Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ishu ya lukaku inabdi iwe solved kesho completely kama united inataka kufaidika kibiashara na kama wamenuia kweli kumtoa lukaku kweny mipango ya timu!

Nahic kama lukaku mustakabal wake hautapatikana kesho wakat dirisha la usajili kwa engalnd linafungwa compared na wa ligi zingine, kwa namna moja au nyingine basi "Market value" ya lukaku inaweza kuathirika kama united hawana mpango naye really!

Hii ishu wa-sort out mapema lukaku aondoke kama wamenuia! La sivyo, atauzwa £60m-£50m tena kwa kuomba wakat haikua plan zao kwa bei hiyo!

Haohao inter lukaku atanganganiza aende kwao akijua value ime-flop na hataki kubaki pale Theatre!
Kesho dirisha linafungwa kwa uingereza lakini timu za kutoka nje ya uingereza zinaweza kuchukua wachezaji wa epl kama kawaida...kwaio lukaku anaweza ondoka muda wowote tu
 
Lukaku anaenda inter na inasemekana Man u bado wanaongea na dyabala pia wapo tayari kutoa release close ya inaki williams wa athletic club 88euros million
 
Breaking news
Hatimaye lukaku atua inter milan!!!!
IMG_2661.JPG
 
Oi mmesikia tunamtaka Williams ..striker wa Athletic Bilbao..!?..ni replacement ya lukaku.. Dogo ni mzuri kwa kiasi chake..ana release clause ya £81Mill
 
Poor united..

Man u inapaswa kusajili CM kabla dirisha halijafungwa..embu imagine Pogba akiumia nani ataziba pengo lake!? Kipindi kile tulikuwa na Herrera..sshv yupo nani!?? Tutakuwa na hali mbaya kama hatutapata Cm.
 
Huyu dogo Dybala ni muoga sana,ameogopa ile hali ya kuwa mchezaji wa MUFC.

Ujio wa Eriksen ni muhimu sana kwetu, timu haina mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa.
Dyana demu wake anaitaka London kwa sababu ni fashionista(mtu ya fashion) hivyo London patamfaa zaidi. Manchester ni mji Fulani uliokaa ovyo ovyo sana kama nyuma ya friji.
 
Kwa hatua hii tuliyofikia bado kuna watu wataamini maneno ya ed na ole kuwa wanatafuta wachezaji wapigania beji,kweli?
 
Back
Top Bottom