwango cha juu.