Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"They have to find somebody," Lukaku told the LightHarted Podcast, apparently recorded prior to his Inter move. "It is Pogba, it is me or it is Alexis. It's the three of us all the time".

I put my hand up, like, this year I don't think I was the only one playing bad. A lot of people were playing bad but they had to find the culprit.

Hadi alinunuliwa ina maana alitakiwa kuja kubadili mambo ya hovyo pale sioni kama kaongea sahihi kifupi hatak kukosolewa na vile timu ililipa mpunga mrefu kumchukua
 
Acha kujitoa ufahamu chief. Man akiwa na hao akina Lingard na Rash anao uwezo wa kumfumga timu yoyote kwenye top 6 na haitakuwa stori kiivo. City ni wazuri relatively, lakini gap so kubwa km ulivyo kariri.

Anachapwa vizuri tuu na yeye ataenda uwanjani kwa maandalizi full akijua chance ya kushinda ni 50/50

Huyo ni haters
 
Kuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani

Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani

The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points

Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3

Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.

Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba
 
Jessey Lingard hafiki hata nusu ya Angel Gomes had kule kwenye academy huenda wanacheka sana kama jamaa anacheza kila game sasa madogo wanakazaje?

Toka 2016 nafikir hana hata assist 10 au 8
Mkuu Lingard hana maisha marefu kwnye timu ya Ole, kilichombakisha Lingard na kina Jones etc ni rebuilding process, Ole target yake this season timu irudi top4 then asafishe nyumba, Ole juzi kaojiwa kuhusu usajir, kasema pesa ya Lukaku anayo ila ataitumia kwa wachezaj sahihi (player with utd DNA)
Kinachofanywa na Ole ni kurudisha misingi ya manchester ambayo ilivurugwa na Van Gal/Mou, kaleta wachezaj watatu tu msimu huu lakin wote ni aina ya wachezaj wa ki'manchester, angalia dogo James anavyoona thaman kuvaa jezi na utd

Hata Pogba chini ya utawala wa Ole hana maisha bcoz ni aina ya mchezaj ambaye hajivunii kuichezea timu kubwa kama manchester utd, msimu huu Ole kambembeleza ili turudi top4

Ole=Ferguson
 
Kuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani

Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani

The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points

Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3

Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.

Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba
Toka 2008 Pep ndie kocha aliechukua mataji mengi kuliko Kocha yeyote Ulaya. Chukieni ila mpeni haki yake kuwa ni kocha bora zaidi duniani ambayo kila Club inamtamani

Kuhusu kutumia pesa nyingi ili kupata mafanikio mbona makocha wengi wametumia pesa kubwa mrejesho ukawa hauridhishi? PSG, Barça nae anatumia pesa nyingi sana ila UEFA hajachukua mwaka wa tano huu.

Pep ni kocha bora duniani
 
Nimekuelewa mkuu kwa kweli usajili wa ole mi mzur sikuweza kulalamika alipokataa kumchukua dybala kwa tetesi alisema hana mapenz na timu anataka pesa kwa hiyo waliachana nae anapenda mtu aje anaependa timu na kweli dogo kumtoa juve alikuwa anataka mshahara wa maana kitu ambacho ole kaanza kupambana nacho ndo maana anataka kumtoa hata sanchez ila club irudi kwenye utaratibu wake
 
Kuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani

Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani

The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points

Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3

Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.

Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba

Yaa kama luis enrique ambae alichemka roma na celta vigo
 
Toka 2008 Pep ndie kocha aliechukua mataji mengi kuliko Kocha yeyote Ulaya. Chukieni ila mpeni haki yake kuwa ni kocha bora zaidi duniani ambayo kila Club inamtamani

Kuhusu kutumia pesa nyingi ili kupata mafanikio mbona makocha wengi wametumia pesa kubwa mrejesho ukawa hauridhishi? PSG, Barça nae anatumia pesa nyingi sana ila UEFA hajachukua mwaka wa tano huu.

Pep ni kocha bora duniani
Soma tena nilichoandika, ukielewa urudi tujadili

Sio kwamba sijatambua ni kocha mzuri, lakini nimekwambia conditions anazokutana nazo kwenye timu zake ndio zinamfanya atambe zaidi, pale Barca alikuwa na arguably the most decorated group of players of all time at club level.

Baada ya kuondoka Barca akawa kocha aliye spend hela nyingi kuliko makocha wote kwa ligi husika. Ujerumani aliwa out spend wenzake wote, Uingereza ikawa hivyo hivyo.

Wakati unatuambia tangu 2008 ndio kocha aliyefanikiwa zaidi, usisahau pia kutuambia tangu mwaka huo ndio amekuwa kocha aliye spend zaidi japo tangu aondoke Barca hajaweza kuchukua kombe lenye hadhi kubwa (champions league) zaidi kwa level ya vilabu
 
Alipokuwa anamfumua city uefa ilisajili wangapi na pep alisajili wangapi shida yako moja unaongozwa na chuki sio mpira unaamini city wanamfunga yoyote? Huo mpira umejifunzia wapi?

City alifungwa 3 kwake mwaka jana lingard na rashford walikuwepo

City alifungwa goli moja bila nyumbani kwake striker akiwa rashford na ndo alifunga goli moja

Sijui wengine mpira mnacalculate vipi

Usione humu tunawapigia kelele lingard na rashford kwa akili yako ukafikir ukikutana nao ni vilaza unaumia kama kawaida ila hatupend vile wanavyopoteza nafas za waz

Halafu spurs aliekubandua uefa alifungwa kwake na rashford goli moja bila kwenye ligi tia akilini
safi sana mkuu umeongea kama kaka wa mashabiki wa man u humu jamii forums😆,

wasidhani kuwa timu haina uwezo wa kushinda eti kisa tuna bainisha makosa yake humu, timu ni yetu na tuna kila sababu ya kuongelea mapungufu yake.

I salute you
 
Kuna watu wanamuona Pep kama kamungu flani

Kwamba hafungwi, na timu zake ni bora duniani

The funny thing, msimu uliopita kwenye mechi za kawaida tu kama 3 ikiwemo ya Wolves, Leicester na Cristal Palace amepoteza points

Huyo huyo Pep akiwa Etihad akiwa anaongoza goli 2 - 0 na United wakiwa na forward line ya Lingard na Rashford na beki ya Smalling Man Utd akasawazisha na mwisho akashinda goli 2-3

Kama hafungiki achukue UEFA akiwa nje ya Barcelona ya Messi, Xavier, Iniesta na Bosquet maana hata kwa Barca hii hawezi kufanya jambo la maana.

Nikumbushe hata Makocha waliokuja nyuma yake pale Barca walifanya makubwa tu, na hiyo ili prove kwamba pamoja na kwamba Pep ni kocha mzuri lakini wachezaji aliokuwa nao ndio waliombeba
Kuna watu hawajui kuwa pep na yeye anakulaga vipigo vzr tu
 
Mkuu Lingard hana maisha marefu kwnye timu ya Ole, kilichombakisha Lingard na kina Jones etc ni rebuilding process, Ole target yake this season timu irudi top4 then asafishe nyumba, Ole juzi kaojiwa kuhusu usajir, kasema pesa ya Lukaku anayo ila ataitumia kwa wachezaj sahihi (player with utd DNA)
Kinachofanywa na Ole ni kurudisha misingi ya manchester ambayo ilivurugwa na Van Gal/Mou, kaleta wachezaj watatu tu msimu huu lakin wote ni aina ya wachezaj wa ki'manchester, angalia dogo James anavyoona thaman kuvaa jezi na utd

Hata Pogba chini ya utawala wa Ole hana maisha bcoz ni aina ya mchezaj ambaye hajivunii kuichezea timu kubwa kama manchester utd, msimu huu Ole kambembeleza ili turudi top4

Ole=Ferguson
Na usajir wakujenga timu unaenda hivo, huwez kuondoa wachezaji WOTE kwa mkupuo,
 
Soma tena nilichoandika, ukielewa urudi tujadili

Sio kwamba sijatambua ni kocha mzuri, lakini nimekwambia conditions anazokutana nazo kwenye timu zake ndio zinamfanya atambe zaidi, pale Barca alikuwa na arguably the most decorated group of players of all time at club level.

Baada ya kuondoka Barca akawa kocha aliye spend hela nyingi kuliko makocha wote kwa ligi husika. Ujerumani aliwa out spend wenzake wote, Uingereza ikawa hivyo hivyo.

Wakati unatuambia tangu 2008 ndio kocha aliyefanikiwa zaidi, usisahau pia kutuambia tangu mwaka huo ndio amekuwa kocha aliye spend zaidi japo tangu aondoke Barca hajaweza kuchukua kombe lenye hadhi kubwa (champions league) zaidi kwa level ya vilabu
Upo sahihi kabisa ,
 
Toka 2008 Pep ndie kocha aliechukua mataji mengi kuliko Kocha yeyote Ulaya. Chukieni ila mpeni haki yake kuwa ni kocha bora zaidi duniani ambayo kila Club inamtamani

Kuhusu kutumia pesa nyingi ili kupata mafanikio mbona makocha wengi wametumia pesa kubwa mrejesho ukawa hauridhishi? PSG, Barça nae anatumia pesa nyingi sana ila UEFA hajachukua mwaka wa tano huu.

Pep ni kocha bora duniani

Mkuu nimesoma mjadala wako na Mc cane niseme tu umetengeneza topic yako kwa nini nasema hivyo hamna aliposema pep ni kocha mbovu hamna anaemchukia kuweka sawa kazungumzia kufungwa kwake pep ni kocha bora halina ubish isipokuwa tusiambiane timu anazofundisha ni uhakika kuzifunga timu zote mbovu na nzur anazokutana nazo hivyo yaani ni hapa mshabik mmoja anasema city kumfunga manchester united ni uhakika kiuhalisia kwenye karatasi ipo hivyo ila ki mbinu vitu viwili tofauti
 
pep ni the philosopher hata akihamia Manchester United mm nitaanza kuishabikia
 
Alipokuwa anamfumua city uefa ilisajili wangapi na pep alisajili wangapi shida yako moja unaongozwa na chuki sio mpira unaamini city wanamfunga yoyote? Huo mpira umejifunzia wapi?

City alifungwa 3 kwake mwaka jana lingard na rashford walikuwepo

City alifungwa goli moja bila nyumbani kwake striker akiwa rashford na ndo alifunga goli moja

Sijui wengine mpira mnacalculate vipi

Usione humu tunawapigia kelele lingard na rashford kwa akili yako ukafikir ukikutana nao ni vilaza unaumia kama kawaida ila hatupend vile wanavyopoteza nafas za waz

Halafu spurs aliekubandua uefa alifungwa kwake na rashford goli moja bila kwenye ligi tia akilini
Eti spurs aliyekubandua Mr mimi ni bingwa wa UEFA na SUPERCUP mzee. Shabiki wa the Most English successful club. Huyo Lingard akifikisha hata goli nane msimu huu, najipiga ban. Huna timu ya kumsumbua city wewe si kwako wala kwake!
 
Most Successful English club ndio ipi hiyo, kadanganye wenzako huko kwenye nyuzi zenu

Halafu je unajua kipindi Liverpool ana makombe ya ligi kuu ya Uingereza, United alikuwa anayo 7 tu
Screenshot_20190822-143358.jpeg
Screenshot_20190822-143409.jpeg
 
Back
Top Bottom