Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana kitu, Timu tu inambeba pale. Binafsi Mimi nashindwa kufahamu Pogba sifa yake ni nini ndani ya uwanja. hufahamu jamaa ni midfield wakushambulia kuzuia wala kuchezesha. Hana sifa ya popote.
Siyo complete midfielder yule wanatuzingua tu. Kwa Work rate ya pogba sidhani kama kuna kiungo ktk nafasi yake anayemzidi. Ukiondoa tuvisigino anatopigaga, Naamini viungo wote wanamzidi pogba
 
Pogba ni moja ya sajili mbovu kabisa Man Utd walizowahi kufanya, Kinachonishangaza mimi nikua bado club inamng'ang'ania badala ya kumpiga bei akenda kuripukia mbele.
Management ya Man UTD ina matatizo sana aisee
Ed anaangalia mauzo ya jezi ya Pogba, usitegemee kama ataondoka pale.
 
Ed anaangalia mauzo ya jezi ya Pogba, usitegemee kama ataondoka pale.

Kama Priority ya timu ni mauzo ya jezi basi ni sawa. Ila kama wana malengo ya kugombea ubingwa EPL au Champion league basi wataendelea kusahau kwa miaka ya karibuni.
 
Siyo complete midfielder yule wanatuzingua tu. Kwa Work rate ya pogba sidhani kama kuna kiungo ktk nafasi yake anayemzidi. Ukiondoa tuvisigino anatopigaga, Naamini viungo wote wanamzidi pogba
Hili la pogba kupoteza mipira ni kweli kabisa jamaa anapoteza mpira sana game moja hata mara 4 au 5 halafu kizembe tu.
In short pogba anajiangusha mwenyewe na wala sio wenzake.

Hata pacha ya Pogba na Tominay lazima tuwe tunapotezwa sana iko exposed kwasababu ya pogba. Inabidi wapatikane watu wa kazi hasa hapo kati kwa mfumo anaoutaka OGS.
 
Matumizi ya usajili this season

#1 Real Madrid
Money spent: €305 million (£276m/$335m)

#2 Barcelona
Money spent: €255 million (£230m/$280m)

#3 Atletico Madrid
Money spent: €247

#4 Juventus
Money spent: €192 million (£174m/$210m)

#5 Inter
Money spent: €170 million (£154m/$186m)

#6 Manchester United
Money spent: €159 million (£143m/$175m)

#7 Sevilla
Money spent: €158 million (£143m/$173m)

#8 Arsenal
Money spent: €152 million (£137m/$167m)

#9 Aston Villa
Money spent: €148 million (£134m/$162m)

#10 Bayern Munich
Money spent: €143 million (£130m/$156m)
 
Kwanini simpendi Rashford.
20190903_150147.jpg
 
Man U - 159M - Point 5
Chelsea - OM - Point 5

Kuna tatizo mahali
Tunaweza kusema mpira unadunda ila kwa United kuna tatizo kubwa sana hasa kwa wachezaji.

Chelsea wana wachezaji ambao mawazo yao yote yapo Chelsea na wanapambana. Tazama viungo wao watatu. Kante-Jorginho- Kovacic. Hawa akili zao zipo Chelsea na wanapambana.
Hebu njoo United uone kisanga kilichopo upande wa viungo.
Pogba kivuli chake kipo United lakini mwili na akili vipo nje ya united.

Sijajua Chelsea ukiacha kuuza Hazard kama wana tatizo kuubwa sana. Ni Lampard atulie tu,Chelsea inaweza kumaliza juu ya United.
 
Pamoja na mapungufu yake tumpe pia heshima yake huyu jamaa.

Mimi binafsi sipendi uchezaji.wa pogba lakini naheshimu kipaji chake ni cha kipekee sana kwa body morphology yake.

Pogba ni mchezaji pekee kwa dunia ya Leo mwenye uwezo wa kukupa kila kitu uwanjani ambacho pale epl Hakuna timu inamchezaji wa caliber yake
Pogba ni moja ya sajili mbovu kabisa Man Utd walizowahi kufanya, Kinachonishangaza mimi nikua bado club inamng'ang'ania badala ya kumpiga bei akenda kuripukia mbele.
Management ya Man UTD ina matatizo sana aisee
 
Mashabiki wa man u hatupaswi kuwa kama binti aliyechelewa kuolewa anajikuta anatamani kila anayeitwa mwanaume awe mme wake.

Haiwezekani.kila mchezaji anayeonekana kuwa ni mzuri anaweza kusajiliwa na man United.

Mauro icard na Adrien Rabiot na pogba ni watoto wa baba mmoja kitabia.
Hivi huyu icardi tulimwacha hivihivi tu daaa!
 
Hapana msifanye hivyo mtatusababishia matatizo Sisi mashabiki wa timu yetu pendwa.
Kanajiona Ronaldo.

Timu ina safari ndefu sana kwa aina hii ya wachezaji.

Pogba si ndio kashaumia sio eeh? Hahaha,napenda kuona tukumaliza nafasi za chini sanaa ili wafanyabiashara wazinduke.
 
Lampard ukuta unamuangusha

Back
Top Bottom