Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Hili haliwezekani..no way this may happenBruno au Ericksen + Yule dogo wa Ajax au Ben Yeder waje tufunge usajili kuliko kukosa kabisa
Hili haliwezekani..no way this may happenBruno au Ericksen + Yule dogo wa Ajax au Ben Yeder waje tufunge usajili kuliko kukosa kabisa
Kwangu mimi siku hizi man u kutangaza usajili ni habari ya kushangazaIshu ya Bruno imezimwa ghafla na kivuli cha eriksen..
Aende tu aje Sean LongstaffErisken naye anasema anataka kwenda spain
Yaani timu yetu haina tena mvuto..
Hii ni ngumu sana kutokeaBruno au Ericksen + Yule dogo wa Ajax au Ben Yeder waje tufunge usajili kuliko kukosa kabisa
Basi hata top 4 itatushinda, labda 6/8Hili haliwezekani..no way this may happen
Hata Striker 1..? Kazi tunayo mwaka huu, na tukumbuke OLE alimalizia game zilizokuwa zimebaki.Hii ni ngumu sana kutokea
JUMA NYANGI WAKUTOA TU ALLIANCE ANAZIBA PENGO NA GEGO NA MWANYA WA POGBA VIZURI MNOVip huku bado mnambwela mbwela tu wachezaji wamewakataa
Ngoja mechi ya kwanza Zuma au David Luiz amvunje mguu Pogba,
Timu yetu inahitaji creativity zaidi, kwa muda uliobakia haijalishi anakuja Nani, Eriksen, Bruno au hata midfielder mwengine anaejua kutengeneza nafasi.
Nafikiri Bruno au Sean Longstaff watasajiliwaHata Striker 1..? Kazi tunayo mwaka huu, na tukumbuke OLE alimalizia game zilizokuwa zimebaki.
Lakini round hii anaanza yeye mwanzo kabisa, EPL sio kitoto .. akicheza Carrick atamalizia kama yeye.
Nini hiki ?
PochetinoET WANASEMA DYABALA ANAENDA TOTTENHAM KWA PAUND MILLION 70.....
Aende tu