Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

England hajabeba 1996 Ni 1966 na wachezaji wa Man U waliokuwepo Ni Kama

1. Mzee mwenyewe Sir Bobby Charlton
2. John Connelly
3. Nobby Stiles

Source
en.m.wikipedia.org/wiki/1966_FIFA_World_Cup_squads

Na hi ndio All star team ya hio World cup
View attachment 1173751
Charlton unamuona Hapo?

Mwaka 1966 Charlton ndio alikuwa mchezaji Bora akachukua Hadi Uefa player of the year akimpita Eusebio.

Na amepewa Hilo jina Sir na malkia wa Uingereza sababu ya Hio world cup.
Mkuu Ollachuga Anapaswa kieleweshwa kuna mambo mengi sana kwenye soka (hata yanayohusu Chelsea) huwa anaenda chaka
 
Ole ana mifumo miwili Mara nyingi.

4-2-3-1 na 4-3-3

Kama dyabala angekuja Ina maana Moja kwa Moja tungecheza 4-2-3-1 sababu mfumo huu unatumia no 10.

Na Kama mtu Kama Bruno ama midfiled nyengine inayopanda na kushuka anakuja pamoja na pogba ili uwachezeshe wore inabidi ucheze na midfield watatu yaani 4-3-3.

Yeye Ni kocha anajua zaidi japo sisi Mashabiki tuna mapenzi yetu pia ila tumpe nafasi, Mimi naamini OLE amepata support kubwa Kushinda LVG, Mou na Moyes, tumpe nafasi tuone atakavyofanya.
Mkuu upo sawa kabisa hapo juu

Ila hiyo Para ya mwisho, nina wasiwasi. So far Ole ni kama amepewa £140m kwa wachezaji 3

Lakini bado tuna mahitaji makubwa kwenye nafasi kadhaa, hasa kwenye creative midfielder position na right wing lakini dalili inaonesha hatutasajili mtu hapo.

Halafu £140m ni danganya toto, maana Rom anaondoka kwenda Inter kwa £70+ hivyo, net spending yetu itarudi £70 unless tusajili leo

Kwangu mimi amount iliyotengwa kununua Wachezaji sio hoja sana, hoja ni kupata watu tunaowahitaji katika nafasi husika

Kwa upande wa beki ya imani kuongezeka kwa Maquire na Wan Bissaka kutatusaidia sana. Ila going forward bado hatupo vizuri kiivyo, Dan James ataongeza kitu lakini tukumbuke ana miaka 21 tu, ametokea championship hivyo bado atakuwa na kaushamba flani
 
Mkuu kweli unaipenda Man United lakini kuwa Mkweli Mchezaji wa Man United aliyekuwa anacheza panga pangua katika World Cu ya 1996 ni Mmoja tu Sir Bobby Charlton.

Kwa ujumla Katika Top 6 hii ya sasa waliokuwa First XI ni:-

1) Bobby Charlton (Man United)
2) Roger Hunt (Liverpool)
3) Jimy Greaves (Spurs)
4) George Eastham (Arsenal)
Chelsea na Man City hazikuwa na mchezaji aliyekuwa akicheza hata sabs.

Na hizo 4 nilizozitaja zilikuwa na mchezaji mmoja tu kila timu ambaye alikuwa akipata namba, Waliobakia wote wanatoka Midtable teams ambazo kwa wakati huo zilikuwa Timu kubwa.
Duh Bob Charlton kacheza 1996

Kacheza world cup akiwa na miaka 58

Hii nayo kali
 
Huu mtindo wa kuweka release clauses unaumiza wachezaji wengi sana.
Trust me

Release clause is better than No Clause

If you have a release clause, once timu inayokutaka ikifika dau lazima timu yako ikuuze

Kama huna release clause timu inaweza kutaja dau lolote inalotaka ndio mchezaji aondoke
 
Hili dili la Dybala bado lina ukakasi sana kukamilika kwake aelekee Tot!
Wamekubaliana bei waliyokubaliana, ila challenge bado ni ile ile aliyopata united kuhusu mkataba wake Dybala, image rights zile pamoja na commissions!
 
Oi mmesikia tunamtaka Williams ..striker wa Athletic Bilbao..!?..ni replacement ya lukaku.. Dogo ni mzuri kwa kiasi chake..ana release clause ya £81Mill
Nimemtazama huyu dogo mkuu, United ingekuwa makini ingeongeza hiyo pesa ya Lukaku imchukue. Sioni tukifanya lolote kwa kumtegemea Rashford.
 
Mkuu upo sawa kabisa hapo juu

Ila hiyo Para ya mwisho, nina wasiwasi. So far Ole ni kama amepewa £140m kwa wachezaji 3

Lakini bado tuna mahitaji makubwa kwenye nafasi kadhaa, hasa kwenye creative midfielder position na right wing lakini dalili inaonesha hatutasajili mtu hapo.

Halafu £140m ni danganya toto, maana Rom anaondoka kwenda Inter kwa £70+ hivyo, net spending yetu itarudi £70 unless tusajili leo

Kwangu mimi amount iliyotengwa kununua Wachezaji sio hoja sana, hoja ni kupata watu tunaowahitaji katika nafasi husika

Kwa upande wa beki ya imani kuongezeka kwa Maquire na Wan Bissaka kutatusaidia sana. Ila going forward bado hatupo vizuri kiivyo, Dan James ataongeza kitu lakini tukumbuke ana miaka 21 tu, ametokea championship hivyo bado atakuwa na kaushamba flani
According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
 
Back
Top Bottom