Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Did Jesse Lingard score or assist a PL goal?

May 2018: no
Aug 2018: no
Sep 2018: no
Oct 2018: no
Nov 2018: no
Dec 2018: YES (4G 2A)
Jan 2019: no
Feb 2019: no
Mar 2019: no
Apr 2019: no
May 2019: no
Aug 2019: no

Halafu anacheza mbele ya pogba na nyuma ya martial hahahahahahahahaha tunataka ushindi hapo hamna cha assist wala goli aisee mwingine anakwambia anakaba ukiangalia takwimu za premier league hayupo hata top 20 ya wapora mipira kuna watu wanabahati sana duniani

Chukulia Memphis Depay tulishindwa kumvumilia tumemwacha dancer lingard mwenye miaka 27 ambae alitakiwa kwa huo umr awe top kwenye kiwango chake
 
Level yako sasa ya ufaham inatakiwa iwe pana bila hivyo utahangaika na hayo maswali
Kwahyo level yangu ya ufahamu iwe kubwa kwamba Mnaweza mpiga man city? Anyway, ushabiki umekupanda kichwani na si uhalisia wa hii timu yako.
 
Aliwahi kumaliza ligi kashinda mechi zote 38? Ndio maana nakwambia level yako ya ufahamu wa mambo ipanuke

Mechi alizofungwa kafungwa na timu za daraja unalo mkweza?

Kashindwa hata kumtoa spurs uefa bado unajipa matumaini ni timu isiyofungwa?

Pengine wewe ndo unaongozwa na ushabik ila sio uhalisi wa mpira

Angemfunga spurs sasa jumapili na ukumbuke spurs kachezesha bek rose na dogo wa academy kwenye shavu la kulia
 
Mzee, that's Tottenham ambayo iko organised na imesajili vema kufill in their gaps. Usione kwakuwa Tott ameweza ambua draw basi nawe na hii Man utd yako ya Lingard na Rashford ndo ukaisumbue City. Uliitazama mechi?
 
Acha kujitoa ufahamu chief. Man akiwa na hao akina Lingard na Rash anao uwezo wa kumfumga timu yoyote kwenye top 6 na haitakuwa stori kiivo. City ni wazuri relatively, lakini gap so kubwa km ulivyo kariri.

Anachapwa vizuri tuu na yeye ataenda uwanjani kwa maandalizi full akijua chance ya kushinda ni 50/50
 
Touch class message from pogba
IMG-20190821-WA0022.jpeg
 
"They have to find somebody," Lukaku told the LightHarted Podcast, apparently recorded prior to his Inter move. "It is Pogba, it is me or it is Alexis. It's the three of us all the time".

I put my hand up, like, this year I don't think I was the only one playing bad. A lot of people were playing bad but they had to find the culprit.
 
Stupid boy ameanza ujinga yeye aliponunuliwa kwa € 75 skutegemea acheze sawa na walionunuliwa €30 au 15.... Timu umeanzisha mashambulizi vizuri mnampa mpira anashindwa kutuliza anatokwa na jasho tu.....
 
Mzee, that's Tottenham ambayo iko organised na imesajili vema kufill in their gaps. Usione kwakuwa Tott ameweza ambua draw basi nawe na hii Man utd yako ya Lingard na Rashford ndo ukaisumbue City. Uliitazama mechi?

Alipokuwa anamfumua city uefa ilisajili wangapi na pep alisajili wangapi shida yako moja unaongozwa na chuki sio mpira unaamini city wanamfunga yoyote? Huo mpira umejifunzia wapi?

City alifungwa 3 kwake mwaka jana lingard na rashford walikuwepo

City alifungwa goli moja bila nyumbani kwake striker akiwa rashford na ndo alifunga goli moja

Sijui wengine mpira mnacalculate vipi

Usione humu tunawapigia kelele lingard na rashford kwa akili yako ukafikir ukikutana nao ni vilaza unaumia kama kawaida ila hatupend vile wanavyopoteza nafas za waz

Halafu spurs aliekubandua uefa alifungwa kwake na rashford goli moja bila kwenye ligi tia akilini
 
Back
Top Bottom