Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man U - 159M - Point 5
Chelsea - OM - Point 5

Kuna tatizo mahali
Kwanza unaamini huu msimamo ndio una reflect uhalisia

Kama una amini hivyo, basi tatizo lipo

Kama unaamini Cristal Palace aliyetumia £0 kwenye usajili ataendelea kuwa hapo alipo, tatizo litakuwepo

Kama unaamini Liverpool aliyetumia chini ya £20m ataendelea kuwa juu ya City aliyetumia £75m ujue tatizo lipo

Kama unaamini United atabaki hapo alipo (namba 8)na Chelsea atabaki hapo alipo (namba 11) ujue tatizo lipo

Au mkuu ulitaka tuangalie Chelsea na United tu, bila kuangalia big picture

Ligi ni kama mbio za marathon mkuu, sio kila aliye mbele dakika mbili za mwanzo atamaliza akiwa mbele na si kila aliye nyuma atamaliza wa mwisho. Nakumbuka mara ya mwisho Chelsea kuchukua EPL ilikuwa chini ya Conte, timu ilianza ligi vibaya mno
Screenshot_20190903-192159.jpeg
 
Kwanza unaamini huu msimamo ndio una reflect uhalisia

Kama una amini hivyo, basi tatizo lipo

Kama unaamini Cristal Palace aliyetumia £0 kwenye usajili ataendelea kuwa hapo alipo, tatizo litakuwepo

Kama unaamini Liverpool aliyetumia chini ya £20m ataendelea kuwa juu ya City aliyetumia £75m ujue tatizo lipo

Kama unaamini United atabaki hapo alipo (namba 8)na Chelsea atabaki hapo alipo (namba 11) ujue tatizo lipo

Au mkuu ulitaka tuangalie Chelsea na United tu, bila kuangalia big picture

Ligi ni kama mbio za marathon mkuu, sio kila aliye mbele dakika mbili za mwanzo atamaliza akiwa mbele na si kila aliye nyuma atamaliza wa mwisho. Nakumbuka mara ya mwisho Chelsea kuchukua EPL ilikuwa chini ya Conte, timu ilianza ligi vibaya mnoView attachment 1196893
pia anaweza akatokezea muhuni akasema hata nyakati zile leicester city anaongoza ligi wakajitokeza mashabiki na maneno kama hayo mwisho wa ligi leicester akawa bingwa.
 
Kwanza unaamini huu msimamo ndio una reflect uhalisia

Kama una amini hivyo, basi tatizo lipo

Kama unaamini Cristal Palace aliyetumia £0 kwenye usajili ataendelea kuwa hapo alipo, tatizo litakuwepo

Kama unaamini Liverpool aliyetumia chini ya £20m ataendelea kuwa juu ya City aliyetumia £75m ujue tatizo lipo

Kama unaamini United atabaki hapo alipo (namba 8)na Chelsea atabaki hapo alipo (namba 11) ujue tatizo lipo

Au mkuu ulitaka tuangalie Chelsea na United tu, bila kuangalia big picture

Ligi ni kama mbio za marathon mkuu, sio kila aliye mbele dakika mbili za mwanzo atamaliza akiwa mbele na si kila aliye nyuma atamaliza wa mwisho. Nakumbuka mara ya mwisho Chelsea kuchukua EPL ilikuwa chini ya Conte, timu ilianza ligi vibaya mnoView attachment 1196893
Tatizo lako wewe huwezagi kujenga hoja bila kutafuta Excuse ya sapoti kwa timu nyingine,Itetee Manchester United bila mgongo wa timu nyingine.
 
Kwanza unaamini huu msimamo ndio una reflect uhalisia

Kama una amini hivyo, basi tatizo lipo

Kama unaamini Cristal Palace aliyetumia £0 kwenye usajili ataendelea kuwa hapo alipo, tatizo litakuwepo

Kama unaamini Liverpool aliyetumia chini ya £20m ataendelea kuwa juu ya City aliyetumia £75m ujue tatizo lipo

Kama unaamini United atabaki hapo alipo (namba 8)na Chelsea atabaki hapo alipo (namba 11) ujue tatizo lipo

Au mkuu ulitaka tuangalie Chelsea na United tu, bila kuangalia big picture

Ligi ni kama mbio za marathon mkuu, sio kila aliye mbele dakika mbili za mwanzo atamaliza akiwa mbele na si kila aliye nyuma atamaliza wa mwisho. Nakumbuka mara ya mwisho Chelsea kuchukua EPL ilikuwa chini ya Conte, timu ilianza ligi vibaya mnoView attachment 1196893
Kwenye Chelsea hapo usiiwekee dhamana , anaweza kubaki maeneo hayo hayo hadi ligi inaisha .
 
Leta stats zake ili tumlinganishe na wengine.
Pamoja na mapungufu yake tumpe pia heshima yake huyu jamaa.

Mimi binafsi sipendi uchezaji.wa pogba lakini naheshimu kipaji chake ni cha kipekee sana kwa body morphology yake.

Pogba ni mchezaji pekee kwa dunia ya Leo mwenye uwezo wa kukupa kila kitu uwanjani ambacho pale epl Hakuna timu inamchezaji wa caliber yake
 
Back
Top Bottom