Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa tumeuza CF bila mbadala sasa c bora hata tungemleta Mauro? Halafu inategemeana na management pia, so naamini huenda angebadilika. Kuna wakati mchezaji anaweza kubadilika tabia kutokana na management. Aweza badilika positively au negatively
Kwa namna ya United wanavyosajili sasa hivi

Wameondokana na hiyo style ya kuleta afadhali ya, wenyewe wanachotaka ni either kuleta wanayemtaka au kutoleta kabisa
 
Mashabiki wa man u hatupaswi kuwa kama binti aliyechelewa kuolewa anajikuta anatamani kila anayeitwa mwanaume awe mme wake.

Haiwezekani.kila mchezaji anayeonekana kuwa ni mzuri anaweza kusajiliwa na man United.

Mauro icard na Adrien Rabiot na pogba ni watoto wa baba mmoja kitabia.

Hapa nimekuelewa na sauti ipo sawa sawa kabisa
 
"Manchester United are going to be behind Manchester City, Liverpool, Chelsea and Tottenham." Haya maneno yamesemwa na Paul Scholes pale Skysports.

Blame Solskjaer if Manchester United do not compete for the Premier League title this season - Matic
 
Mpka sasa De Gea ajasaini mukataba na management imeanza mchakato wa kumtafuta mthiri wake ikihofia endapo ataondoka mwishon mwa msimu huu..

Mimi Manchester united kuna wakati nawaonea wivu Everton, Leicester na vilabu vingine kwa makipa fighters sana.

De Gea ana mchango mkubwa Man U ila naona kiwango kinapungua. Mipira ya chini haidaki vizuri. Lile goli la Messi asee! Goli la pili la Palace. Hapana bora tulete kipa mpya mdogo fighters kama Pickford, Yule wa Leicester.

Ukweli ni kuwa Pickford huwa ananikosha aje tumpe na upiga penati maana ile penati ENGLAND vs Nimesahau UEFA national league haidakiki.

Anyway ni maoni yangu, wakuu chambua tujue kipa gani anakuja kuwa Ukuta wa Zege.
 
Ni kweli De gea sio kama tulivyomzoea..lakini sioni kipa mwingine wakuletwa na kufanya tumsahau de gea kwa haraka..hata huyo Pickford kuna magoli anafungwa ambayo ni ya kawaida sana..
 
Vizuri sana mkuu. Alininogea tu. De Gea wa Mournho, Van Gaal, Moyes, Feregie sio huyu wa Ole. Yaani ni yeye tulikuwa tunategemea sometime atuokoe maana beki mbovu hasa enzi za van Gaal to up.
 
Mpaka sasa nashindwa kuelewa Wanaosema Pogba aondoke huwa aanatania au?
Bora hata tuuziane wachezaji ili mutuuzie Pogba!
Pogba ni mchezaji aisee

Ni kawaida kwa mtu wa nje kumuona pogba vizuri. Ila sisi mashabiki wa timu yetu asee. Jamaa anatupa maumivu kwa kulose ball maringo mengi kuharibu morali ya timu. Hebu fanya tubadilishane Mtupe Trent Alexander-Anold na Virgil Van Djik
 
Toka msimu uliopita kiwango cha De Gea kimepungua ukichangia na ubovu wa timu yetu ndiyo balaam.

Jordan Pickford ni mzuri ila siyo level ya Degea.

Casper schmeichel ni mzuri ila siyo kiwango cha Degea.

Golikipa aliyepo sokoni uwezo wa kubattle na Degea ni Jan Oblack wa Atletico Madrid.
Mimi Manchester united kuna wakati nawaonea wivu Everton, Leicester na vilabu vingine kwa makipa fighters sana.

De Gea ana mchango mkubwa Man U ila naona kiwango kinapungua. Mipira ya chini haidaki vizuri. Lile goli la Messi asee! Goli la pili la Palace. Hapana bora tulete kipa mpya mdogo fighters kama Pickford, Yule wa Leicester.

Ukweli ni kuwa Pickford huwa ananikosha aje tumpe na upiga penati maana ile penati ENGLAND vs Nimesahau UEFA national league haidakiki.

Anyway ni maoni yangu, wakuu chambua tujue kipa gani anakuja kuwa Ukuta wa Zege.
 
Toka msimu uliopita kiwango cha De Gea kimepungua ukichangia na ubovu wa timu yetu ndiyo balaam.

Jordan Pickford ni mzuri ila siyo level ya Degea.

Casper schmeichel ni mzuri ila siyo kiwango cha Degea.

Golikipa aliyepo sokoni uwezo wa kubattle na Degea ni Jan Oblack wa Atletico Madrid.
Na hii ilikuwa point yangu pia..
 
Degea ameshuka kiwango sana, na sio msimu huu tu, ila ni kama kwa Misimu 2 iliyopita

Kuna wakati ninaona Romero ni mzuri zaidi. Pia kuna Dean Henderson ambaye kwa sasa yupo Shefield kwa mkopo anaweza kutusaidia

Nimesikia tetesi kwamba United wanammendea Oblack
 
Back
Top Bottom