Kwa clip nilioiona ya Denis Suarez barca hawatakubal kumuuza uyu mtu
Ana mambo flan iv ambayo neymar alikua anayo na countinho, sasa yapo kwa mtu mmoja
Yan ana dribble mpira uku miguu ikipasiana, anaingia katikat ya mabek, anajaribu kushut nje ya box, penetrating pass yupo vyema na pia anakaba sasa barca wanamuuzaje uyu mtu
Mara ya mwisho barca alifanya hvyo kwa fabregas ambae kipaj chake hakikuonena ila uyu D.Suarez mimi binafsi ntakua wa mwisho kuamini
Barca wanamuhitah D.Suarez zaid ya arsenal
Sent using
Jamii Forums mobile app