Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Oryazabal a Man City target if Sane departs City

Hatari sana

Pep ataondoka City Man Utd Brand ikiwa imefifia
 
Perreira yupo vizuri sema hana nyota ya kutamkwa km ilivyokuwa kwa Rivaldo na Iniesta. Jamaa walikuwa wanashainisha timu zao ila misifa wanapata wenzao
Duh! Umempeleka level ya juu sana (Rivaldo&Iniesta ) n sayari nyingine ndugu
 
Bruno ni chaguo la kocha, tatizo n ed Woodward anataka mchezaji mwenye impact ndani na nje ya uwanji, so Bruno ni mzr ndan ya uwanja ila nje y uwanja hana impact
 
Jamani mwenye group au link y group la manutd aniunganishe au anitumie kwenye no 0718977712
 
Hata Denis Suarez mlimpata Kwa mkopo ukashangilia sana BTW Ceballos ni mchezaji mzuri
Kwako haikuwa habari ,ila kwetu ilikuwa habari

In a market where Maguire costs up to 80m If we can outsmart the market to get someone on loan that would be incredible.
 
Bruno ni chaguo la kocha, tatizo n ed Woodward anataka mchezaji mwenye impact ndani na nje ya uwanji, so Bruno ni mzr ndan ya uwanja ila nje y uwanja hana impact
Kwa hiyo unamaanisha Daniel James na Wan Bissaka wana impact nje na ndani ya uwanja? Au kwa vile bei zao ni chee ukilinganisha na ile ya Bruno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…