Mashabiki kindaki ndaki
255689905051_status_97d08fc6e43c4d598c5561e2905e8c90.jpeg
 
Lile goli halikuwa na tatizo lolote ila refa alilikataa kimakosa na hiyo ni kawaida tu kwenye Mpira refa kukataa Magoli halali na Akayakubali Magoli Batili ya offside au kushika kwa Mkono.
Sheria mpya inasema kuwa goli lolote halitakubaliwa ikiwa mkono ulihusika kugusa mpira.....na goli la gabriel lilionesha wazi kuwa mpira ulianza kushikwa kwanza kabla ya mfungaji hajaukwamisha wavuni
 
Hao wana utani wa ngumi.Labda alisajiliwa kwa jina la Paul kwamba atakuwa kama Paul Scholes.Aisee lile pengo mbona tutakesha na mbaya zaidi Herera nae wamepiga bei.Kukaba,kukaba,kukaba.Watu watachukulia point katikati kisa wakukaba hakuna.Time is telling and will keep telling.
Nilishawahi kuinsist humu kuwa mkabaji mzuri kabaki Matic peke yake
 
Asieipenda hii team ahame jamani sio kupiga makelele tu . Team zipo nyingi za kushabikia .. Namungo FC ya Lindi inahitaji mashabiki.. Acheni kuendelea kushabikia team inayowapa stress na Mawazo .. Mtakufa ..


Huku tuachieni viumbe wenye mioyo iliyojengwa kwa cement ya Tanga .. Hatusikii hatuoni ..


Mimi naamini baada ya kumuondoa nduli "Morinyo" team itanyooka tu ni suala muda , kazeni mioyo. Tembeeni vifua "Mbere"


GGMU
 
Sheria mpya inasema kuwa goli lolote halitakubaliwa ikiwa mkono ulihusika kugusa mpira.....na goli la gabriel lilionesha wazi kuwa mpira ulianza kushikwa kwanza kabla ya mfungaji hajaukwamisha wavuni
Mashabiki mandazi wanajua kushangilia magoli tu
 
Kupunguza ushabiki una maana gani? Tuache kushabikia mpira au kujadili?

Mchango wangu ulitokana na tukio kabla ya kupigwa kwa ile penalty, Rashford ndio alitaka kupiga,Pogba akaenda 'kuililia' na Rashford akamuachia.

Hili la kutokuwa na mpigaji maalumu wa penalty ni jambo jengine linalothibitisha timu ina matatizo. Hata kama wapigaji wanazunguka, huyo Pogba hapaswi kujisogeza kabisa kupiga penalty kwasababu sio mpigaji mzuri.
hata enzi za LVG kulikuwa na rotation kwenye kupiga penati, ukikosa hutapiga tena mpaka wenzio akose Mata, Rooney, Herrera, Martial wote walipiga penati kwenye msimu mmoja
 
Hivi kutengeneza nafasi ni sawa na shots on target. Mnaweza mkatengeneza nafasi hata 10 lakini zote zikawa shots off target. Kimsingi tumetengeneza nafasi nyingi jana

Pili una uhakika jana United alipiga shots on target 2? Kwa haraka haraka kuna goli la Martial, Penati ya Pogba, shuti la Shaw..... Zipo 3 jumla. Nikienda Google nadhani kuna mifano mingi.

Unauliza kuhusu improvement kati mwaka jana na mechi ya jana. Kwanza kumiliki tu tuna position kubwa kuliko mwaka jana, mwaka jana tumepigwa kwa kuzidiwa, mwaka huu tume draw kwa kuwazidi sana tu

Kama hujaona improvement nadhani mechi uliyokuwa unaangalia wewe na mimi ni tofauti
mpaka dk 39 United ilikuwa imepiga pasi 334 wakati Wolves wao 108+
 
Back
Top Bottom