Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Wanaangalia infrastructures tuMan City wana academy bora kwa kigezo gani mzee
Nitajie senior players 5 wanaowika Ulaya waliopikwa City academy
Wanaangalia infrastructures tuMan City wana academy bora kwa kigezo gani mzee
Nitajie senior players 5 wanaowika Ulaya waliopikwa City academy
Kwanini huwaamini wachezaji waliopo kwa sasa mkuu
Mechi ipi alikichafua akiwa kiungo?
Kwani tangu aondoke Fergie kuna senior players wangapi wanawika ulaya from MUFC academy?Man City wana academy bora kwa kigezo gani mzee
Nitajie senior players 5 wanaowika Ulaya waliopikwa City academy
Naheshimu sana mawazo yako ktk timu ambazo zimefanya hovyo sokoni bado united huu ni mwaka wa 6 unaenda vibaya na mashabik wanajua huu ni mwaka wa 6 hamna DM huu ni mwaka wa 6 hamna striker wa maana huu ni mwaka wa 6 hamna 7 na 11 wa maana unaamini hayo matatizo yametatuliwa walau nusu? La hasha hata hatujagusa
Lindelof bado sio bek makin kabisa yaani Maguire anakazi kubwa ya kufanya nakwambia
Shaw injury prone
Rojo injury prone
Smaliing unamjua
Jones unamjua
Hapo kuna darmian
Young unamjua
Matic unamjua
Lingard unamjua
Rashford mech 5 au 6 anafunga goli moja
Martial hivyo hivyo na kinachombeba martial ni ball contro na dribling ila kwenye kufunga majanga pia
Haya njoo
Liverpool mbele tu wana top scorer
Achana na kiuongo bek na kipa
City top scorer
Achana na viungo bek na kipa
Arsenal top scorer
Hapa hata viungo wao wanakuwa wa maana sana miaka yote huwa wanatupoteza katikatik huwa tuna bahati ya kushinda tu
Spurs second best top scorer
Kiuongo had bek zao zipo safi
United mtu mwenye goli nyingi ni pogba 13 hapo kuna penat 6 au 7 hivi
Lingard ambae hucheza namba 10 muda mwingine goli 4 na assist 3
Sanchez goli 3 na assist 2 sijui
Je tumesajili vizur?
Hata vipaumbele vya solskjaer havipatikana
Kumsajili magiure ni baada ya Erick Bailly kuumia bila hivyo Bissaka na James ilikuwa mwisho tushukiru injury ya Bailly.
Paul pogba, Pique, Lingard, Rashford, Mc tominay, Rossi, Tim Heaton, Spector, simpson, drink water, de laet, Phil bradsley, Joshua king, cathcart, Michael Kean, Robbie Brady, Tuanzebe, fosu mensah, perreira, welbeck, januzaj, Morrison, Pereira (kipa), Johnstone etcKwani tangu aondoke Fergie kuna senior players wangapi wanawika ulaya from MUFC academy?
Huwezi kuniamini lakini Rashford muna bonge la Striker! Subiri awe matured tu uweze kuconfirm
Luiz sio key player. Hazard, Kante Ngolo, Kepa, Rudiger, Willian, na n.k ndo key player. modogo kama akina Odoi, Mount, na n.k ni upcoming key player. .Ole sio kocha unauza striker ukiwa huna mbadala?
Unauza kiungo ukiwa huna mbadala?
Mourinho aligoma kumuuza fellain hakuwa na mbadala hapa alilazimisha kuongeza mkataba ulikuwa unakwisha
Ole angemuuza sanchez wala nisingepiga kelele herrera wakumuacha????
Lampard kamuuza luiz akiwa hana mbadala kichekesho
Pep na klopp + pochetino watatunyoosha sana
Kwa sasa hii timu haiwez hata kusimama na arsenal bado west ham, everton, wolves timu imejengwa miaka 26 wafanyabiashara wanaivunja ndani ya miaka 6
Ujaona ya Chelsea mkuu. Acha unaziHapa duniani ukitoa Academy ya Barca inayofuata nyuma yake ni ya Man city kwa ubora. Majirani zetu wameekeza kisawasawa kwenye mpira.
Vizuri sana mkuu, wewe ndo fan wa mpira.Dirisha la usajili ndio hilo limefungwa
Sasa club iangalie kupata Sporting/Technical Director na si lingine
Shabiki yoyote angependa kuona sura mpya kikosini, hiyo ndiyo hulka yetu.... Yaani hata Rojo angekuwa yupo Benfica juzi tungetamani sana jana atangazwe kuwa mchezaji wetu mpya. All fans are desperate for new faces
Kuna baadhi yetu Nimeona wanawatamani Arsenal kwenye usajili wao na wanauponda usajili wetu. Amin Amin nakwambia, hata Man Utd wasingesajili mwanzo wa dirisha (kama ilivyokuwa kwa Arsenal) halafu mwishoni tuje tusajili Daniel James, Wan Bissaka na Maquire na Arsenal wange fanya usajili huu walioufanya, mapema dirisha lilipofunguliwa, tungeona sisi tumesajili vizuri zaidi
Kiujumla kwa mujibu wa mahitaji yetu na mahitaji ya Arsenal, naona sisi tuna afadhali kuliko wao. NIMESEMA TUNA AFADHALI, SIJASEMA NIMEREDHIKA. Bado naamini tulimuhitaji sana BF asaidiane na Pogba, tulihitaji sana CDM na winger wa kulia, japo hizo nafasi mbili za mwanzo nilizozitaja ndio zilikuwa muhimu sana.
Ukiniambia mimi ni rank timu zipi zilizosajili vizuri (kwa top six) kulingana na mahitaji yao, wa kwanza nitampa Man City, wa pili Spurs na wa tatu atakuwa United kisha Arsenal na Liverpool. Chelsea wao hawakusajili kabisa
Kiukweli tulihitaji sana, beki wa kati na wa pembeni kulia, pia tulihitaji winger ambao watatoa nafasi kwa Martial na Rashford kucheza zaidi kwenye nafasi wanazozipendelea, na hilo ndilo lilifanyika. Huu usajili wa kuzingatia mahitaji ndio unanifanya niseme tumesajili afadhali. Lakini kiujumla usajili wetu msimu huu hauridhishi lakini utaifanya timu kuwa imara kuliko ilivyokuwa msimu ujao
City wameimarika zaidi. Liverpool wataendelea kuwa na changamoto ya depth ya kikosi, Arsenal pia wata improve beki yao ya kushoto na winger yao ya kulia na Spurs watatisha zaidi.
Kiujumla dirisha hili lilipita halitakumbukika sana vichwani mwetu washabiki wa United.
Ngoja tuwaangalie pia mazao kutoka academy akina Mc Tominay, Pereira, Tuanzebe, Greenwood, Gomes, Chong kama wataweza kutuongezea nguvu pale palipopungua.
EPL IS BACK


Mkuu I feel your pain, but I also try to understand the factNaheshimu sana mawazo yako ktk timu ambazo zimefanya hovyo sokoni bado united huu ni mwaka wa 6 unaenda vibaya na mashabik wanajua huu ni mwaka wa 6 hamna DM huu ni mwaka wa 6 hamna striker wa maana huu ni mwaka wa 6 hamna 7 na 11 wa maana unaamini hayo matatizo yametatuliwa walau nusu? La hasha hata hatujagusa
Lindelof bado sio bek makin kabisa yaani Maguire anakazi kubwa ya kufanya nakwambia
Shaw injury prone
Rojo injury prone
Smaliing unamjua
Jones unamjua
Hapo kuna darmian
Young unamjua
Matic unamjua
Lingard unamjua
Rashford mech 5 au 6 anafunga goli moja
Martial hivyo hivyo na kinachombeba martial ni ball contro na dribling ila kwenye kufunga majanga pia
Haya njoo
Liverpool mbele tu wana top scorer
Achana na kiuongo bek na kipa
City top scorer
Achana na viungo bek na kipa
Arsenal top scorer
Hapa hata viungo wao wanakuwa wa maana sana miaka yote huwa wanatupoteza katikatik huwa tuna bahati ya kushinda tu
Spurs second best top scorer
Kiuongo had bek zao zipo safi
United mtu mwenye goli nyingi ni pogba 13 hapo kuna penat 6 au 7 hivi
Lingard ambae hucheza namba 10 muda mwingine goli 4 na assist 3
Sanchez goli 3 na assist 2 sijui
Je tumesajili vizur?
Hata vipaumbele vya solskjaer havipatikana
Kumsajili magiure ni baada ya Erick Bailly kuumia bila hivyo Bissaka na James ilikuwa mwisho tushukiru injury ya Bailly.
Hata mimi naonaWanaangalia infrastructures tu
Kwani academy ya United imeanzishwa Fergie alipoondoka?Kwani tangu aondoke Fergie kuna senior players wangapi wanawika ulaya from MUFC academy?
Akirudi uni tag mkuuPaul pogba, Pique, Lingard, Rashford, Mc tominay, Rossi, Tim Heaton, Spector, simpson, drink water, de laet, Phil bradsley, Joshua king, cathcart, Michael Kean, Robbie Brady, Tuanzebe, fosu mensah, perreira, welbeck, januzaj, Morrison, Pereira (kipa), Johnstone etc
Leicester wanachukua ubingwa na wachezaji 5 toka academy ya man U,
Kwa Uingereza man city Ni academy ya 5 list ipo Kama Hivi
1. Man UTD
2. Totenham
3. Southampton
4.chelsea
5. Man city.
Wamezirank kwa dakika ambazo academy graduates wamecheza. Man utd Ni zaidi ya mara mbili ya city.
Hao ndio wanawika Ulaya saiv? Yaani hao uliowataja ndio wanatikisa Ulaya ni tishio kweli kweli? Duh!Paul pogba, Pique, Lingard, Rashford, Mc tominay, Rossi, Tim Heaton, Spector, simpson, drink water, de laet, Phil bradsley, Joshua king, cathcart, Michael Kean, Robbie Brady, Tuanzebe, fosu mensah, perreira, welbeck, januzaj, Morrison, Pereira (kipa), Johnstone etc
Leicester wanachukua ubingwa na wachezaji 5 toka academy ya man U,
Kwa Uingereza man city Ni academy ya 5 list ipo Kama Hivi
1. Man UTD
2. Totenham
3. Southampton
4.chelsea
5. Man city.
Wamezirank kwa dakika ambazo academy graduates wamecheza. Man utd Ni zaidi ya mara mbili ya city.
Tunacompare Man UTD na man city,Hao ndio wanawika Ulaya saiv? Yaani hao uliowataja ndio wanatikisa Ulaya ni tishio kweli kweli? Duh!
Luiz sio key player. Hazard, Kante Ngolo, Kepa, Rudiger, Willian, na n.k ndo key player. modogo kama akina Odoi, Mount, na n.k ni upcoming key player. .