Ni lini ole alisema penalti zinapigwa na rashford?

Navyojua mpigaji penalti wa man u ni pogba na katika interview ya mechi ya chelsea rash alisema wapiga penalti wana rotate ili kuepusha timu pinzani kukariri mpiga penalti mmoja na ndio maana akapewa ile penalti ya chelsea.

Sometimes tupunguze ushabiki jamani.


Kuna washabiki wanapenda kujitoa ufahamu hawaijui hata timu wanayoshabikia mpiga penati ni nani wao wa najua kulalamika tu bila maana
 
Sasa mkuu Wolves mimi nitapiga nje ndani ..uhakika wa kubeba kama sio point sita basi ni nne ..kama uyo umemshindwa ukikutana na Leicester ci mutapata tabu sana. Japo Muna timu nzuri ya kuweza kuifunga Liverpool au hata Man city goli nyingi tu achilia mali uhakika wa kumfunga arsenal ..lakini naona Ole anakwama ..yani bado hajui fist XI yake ni ipi. Na hii itampa tabu sana..
Kila la kheri Chelsea
.

Siku hizi unaonyesha ukomavu.

Nilikuwa naingia humu mnatukanana asenyeto na chelwowo, nyumbu
 
Labda mimi ndio nikisaidie

Kiungo chochote cha mwili kikizidi na mchezaji akafunga goli, hiyo itahesabiwa kuwa ni off side position

Labda hiyo ya kiungo kinaweza kufunga ni sheria mpya ya offside ambayo imeanza kutumika msimu huu
Hapana mkono ukizidi hauhesabiwi kwenye offside position unless mchezaji awe ameshusha mwili wake kwenye angle of inclination hiyo inakuwa offside.
 
Sheria ya 11 katika sheria za Mpira inasema hivi: "A player is in an offside position if any of their body parts, except the hands and arms, are in the opponents' half of the pitch, and closer to the opponents' goal line than both the ball and the second-last opponent (the last opponent is usually, but not necessarily, the goalkeeper)".

Hiyo ni sheria ya miaka mingi tokea ilipoanza kutumika sheria ya offside na si ya msimu huu.

Mkono hauwezi kuwa offside kwasababu hauchezi mpira wala haufungi kwani ukigusa tu ni Handball.
Ushabiki mwingi na sheria hawazijui
 
Ibilisi wekundu soon mtarudi kwenye maisha yenu

Naona jana umeenda sumbawanga kwa mganga umelala uchi bado unateseka tu

Ulisikia wapi tembo akikonda anafanana na paka?


Pamoja na kufanya vibaya kamwe makombe 20 hayawez kwenda timu yako pambana na hali yako mkuu
 
The problem ni hao wachezaji ambao anagombania nao namba (Mata,Perreira,) ni wabovu pia,ni ngumu sana Lingard kumuweka benchi mchezaji kama Eriksen,Bernado Silva
Lingard akipata mpira katikati ya uwanja utakuta chap ushafika kwenye box la mpinzani hiyo ni advantage sana especially kwenye timing kabla timu pinzani haijarudi
 
Aya maisha sijui yatajirudia lini wajemeni.
 

Attachments

  • EVERY PL Goal vs Wolves Manchester United vs Wolverhampton Wanderers 144 x 256.mp4
    6.9 MB
Watu wanafikiriaga VAR ni roboti

Kuna wengine waliposikia VAR kutumia EPL walifurahi sana labda walidhani VAR itaweza kukubali au kukataa Goli au itaamua kuwa ni Penalty au sio Penalty!

Kumbe hawajui Kuwa VAR (Video Assistant Referee) ni Television tu ya Kawaida inayoonesha tukio lililotokea ambalo Refereee hana uhakika nalo!

Lakini Refa huyohuyo akishaliangalia hilo tukio kwenye VAR yeye ndiye atabaki kuwa muamuzi wa Mwisho na wala sio VAR ndiyo itakayoamua.

Kwahiyo Refa kuboronga kwenye EPL kutaendelea palepale kama wanavyoboronga kwenye CL na WC ingawa kuna VAR.
 
167 Reactions
Reply
Back
Top Bottom