Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,569
- 10,532
Mkuu mechi ya juzi kati ya Toffees na Wolves, Digne alizungukwa na Adama kama mtoto vileujio wa Lindélof ulituonesha udhaifu wa Smalling, ujio wa Magiure umetuonesha udhaifu wa Lindelof same to Bissaka kwa Shaw.....hivi hawa scouts wa United hamuoni Digne wa Everton??
tunaoteseka ni sisi mashabiki
Nakubaliana na wewe kuna wachezaji wengi sana ulimwenguni ambao wapo mbele ya Shaw kiuwezo, hata Brandon Williams wa reserve team akipewa nafasi anaweza kum challenge Shaw