Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona macho ya OLE yako kwa Mandzukic-33 yrs kama replacement ya Lukaku..!
Ole anadai anataka watu walioelekeza moyo utd, sasa sijui hili zee analotaka kuchukua for about 50 m, moyo wake upo utd?. Kama cio kuja kuwa kma chamacky kusubir magoli ya vichwa, coz hata kudribble halijui.

Af huyu ed n mpumbav mmoja hiv asiejua mpira anachojua yeye n pesa tu. Anachukulia ile timu kama chumba cha kupangisha cha wazee wa dar ambao hawarekebishi nyumba zao ila wanataka walipwe kodi kubwa.

Nakiona kibarua cha Ole sendeka kikiota nyasi ila kirusi ni huyu woodward
 
According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
Hahahahahahahahah........Tayari mmeshatafuta EXCUSE ya kujitetea wakati muda bado.
 
According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.
Imebaki £30m kwenye zile 100 zilizotajwa

Mwanzo sikuamini, lakini dalili zinaonesha hiyo ndio bajeti iliyotolewa na Glazers
 
According to Cooper ole alidemand Beki wa kulia, wa kati, creative midfield na winga wa kulia. Kama kawaida Woodward kazingua Tena, maana hata hizo 100 zilizokuwa Tetesi hazijatumika.

Mkuu samahani nieleweshe hapo nilipobold.

Maguire £85m
AWB £?
DJ £?

Sasa kivipi hazijafikia £100m kutumika?

Kuuliza si ujinga
 
Aman iwe nanyi

Endapo kesho kutwa man united akikubali kupokea kichapo cha haja mbele ya wababe wa Stanford basi ajiandae kushuka daraja

Hakuna asiyejua kuwa Chelsea ndo team yenye hali mbaya zaid ulimwengun kwa sasa, ndo team ambayo imeuza mchezaji tegemeo na imezuiwa kusajili

Ndo team ambayo imeamua tu liwalo liwe baada ya kocha wake kutimukia juventus na kumuita kocha ambaye hana uzoef kabisa Frank lampard

Ndo team ambayo imeita madogo ambao walikuwa wanakipiga huko ndondo kama akina mason mont na akina tamy Abraham na akina batshway ambao hata hawajulikan walikuwa wanacheza wapi

Ndo team ambayo wachezaji wake wote ni majeruh kama akina rudiger, wiliam,odoi,ngolo kante na cheek

Endapo man united aki suluhu au kufungwa bas ajiandae kushuka daraja

LONDON BOY
 
Back
Top Bottom