Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daah misimu saba bila epl na bado tena tusubiri misimu mitatu ya rebuilding bila epl so misimu kumi bila epl.....
Kazi ipo..
Mi namlaumu fergie tu kwa kuacha timu iliyojaa deadwoods players haya mateso yasingetupata......
Mizee ya zamani ovyo sana kagoma kuacha legacy yake asije kuitembelea kocha mwingine ......ubinafsi tu
Opinion yangu naona Klopp hajawa successful within EPL sababu miaka minne hujachukua kombe lolote la ndani it's a kind of failure, yaani hata Carabao tu

Ila kwa upande wa kuijenga timu aisee kafanikiwa sana maana Liverpool yake tishio sana huku akiwa katumia Pesa kiasi tu sokoni, mafanikio yake mengine ni kuimaintain Liverpool ndani ya top four katika miaka yake yote hivyo UEFA football sio changamoto tena na kuipa Liverpool mafanikio ya kimapato(income kubwa) sababu mauzo ya Jezi yamekuwa makubwa sana chini yake na pesa za Runinga nyingi zaidi sababu ya performance UEFA na hata katika EPL

Kifupi Klopp alishajulikana kabla ya kuja Liverpool kuwa ni kocha world class

Kujenga timu sidhani kama OGS atapata muda huo , tukumbuke yaliyomtokea Luis Van Gaal. Miaka mitatu ya kuijenga timu ila akawa bado anastruggle kuijenga timu miaka mitatu imeisha bado anajenga timu
 
Kuna wachezaji wengi tu wamekuja pale United baada ya Ferg kuondoka lakin hakuna kitu.
Pesa imetoka nyingi tu ya usajili ila hata future imekosa kabisa daily wanavurunda tu.
Ed na wenzie wamekosa kocha mwenye plan nzuri wamebaki kuonja tu na kutimua
 
Opinion yangu naona Klopp hajawa successful within EPL sababu miaka minne hujachukua kombe lolote la ndani it's a kind of failure, yaani hata Carabao tu

Ila kwa upande wa kuijenga timu aisee kafanikiwa sana maana Liverpool yake tishio sana huku akiwa katumia Pesa kiasi tu sokoni, mafanikio yake mengine ni kuimaintain Liverpool ndani ya top four katika miaka yake yote hivyo UEFA football sio changamoto tena na kuipa Liverpool mafanikio ya kimapato(income kubwa) sababu mauzo ya Jezi yamekuwa makubwa sana chini yake na pesa za Runinga nyingi zaidi sababu ya performance UEFA na hata katika EPL

Kifupi Klopp alishajulikana kabla ya kuja Liverpool kuwa ni kocha world class

Kujenga timu sidhani kama OGS atapata muda huo , tukumbuke yaliyomtokea Luis Van Gaal. Miaka mitatu ya kuijenga timu ila akawa bado anastruggle kuijenga timu miaka mitatu imeisha bado anajenga timu
Para yako ya mwisho ndo ambacho na Mimi na wasiwasi nacho "OGS ataweza ku effect hiyo transformation,".......
Kama ataweza kucotrol performance ya utd (alteast 30pts out 42pts/14games, mwisho mean November) na akaendelea kusurvive hadi January basi atakuwa Kocha ambaye atakaa muda mrefu utd post SAF era.
 
Daah misimu saba bila epl na bado tena tusubiri misimu mitatu ya rebuilding bila epl so misimu kumi bila epl.....
Kazi ipo..
Mi namlaumu fergie tu kwa kuacha timu iliyojaa deadwoods players haya mateso yasingetupata......
Mizee ya zamani ovyo sana kagoma kuacha legacy yake asije kuitembelea kocha mwingine ......ubinafsi tu
Aliona asiwatafunie wataokuja kila mtu apambane na hali yake
 
Mkuu sio ushamba, sometime mchezaji (hasa wanaochipukia) anapiga hesabu akienda timu kubwa anaweza kutopata namba hivyo kuathiri maendeleo yake
ikumbukwe wakati huo Digne katoka PSG kusugua bench akaenda Barca pia akala mkeka akapata nafasi ya kucheza kwa mkopo Everton na ndipo kiwango chake kilipoonekana
 
Mkuu mechi ya juzi kati ya Toffees na Wolves, Digne alizungukwa na Adama kama mtoto vile

Nakubaliana na wewe kuna wachezaji wengi sana ulimwenguni ambao wapo mbele ya Shaw kiuwezo, hata Brandon Williams wa reserve team akipewa nafasi anaweza kum challenge Shaw
sipingani na wewe mkuu ila offensive Digne yupo miles za mbali kuliko Shaw
 
Hili la pogba kupoteza mipira ni kweli kabisa jamaa anapoteza mpira sana game moja hata mara 4 au 5 halafu kizembe tu.
In short pogba anajiangusha mwenyewe na wala sio wenzake.

Hata pacha ya Pogba na Tominay lazima tuwe tunapotezwa sana iko exposed kwasababu ya pogba. Inabidi wapatikane watu wa kazi hasa hapo kati kwa mfumo anaoutaka OGS.
Watu humu wanampenda sana Paul kiasi wanamuona Mctominay ndiyo shida kwa pogba ila mi nnachoamini ni kwamba pogba ndo anamletea shida dogo. Dogo anajitoa sana hadi kuna wakati unaweza jisikia vibaya kwa dogo kama yule kuingiza mwili wake ktk mazingira flani
 
Pamoja na mapungufu yake tumpe pia heshima yake huyu jamaa.

Mimi binafsi sipendi uchezaji.wa pogba lakini naheshimu kipaji chake ni cha kipekee sana kwa body morphology yake.

Pogba ni mchezaji pekee kwa dunia ya Leo mwenye uwezo wa kukupa kila kitu uwanjani ambacho pale epl Hakuna timu inamchezaji wa caliber yake
Huyo mchezaji ni kama akina Balotel, Mutu. Tena bora hata mutu alikuwa ni mtukutu ila anakichafua. Kipaji bila jitihada hufiki popote
 
Mashabiki wa man u hatupaswi kuwa kama binti aliyechelewa kuolewa anajikuta anatamani kila anayeitwa mwanaume awe mme wake.

Haiwezekani.kila mchezaji anayeonekana kuwa ni mzuri anaweza kusajiliwa na man United.

Mauro icard na Adrien Rabiot na pogba ni watoto wa baba mmoja kitabia.
Sasa tumeuza CF bila mbadala sasa c bora hata tungemleta Mauro? Halafu inategemeana na management pia, so naamini huenda angebadilika. Kuna wakati mchezaji anaweza kubadilika tabia kutokana na management. Aweza badilika positively au negatively
 
Back
Top Bottom