GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Kinachokufanya huamini bruno ataweza ni nini?Aje bruno....ericksen hatoweza kucheza vizuri na pp
Kinachokufanya huamini bruno ataweza ni nini?Aje bruno....ericksen hatoweza kucheza vizuri na pp
We jamaa mbishi aseeMkuu kweli unaipenda Man United lakini kuwa Mkweli Mchezaji wa Man United aliyekuwa anacheza panga pangua katika World Cu ya 1996 ni Mmoja tu Sir Bobby Charlton.
Kwa ujumla Katika Top 6 hii ya sasa waliokuwa First XI ni:-
1) Bobby Charlton (Man United)
2) Roger Hunt (Liverpool)
3) Jimy Greaves (Spurs)
4) George Eastham (Arsenal)
Chelsea na Man City hazikuwa na mchezaji aliyekuwa akicheza hata sabs.
Na hizo 4 nilizozitaja zilikuwa na mchezaji mmoja tu kila timu ambaye alikuwa akipata namba, Waliobakia wote wanatoka Midtable teams ambazo kwa wakati huo zilikuwa Timu kubwa.
Erisken naye anasema anataka kwenda spain
Yaani timu yetu haina tena mvuto..
29Bado masaa mangapi dirisha la usajili lifungwe?
Sanchez aliyekuwa ametoka kuwasha moto arsenal mbona ameflop??
Sasa Hivi utaskia xavi kashinda bahati nasibu, mteja Bora wa benki. Hawataki mchezo hao.Xavi's first Asian Champions League game as a manager didn't go to plan - he lost his shoe kicking a water bottle after his team Al-Sadd were denied a late penalty against Al-Duhail!View attachment 1174540
DohHii timu kwakweli ni tatizo, inawezekana kusiwe na usajili wowote.




Xavi's first Asian Champions League game as a manager didn't go to plan - he lost his shoe kicking a water bottle after his team Al-Sadd were denied a late penalty against Al-Duhail!View attachment 1174540
Sawa bossNenda kashangilie netball mkuu
Kwani Everton hawajamuona Phil Jones na Marcos RojoSky Sports: Manchester Utd turn down season-long loan offer from Everton for Chris Smalling. Good decision from United, can’t let him go before Rojo or Jones. At least Smalling generally stays fit and does have amazing performances in big games every now and then. Maguire, Lindelof, Tuanzebe and Smalling are good CB options. Rojo and Jones need to be binned first!
Ulitaka auze timu yote ?Timu yetu nayo daah
Uyu ole c alituahidi kuna wachezaji hatutawaona kwani ata build upya
Au alimaanisha herera na kna lukaku
Uyu mzee kama nayy azimo atuachie timu yetu
Kama Sanchez alivyoprove pale EPL.Yaani kuna watu wanamlinganisha Eriksen na Bruno ?
Yawezekana kweli Bruno ni talented ila kumlinganisha na Eriksen ni tusi kubwa sana kwa Eriksen.
Huyo eriksen ameshaprove hundred times pale epl kuwa ni mnyama hachoki, hafuji, hakosei ndiye aliyevaa viatu vya Luka Modric na Van de Vart pale Tottenham wote kwa pamoja.
Hukunielewa vizuri comment yanguKama Sanchez alivyoprove pale EPL.
Unadhani kuwika timu moja EPL ni guarantee ya kuwika timu nyingine kwenye hiyohiyo ligi??