Hapa duniani ukitoa Academy ya Barca inayofuata nyuma yake ni ya Man city kwa ubora. Majirani zetu wameekeza kisawasawa kwenye mpira.Tunaposema academy yetu imekuwa mbovu tukumbuke pia kila mwaka inatoa vijana wengi tu wanaishia wapi ?

Kwanini huwaamini wachezaji waliopo kwa sasa mkuu
Dirisha la usajili ndio hilo limefungwa
Sasa club iangalie kupata Sporting/Technical Director na si lingine
Shabiki yoyote angependa kuona sura mpya kikosini, hiyo ndiyo hulka yetu.... Yaani hata Rojo angekuwa yupo Benfica juzi tungetamani sana jana atangazwe kuwa mchezaji wetu mpya. All fans are desperate for new faces
Kuna baadhi yetu Nimeona wanawatamani Arsenal kwenye usajili wao na wanauponda usajili wetu. Amin Amin nakwambia, hata Man Utd wasingesajili mwanzo wa dirisha (kama ilivyokuwa kwa Arsenal) halafu mwishoni tuje tusajili Daniel James, Wan Bissaka na Maquire na Arsenal wange fanya usajili huu walioufanya, mapema dirisha lilipofunguliwa, tungeona sisi tumesajili vizuri zaidi
Kiujumla kwa mujibu wa mahitaji yetu na mahitaji ya Arsenal, naona sisi tuna afadhali kuliko wao. NIMESEMA TUNA AFADHALI, SIJASEMA NIMEREDHIKA. Bado naamini tulimuhitaji sana BF asaidiane na Pogba, tulihitaji sana CDM na winger wa kulia, japo hizo nafasi mbili za mwanzo nilizozitaja ndio zilikuwa muhimu sana.
Ukiniambia mimi ni rank timu zipi zilizosajili vizuri (kwa top six) kulingana na mahitaji yao, wa kwanza nitampa Man City, wa pili Spurs na wa tatu atakuwa United kisha Arsenal na Liverpool. Chelsea wao hawakusajili kabisa
Kiukweli tulihitaji sana, beki wa kati na wa pembeni kulia, pia tulihitaji winger ambao watatoa nafasi kwa Martial na Rashford kucheza zaidi kwenye nafasi wanazozipendelea, na hilo ndilo lilifanyika. Huu usajili wa kuzingatia mahitaji ndio unanifanya niseme tumesajili afadhali. Lakini kiujumla usajili wetu msimu huu hauridhishi lakini utaifanya timu kuwa imara kuliko ilivyokuwa msimu ujao
City wameimarika zaidi. Liverpool wataendelea kuwa na changamoto ya depth ya kikosi, Arsenal pia wata improve beki yao ya kushoto na winger yao ya kulia na Spurs watatisha zaidi.
Kiujumla dirisha hili lilipita halitakumbukika sana vichwani mwetu washabiki wa United.
Ngoja tuwaangalie pia mazao kutoka academy akina Mc Tominay, Pereira, Tuanzebe, Greenwood, Gomes, Chong kama wataweza kutuongezea nguvu pale palipopungua.
EPL IS BACK

Jones huwa anacheza kama kiungo pia. Ukimweka hapo DM huwa anakichafua balaa

Ngoja tuone mkuu
Ila kwa viungo tulionao on paper tu ni kama hatuna watu..utakuwa ni unafki tu tukisema kuwa tuko sawa wakati ukiacha Pogba hatuna mtu mwingine pale middle..tulihitaji kiungo wa level za juu kabisa hilo halina ubishi..

Mechi ipi alikichafua akiwa kiungo?
Bayern munichen v Manchester united quarterfinal UEFA.Mechi ipi alikichafua akiwa kiungo?
Hahaha Mimi nilishajiandaa kupata matokeo yoyote yale kwa timu yetu.Subiri tuone mkuu, binafsi pale mbale bado nina imani na Sanchez kuliko mchezaji yeyote yule.
Dirisha la usajili ndio hilo limefungwa
Sasa club iangalie kupata Sporting/Technical Director na si lingine
Shabiki yoyote angependa kuona sura mpya kikosini, hiyo ndiyo hulka yetu.... Yaani hata Rojo angekuwa yupo Benfica juzi tungetamani sana jana atangazwe kuwa mchezaji wetu mpya. All fans are desperate for new faces
Kuna baadhi yetu Nimeona wanawatamani Arsenal kwenye usajili wao na wanauponda usajili wetu. Amin Amin nakwambia, hata Man Utd wasingesajili mwanzo wa dirisha (kama ilivyokuwa kwa Arsenal) halafu mwishoni tuje tusajili Daniel James, Wan Bissaka na Maquire na Arsenal wange fanya usajili huu walioufanya, mapema dirisha lilipofunguliwa, tungeona sisi tumesajili vizuri zaidi
Kiujumla kwa mujibu wa mahitaji yetu na mahitaji ya Arsenal, naona sisi tuna afadhali kuliko wao. NIMESEMA TUNA AFADHALI, SIJASEMA NIMEREDHIKA. Bado naamini tulimuhitaji sana BF asaidiane na Pogba, tulihitaji sana CDM na winger wa kulia, japo hizo nafasi mbili za mwanzo nilizozitaja ndio zilikuwa muhimu sana.
Ukiniambia mimi ni rank timu zipi zilizosajili vizuri (kwa top six) kulingana na mahitaji yao, wa kwanza nitampa Man City, wa pili Spurs na wa tatu atakuwa United kisha Arsenal na Liverpool. Chelsea wao hawakusajili kabisa
Kiukweli tulihitaji sana, beki wa kati na wa pembeni kulia, pia tulihitaji winger ambao watatoa nafasi kwa Martial na Rashford kucheza zaidi kwenye nafasi wanazozipendelea, na hilo ndilo lilifanyika. Huu usajili wa kuzingatia mahitaji ndio unanifanya niseme tumesajili afadhali. Lakini kiujumla usajili wetu msimu huu hauridhishi lakini utaifanya timu kuwa imara kuliko ilivyokuwa msimu ujao
City wameimarika zaidi. Liverpool wataendelea kuwa na changamoto ya depth ya kikosi, Arsenal pia wata improve beki yao ya kushoto na winger yao ya kulia na Spurs watatisha zaidi.
Kiujumla dirisha hili lilipita halitakumbukika sana vichwani mwetu washabiki wa United.
Ngoja tuwaangalie pia mazao kutoka academy akina Mc Tominay, Pereira, Tuanzebe, Greenwood, Gomes, Chong kama wataweza kutuongezea nguvu pale palipopungua.
EPL IS BACK
Na hao madridi hawajashinda hata mechi Moja ya preseason ujueAngalieni usajili wa madrid pamoja na kuwa na nyota kibao lakin wameingia sokoni wametoka na watu 6 wa maana hii timu ya smalling,jones na young unachukua watu wa 3 tena james na bissaka ambao wanatakiwa kukomaa
Na hao madridi hawajashinda hata mechi Moja ya preseason ujue
Bayern munichen v Manchester united quarterfinal UEFA.
Timu ilikuwa chini ya Moyes na katika kipindi cha Moyes Phil jones alichezeshwa zaidi kwenye kiungo.Unaongelea timu iliyokuwa na watu wanaojitambua hata sir alex alikuwa anapanga mabek watupu
Mpange saiv tukicheza na city au liverpool tupate majibu au kule kujifunga unafikir anapenda
Humu watu wenye hisia ni wengi kuliko wenye uhalisia yaani watu wana squad rotation kubwa wewe una Greenwood Mimi nafikiri hata wolves watatusumbua tena
Timu hii kutoa ushindani ni ngumu sana hata kwa Top 4 ukiangalia Spurs tu wametuacha mbali sana
Timu ilikuwa chini ya Moyes na katika kipindi cha Moyes Phil jones alichezeshwa zaidi kwenye kiungo.
Naheshimu sana mawazo yako ktk timu ambazo zimefanya hovyo sokoni bado united huu ni mwaka wa 6 unaenda vibaya na mashabik wanajua huu ni mwaka wa 6 hamna DM huu ni mwaka wa 6 hamna striker wa maana huu ni mwaka wa 6 hamna 7 na 11 wa maana unaamini hayo matatizo yametatuliwa walau nusu? La hasha hata hatujagusa
Lindelof bado sio bek makin kabisa yaani Maguire anakazi kubwa ya kufanya nakwambia
Shaw injury prone
Rojo injury prone
Smaliing unamjua
Jones unamjua
Hapo kuna darmian
Young unamjua
Matic unamjua
Lingard unamjua
Rashford mech 5 au 6 anafunga goli moja
Martial hivyo hivyo na kinachombeba martial ni ball contro na dribling ila kwenye kufunga majanga pia
Haya njoo
Liverpool mbele tu wana top scorer
Achana na kiuongo bek na kipa
City top scorer
Achana na viungo bek na kipa
Arsenal top scorer
Hapa hata viungo wao wanakuwa wa maana sana miaka yote huwa wanatupoteza katikatik huwa tuna bahati ya kushinda tu
Spurs second best top scorer
Kiuongo had bek zao zipo safi
United mtu mwenye goli nyingi ni pogba 13 hapo kuna penat 6 au 7 hivi
Lingard ambae hucheza namba 10 muda mwingine goli 4 na assist 3
Sanchez goli 3 na assist 2 sijui
Je tumesajili vizur?
Hata vipaumbele vya solskjaer havipatikana
Kumsajili magiure ni baada ya Erick Bailly kuumia bila hivyo Bissaka na James ilikuwa mwisho tushukiru injury ya Bailly.
Man City wana academy bora kwa kigezo gani mzeeHapa duniani ukitoa Academy ya Barca inayofuata nyuma yake ni ya Man city kwa ubora. Majirani zetu wameekeza kisawasawa kwenye mpira.