Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Correct kabisa msamila. Ndio kitu nilikuwa nasema hapa. Watu wanamtupia lawama pogba lakin kumbe kapangwa na watu wasio na viwango.

Mctominay anakuja vizuro.. lakin bado sana. Lingard ndio kabisa kiwango kimeisha. Wakuuzwa huyo
 
Joao felix
 
Van gaal typo
 
Hii ndiyo imekuwa habari kubwa mitandaoni kwasasa kuzungumzia VVD kupigwa chenga baada ya Mechi 50 za EPL.

Hata hivyo Video yako FA wameshaiblock JF haina Copyright ya kuplay hii video
Mkuu Acha iongelewe

Kama nyie mlikuwa na haki ya kujitapa kuwa hajapitwa na forward yoyote

Na sisi tuna haki ya kuonesha it was just a matter of time na hakuna beki duniani asiyepitwa na hakuna forward duniani ambaye kila attempt yake ya kumpita beki itafanikiwa
 
Hii ndiyo imekuwa habari kubwa mitandaoni kwasasa kuzungumzia VVD kupigwa chenga baada ya Mechi 50 za EPL.

Hata hivyo Video yako FA wameshaiblock JF haina Copyright ya kuplay hii video
Unai katukosea sana , Jana angeanzisha machine , tungejipima vzr , ila basi kocha hatuna bora hata Ole au lampard , tuna kocha asiye na kikosi cha kwanza ,kama pepe Jana peke yake kamsumbua vvd ,alishindwa nn kutuwekea Na laca ,

Matokeo yake liverpool mnatamba tu ...
 
Sijui ina ukweli ama!!!

Man United last 15 games under Solskjaer:

Crystal Palace - L
Wolves - D
Chelsea - W
Cardiff - L
Huddersfield - D
Chelsea - D
Man City - L
Everton - L
Barca - L
West Ham - W
Barca - L
Wolves - L
Watford - W
Wolves - L
Arsenal - L

3 W, 3 D, 9L

nmeikuta mahali
 
Chelsea mmeshapata nguvu ya kuzurura kwenye majukwaa ya watu baada ya ushind wa 3-2 dhid ya Norwich ,kweli maisha yanaenda kasi sana
 

Ni kweli
 
Kocha alimkataaa lukaku... lukaku mpuuz tu Yule
 
Shocking news.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…