Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,029
- 51,566
Sina uwezo wa bisaka. Na kukurekebisha tu. Hata man city wamewahi kumtaka maguire.Sasa mkuu vvd uwezo wake kitambo tu ulionekana, hata sisi Chelsea tulianza mfukuzia kitambo tu. Club nying kubwa zilimtaka..sasa kwa magwaya naona mumelamba garasa kimtindo, japo kuna game ana perform vizuri tu ..ila Bissaka apo uhakika anaeza kuja kuwa Patrice Evra kama Ole akimtumia vizuri.
Msimu wa 2017/2018 alikuwa mingoni mwa mabek wanaotakiwa. Licester wakamuongeza mkataba.
Vvd alikuwa wa kawaida akiwa southampton. Ubora umekuja ongezeka akiwa liverpool.
