Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Halafu tuclarify kitu kimoja Hapa.Inaonekana hujaelewa. Man city wameanza kuweka serious investment lini kwenye academy? wana best facilties in England mpaka watoto wa former United players wanapelekwa pale. hapa nazungumzia Investment ya Mansour na tangu aingie ndio kwanza miaka 11 kama sikosei, na hio academy tangu aweke investment sina uhakika ni miaka mingapi, wait and see.
Shida ya Man city hawana kocha anaepend kuwapa gametime makinda.
Na hao uliowataja ni wachezaji wa kawaida tu perfomance yao ni average, hawana uwikaji mmoja ulaya. Hata lingard kuna kipindi alifananishwa na Messi. English medias bana!!
Academy inasajili wachezaji na sio wazazi wanapeleka wachezaji kwenye academies.
Hao wachezaji wa zamani unaoona watoto wao wapo city Ni sababu hawana viwango, vya kuingia United, mfano mzuri Harvey Mtoto wa Neville alitrain kwenye academy ya city, alipokuza kiwango mwaka Jana ndio amekubaliwa kujiunga na academy ya man UTD.
Ingekuwa wazazi wanapeleka watoto wao academies basi watu wenye hela ndio watoto wao ungewaona academies kubwa duniani.
| Napoli’s owner, Aurelio De Laurentiis: