Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu Licha ya wengi kulaumu kuhusu kuuzwa lukaku Mimi nilivyomuelewa solskjaer ni kuwa lukaku hakuwadanganya anafutilia kwenye pressing style yetu, kocha anahaki ya kumkubali na kumkataa mchezaji kwasababu anazoona yeye zinafaa.....mwisho tusubiri ligi ianze ndo tulaumu maamuzi ya solskjaer ila Mimi naamini pengo la lukaku halitaonekana labda pengo katika midfield
ili pengo la lukaku lisionekane hao watakaoziba nafasi yake wanapaswa wafunge magoli yao pamoja na magoli ya lukaku.
ishu iko hivi:
kama rashford, martial, greenwood wana uwezo wa kufunga magoli 15 kwa msimu kwa kila mmoja pia wanatakiwa wamfungie lukaku magoli yake 25 ya msimu.
je uwezo huo wanao kwa kuangalia hizo mechi za preseason pamoja na viwango vyao vya msimu uliopita?

kama uwezo huo wanao basi tutakuwa na safu kali ya ushambuliaji kuliko utatu mtakatifu wa liverpool ambao kabla ya lukaku kuondoka hatukuweza kuwafikia kwa magoli.

siwezi kuishi na mgonjwa kwa kuhofia nitasababisha apoteze uhai wake mapema kwa kukata kwangu tamaa
 
ili pengo la lukaku lisionekane hao watakaoziba nafasi yake wanapaswa wafunge magoli yao pamoja na magoli ya lukaku.
ishu iko hivi:
kama rashford, martial, greenwood wana uwezo wa kufunga magoli 15 kwa msimu kwa kila mmoja pia wanatakiwa wamfungie lukaku magoli yake 25 ya msimu.
je uwezo huo wanao kwa kuangalia hizo mechi za preseason pamoja na kiwango vyao vya msimu uliopita?

kama uwezo huo wanao basi tutakuwa na safu kali ya ushambuliaji kuliko utatu mtakatifu wa liverpool ambao kabla ya lukaku kuondoka hatukuweza kuwafikia kwa magoli.

siwezi kuishi na mgonjwa kwa kuhofia nitasababisha apoteze uhai wake mapema kwa kukata kwangu tamaa
ronny,ronald na revez walikuwa wanarotate hicho ndiyo anachotaka ogs

9 aende 11 na 10 aende 7 wazunguke hivyo

Tashford atakuwa anakuja Kati james na Martial the same mabeki mnawachanganya
 
mkuu Hata huyo teve


Mkuu hata huyo tevez, ronny na ronald leo hii hawana uwezo ule
rashford = kiwango hiki alichonacho kinafanana na kiwango cha tevez yule wa manchester united?
martial = kiwango hiki alichonacho kinafanana na kiwango cha ronaldo yule wa manchester united?
greenwood = kiwango hiki alichonacho kinafanana na kiwango cha rooney yule wa manchester united?

mkuu ndicho nilichokikusudia.
hiyo rotation unayoizungumza nyakati za fergie ilifanikiwa kwa sababu utatu wetu mtakatifu ulikuwa onfire
 
Masho
Screenshot_20190809-194857.jpeg
 
Tunacompare Man UTD na man city,

Hebu nitajie man city toka club ianzishwe mchezaji mmoja tu Kama Pogba au pique ama Rossi.

Pique Moja ya beki Bora duniani,

Pogba Moja ya midfield Bora duniani

Rossi Moja ya striker Bora duniani (top scorer Serie A na la Liga Mara kibao Kasumbuana na Kina Ronaldo na Messi). Sema Majeruhi tu yameharibu career yake.

Pique ni beki average mno

Pique kazidiwa hata na Rudiger
 
Nadhan moja ya mambo yaliyochangia kiwango chake kushuka ni alipo pokonywa namba wkt aliku bado kwenye form.
It time arusishwe pale mbele maana man u walimsajili martial kama namba9
Sure..kipind kile alivyoanza tu ile mechi nahic ilikua ya Liverpool na ilikua pale Theatre of Dreams, kaingia tu na kupata pasi, wayaaa..kama sijakosea mech kama 4-6 alifunga mfululizo!
 
Kuna watu naona kabisa wameyumbishwa na vijembe vya akina ollachuga sasa na wao wanaanza kiukashfu timu yao wenyewe

Yani unakua mgeni nyumbani kwako

Enyi mashabiki wenzangu wa man u ni nani aliye waroga?
tulia wewe ..Hivi hii manure tangu asepe mzee fargie kuna mchezaji aliyefikisha goli 20??

Hii manure wataanza kwa kasi sana ila baada ya gemu kama saba iv au nane wataanza kupotena apa..Wewe hauna Lukaku, hauna Herrera una Masho na uyo Rashid unategemea kushindana na big giants kama Chelsea au Liverpool. Uyu ole akatizi October atakuwa amefukuzwa.
 
First half mechi ya kwanza ya ligi wajinga wa anfield wanaongoza 4-0.
Tuna kazi kubwa kuifikia Liverpool ilipo sasa

Washabiki wa man utd mmekata tamaa mapema hata ligi hamjacheza game moja. Tulieni msisahau this is EPL anything can happen. Hii ligi haieleweki wakuu unaweza shangaa umdhaniae atashinda kumbe ndo anayefungwa. Guardiola kachukua makombe mfululizo bila bado mi naamini EPL haina mchawi wake hata yeye na klopp watachemka tu subiri ni muone cha muhimu kila mtu ashinde zake za nyumbani OGS a najua anachofanya muacheni mpeni muda hawa watoto wake wanaweza kufanya maajabu bado na kuwaacha mdomo wazi msiamini.

Remember this is EPL ANYTHING CAN HAPPEN. liverfools wasiwatishe muachieni OGS afanye kazi yake tutamhukumu December.
 
Back
Top Bottom