FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Huu msimu kimeo kuliko uliopita... Majanga chelsea na utdTuna nafasi nzuri ya kufańya vzuri zaidi yenu..
Huu msimu kimeo kuliko uliopita... Majanga chelsea na utdTuna nafasi nzuri ya kufańya vzuri zaidi yenu..
Huu msimu kimeo kuliko uliopita... Majanga chelsea na utd
Mkuu kwanini timu zinajibuild before msimu?Msimu hata hujaanza. Mmeshaanza ku judge. Tulia mechi kumi zipite ndio tuone.
Mkuu unanifurahisha{ga} the way ambavyo unajipa hope kwa kuwaza positive alwaysHii picha ilikosewa miaka ya mikataba ila umri ipo sahihi, tuangalie watakavyocheza msimu huu ila naamini tupo kwenye njia sahihi, winga wa kulia na midfield ya maana January ikiwezekana.

ni kweli mkuu tulikata mafuta upesi, ila ni suala la kifitness zaidi ambalo kocha alidai atalifanyia kazi kwenye hii pre season, ngoja tuone,Bro tutaiwaza January tukiwa kwenye nafasi ipi? Tatizo ndipo linapoanza hapo... Msimu uliopita Ole alianza vizuri tokea alipochukua mikoba ila kumbuka kilichofuata baada ya game ya PSG.... So labda awe so cautious kutofanya rotations zisizo na msingi na kustick na watu anaoona wanafit na wana consistence nzuri... La sivyo tutakuwa tena chama la wana na kuendelea kustruggle kwa wolves.
inabidi uwe positive mkuu, we fikiria tu angel gomes ni mzuri kushinda Eriksen na Bruno, na kina dalot watafuata nyayo za bale.Mkuu unanifurahisha{ga} the way ambavyo unajipa hope kwa kuwaza positive always
Yaani tusibiri Hadi January kwa Jambo ambalo ilikuwa Ni muhimu na lazima kulifanya wakati huu?
Yaani tuje kuziba viraka January wakati tushapigwa gape la point 11 na wapinzani wetu?
Anyway tuendelee kuipenda badge ndipo Moyo ulichachagua kukipenda, lakini tukubali ukweli kwamba huyu Deadwood anatunyanyasa sana.
mkuu cooper ameongea wish ya OLE ni kama ya mashabiki, alitaka midfielder creative na winger wa kulia kabla ya dirisha la usajili, ila woodward ndio amefeli kudeliver,Wakuu wengi Sana tunamkosoa Ed peke yake juu ya kukosa usajili wa midfielder 1 na striker mbadala wa lukaku....
ila uhalisia ninaoona mimi Ole amechangia kwa hili suala.... issue inakuja solskjaer anaamini sana katika tabia ya kutumia makinda na kuwapa nafasi na kuwa na kikosi kidogo anachoweza kukimanage..... Katika press kadhaa alizungumzia hawa madogo na ameonesha anatamani Sana kuwatumia kwenye first team swali linalokuja hapa je wataderiver?, Nikweli wanatalent ila je wataweza kuishi na pressure ya kusemwa na media pindi wanapocheza chini ya kiwango?....
Greenwood, Angel gomez, Chong na Garner wote wananafasi msimu huu... hapo Greenwood na Gomez wakiwa wamepewa namba ndogo mgongoni ambazo huwa zinatumiwa na wachezaji wale key 23 wa timu..... Kitu kisichopingika kabisa Licha ya talent kubwa waliyonayo Greenwood, Gomez, chong hawana nguvu za kuweza kusema wataweza pambana kuwin baadhi ya mipira...kidogo Garner yupo vizuri ila sio kihivo.......
Msimu huu unaweza kuwa na matokeo mawili tu....either tufanye vizuri sana or tufanye vibaya sana... maana wachezaji wanaweza kuderiver vizuri au wakaharibu kabisa na mbinu ya solskjaer inaweza leta positive impact au ndo inaweza fanya kocha mwingine ake aanze upya hii project inayowapendelea #classof2019.....
Wakuu wengi Sana tunamkosoa Ed peke yake juu ya kukosa usajili wa midfielder 1 na striker mbadala wa lukaku....

Atatutesa sana, kwa sababu yeye ni kocha bora na pia anapata kile anachokitaka kwa wakati na bei sahihiThis is why i love pep atatutesa sana yule jamaa mpaka aje kusepa
Ndio maana mimi nasema pogba ni mjinga, hii timu kama upo serious na kiwango chako kama mchezaji hautakiwa kuingia. Dybala na erikseni tungekuja kuwaharibu zaidi ya walivyo sasa. BOLINGO AMENIUMA SANAPre season imempa jeuri, subiri vipigo vianze ndio ataacha kucheka cheka wakati anafukuzwa.
Hebu itazame midfield ya mzee Pep ilivyoshona. Tunamtesa Pogba wa watu tu.

Lukaku vs rashford and martial??Lukaku aende hana mpango
Bolingo siyo mbovu, man u ndiyo mbovuLukaku aende hana mpango
Ndio maana mimi nasema pogba ni mjinga, hii timu kama upo serious na kiwango chako kama mchezaji hautakiwa kuingia. Dybala na erikseni tungekuja kuwaharibu zaidi ya walivyo sasa. BOLINGO AMENIUMA SANA![]()
No bilashaka wewe utakuwa ni shabiki wa sarsenalAman iwe nanyi
Endapo kesho kutwa man united akikubali kupokea kichapo cha haja mbele ya wababe wa Stanford basi ajiandae kushuka daraja
Hakuna asiyejua kuwa Chelsea ndo team yenye hali mbaya zaid ulimwengun kwa sasa, ndo team ambayo imeuza mchezaji tegemeo na imezuiwa kusajili
Ndo team ambayo imeamua tu liwalo liwe baada ya kocha wake kutimukia juventus na kumuita kocha ambaye hana uzoef kabisa Frank lampard
Ndo team ambayo imeita madogo ambao walikuwa wanakipiga huko ndondo kama akina mason mont na akina tamy Abraham na akina batshway ambao hata hawajulikan walikuwa wanacheza wapi
Ndo team ambayo wachezaji wake wote ni majeruh kama akina rudiger, wiliam,odoi,ngolo kante na cheek
Endapo man united aki suluhu au kufungwa bas ajiandae kushuka daraja
LONDON BOY