Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anko Papy
IMG-20190807-WA0051.jpeg
 
Dili la Coutinho haliwezekani tena!

BREAKING: Barcelona midfielder Philippe Coutinho has turned down a loan move to Spurs! ❌⁣
⁣⁣
⁣Both Barcelona and the player would prefer a permanent deal but it is unlikely any Premier League team will match the £80m price tag.
 
Ndio maana masema, awekwe sokoni.

Mchezaji wa £80M ni huge deal.
Lukaku atakuwa amepanick na kuanza kumisbehave baada ya kuona haitajiki. Sasa inasemekana haliruhusiwa kufanyia mazoezi Belgium siku moja tu,alitakiwa arudi lakini hakurudi, sasa anapigwa fine ya utoro
 
Man U needs one striker na middle mmoja to be complete for next season.

Herrera is yet to be replaced now it seems lukaku will also not be replaced.
 
Kuna kinda 16 years wa Monaco kasign man u miaka 5, anajoin January baada ya kufikisha miaka 17. Huu usajiri hausemwi kabisa.
 
Rumours zimesurface tena kwamba Erikssen kaishakubaliana terms na man u. Mziki uko kwenye transfer fee na Tottenham.
 
Lukaku is said to be unhappy OGS kukataa kumuachia Pogba aondoke kama alivyoomba.
 
Huu mtindo wa kuweka release clauses unaumiza wachezaji wengi sana.
 
Ishu ya lukaku inabdi iwe solved kesho completely kama united inataka kufaidika kibiashara na kama wamenuia kweli kumtoa lukaku kweny mipango ya timu!

Nahic kama lukaku mustakabal wake hautapatikana kesho wakat dirisha la usajili kwa engalnd linafungwa compared na wa ligi zingine, kwa namna moja au nyingine basi "Market value" ya lukaku inaweza kuathirika kama united hawana mpango naye really!

Hii ishu wa-sort out mapema lukaku aondoke kama wamenuia! La sivyo, atauzwa £60m-£50m tena kwa kuomba wakat haikua plan zao kwa bei hiyo!

Haohao inter lukaku atanganganiza aende kwao akijua value ime-flop na hataki kubaki pale Theatre!
 
#Lukaku to #Inter for 65 M plus 13 of bonuses (some of them easy to reach, others more difficult) #MUFC @DiMarzio
 
Back
Top Bottom