Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo herrera mwenyewe hakuwa akicheza mechi zote. So sidhan eti man u itatetereka sababu ya herrera. Wameondoka wachezaji wemye impact kubwa kulikk herrera na bado.man u ipo.
tulia wewe ..Hivi hii manure tangu asepe mzee fargie kuna mchezaji aliyefikisha goli 20??

Hii manure wataanza kwa kasi sana ila baada ya gemu kama saba iv au nane wataanza kupotena apa..Wewe hauna Lukaku, hauna Herrera una Masho na uyo Rashid unategemea kushindana na big giants kama Chelsea au Liverpool. Uyu ole akatizi October atakuwa amefukuzwa.
 
big giant Chelsea? Hivi mkuu unaakili timamu au unatumia mlija.....tunaiongelea chelsea yenye striker Abraham, Giroud na batshuayi Nani hapo atafunga goli 20? Hamna tunaongelea Mount na Pulisic je wanaweza funga goli 13 au kucreate nafasi 13? Ngoja ligi ianze
 
Kama mpaka fa wamewapa muda wa nyongeza man u wafanye usajili kisa tu huyo shoga alikua likizo basi kuna tatizo kubwa sana klabuni pale mimi na wew hatulioni....fa washaliona anguko letu waziwazi na hii fair ni only united ndio tumepewa hakuna na haitatokea timu yoyote kupata upendeleo huu
manchester united ni bora wafanye mipango ya kuanzisha kikundi cha ulinzi shirikishi, timu ina walinzi 13 lakini ni walinzi watatu tu ndio wana muelekeo wa kupata namba kikosi cha kwanza kwenye timu kubwa kama vile manchester city na liverpool.

  • vidic, ferdinand, jonny evans, brown (kiraka), oshea (kiraka), neville, evra.​
  • maguire, smalling, jones, bailly, lindelof, rojo, darmian, dalot, young, tuanzebe, shaw, bissaka.​
tokea dirisha la usajili halijaanza mpaka limemaliza kama tungelikuwa tunatafuta mchangiaji asiyekuwa na chembe ya uoga wa kusimamia anachokiamini basi kura yangu ningelimpa bwana PTER .

Nimesikia tetesi zinadai ya kwamba FA wameamua kuiongezea muda wa kufanya usajili klabu ya manchester united kwa sababu CEO ed woodward alikuwa na likizo ya kazi kwa takribani wiki mbili.
 
20190809_234456_rmscr-1.jpg
 
Which team has the best front three? View attachment 1177017

The youngest front three is definitely the best. Linganisha umri wa hizo front three zingine kwa kipindi wakiwa na umri wa hawa madogo zetu walikua na viwango gani. Yaani bado hamuamini we have a golden team ambayo itatesa sana EPL kwanzia msimu huu hadi sita ijayo.
 
Ole akifukuzwa United atakuja kocha mpya mwenye falsafa nyingine kabisa.

Hapo itabidi auze wachezaji wa Ole wa Pressing style atataka wachezaji wapya watakaofit kwenye style yake ya uchezaji.

Moyes alikuja na wachezaji wake.

LVG akaja na wake na mfumo wake.

Alivyokuja Mou akaja na aina yake na akataka alete wachezaji wake ndo wakashindwana na boss Ed akatimuliwa akaja Ole na akaanza kuuza wachezaji wa Mou akianza na Lukaku kisa hawafiti kwenye style yake ya uchezaji.

Kutokuwa na Technical Director ni tatizo kubwa sana pale United.
 
Ningekuwa niko kwenye nafasi ya ED.

Ninapomfukuza kocha, kocha anaefuata lazima awe anatumia falsafa kama ya kocha aliyepita.

In short, unaajiri kocha anaendana na falsafa ya timu. Ndio maana si rahisi barca kumuajiri Mou kama kocha.

Van gaal aliwahi kusema ,wakati anajadiliana na uongozi wa Man u, kuhusu kupewa kibarua. Football matters hazikupewa kipaumbele.
Hili ni tatizo kubwa,
 
Unavyojiamini na huyo Lampard wako.

Bora uwe mpole tu, kocha wenu bado mwanafunzi.
Mim Nina uhakika kama siyo point sita basi ni nne tutazibeba kutoka man united..

Arsenal tutazuia point nne tu.

Spurs tutazuia point tatu.

Man city point mbili.

Liverpool point mbili.

Top six itakuwa imekamilika, uku kwengine tutakuwa tunakichafua tu hakuna wa kutuzuia mkuu.

Tukutane mwisho wa msimu
 
big giant Chelsea? Hivi mkuu unaakili timamu au unatumia mlija.....tunaiongelea chelsea yenye striker Abraham, Giroud na batshuayi Nani hapo atafunga goli 20? Hamna tunaongelea Mount na Pulisic je wanaweza funga goli 13 au kucreate nafasi 13? Ngoja ligi ianze
Sasa Chelsea kwa tuna kikosi bora sana japo tuko underrated kwa sababu ya ban na kuondoka kwa msaliti Luiz na legendary Hazard kumefanya mujiamin Chelsea itakuwa ya kupigwa pigwa tu kama Arsenal au ninyi manure. Sisi tuna vijana wenye kiu ya kupambana na kufunga magoli mengi. Hatuna vijana mabisho kama Masho au Rashid wao wakifikisha goli kumi kwenye ligi imeisha iyooo wana relax wanasubiri msimu uishe. Nina uahakika Tammy anamaliza juu ya Auba wa arsenal kwa idadi ya magoli...

Man united 1-3 Chelsea..
 
Back
Top Bottom