Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tetesi zinasema alitaka 350K ili abaki.

Angepewa tu hasa ikizingatiwa ndiye mchezaji aliyekuwa na work rate nzuri kwa kipindi chote alichokuwa united baada ya wazza kwa mtizamo wangu mimi.
Hivi nguvu ya fedha ya man utd huwa inatunufaisha vipi kama linapokuja suala la usajili na mikataba tunakuwa bahili hivi?
 
Hapana Aisee, Ukimpa Herrera 350K Pogba na De Gea utawapa ngapi?

Issue mkuu sio hela Bali ni kutengeneza Umoja wa kitimu. Kama nilivyosema Comment ya juu huko, Alivyoondoka Ibra na Rooney Timu yetu ilikuwa more balanced kimshahara, wote walikuwa chini ya 300K, Hata matokeo yetu uwanjani yalikuwa mazuri Sana. Alivyokuja tu Sanchez na kupata 400K wachezaji kibao wakaanza kudai nyongeza na wao, alianza Martial, akaja de Gea akataka yeye ndio awe top Earner, Pogba Etc Na huwezi ukawalaumu Sana kwa viwango vyao vs huyo anayepata 400K

Unapomlipa Team player Kama Herrera ambaye Hata haqualify kuitwa world class 350K uta inflate mishahara ya watu wote.
 
IMG_0634.JPG

Halafu manchester united wanautaka ubingwa wa epl hahahaha tumeachwa mbali sana
 
Saiv target ni kwa nani tena? Mbn kama tetesi zimenyamaza ghafla?
target ni nyingi ila tunaoweza sajili mpaka sasa ni 3 tu Kati ya Maguire, diop wa Westham hpa tutasajili mmoja na kati ya Bruno Fernandes, Longstaff na adui wa damusin, Rice hapa tu aweza sajili wawili.........ila nnachoona wazi tujiandae kisaikolojia maana tunaweza sajili Maguire, Longstaff na Rice kama tutaendekeza uzawa
 
Tetesi zinasema alitaka 350K ili abaki.

Ilisemekana mia mbili au nyuma ya pazia ndio ilikuwa hivo? Ila ni sawa tu hata angedai mia nne. Wachezaji wengi wanadai hvo kwa kuangalia work rate ya pogba na hela anazopewa ni tofauti kabisa, Performance ya Alexis na hela anazochukua ni tofauti kabisa. Sasa akijiangalia yeye alivyokuwa anafia timu halafu sijui anchukua 80 huko ni ujinga. Ndio mana hata de gea inasemekana kadai 350 na imebidi wakubaliane nae.
 
Liverpool hatuhitaji wachezaji wa aina ya huyo uliyemsema ,mchezaji nusu ya akili yake kichwani inawaza kuvaa hereni, Kubadilisha mitindo ya nywele.
Si uliwahi kuwa na baloteli au siyo wewe au utasema kwa sababu hakusajiliwa na klop?
 
Mkuu Liverpool hatuna nafasi kwa mchezaji ambaye HE DON'T PLAY FOR BADGE mchezaji lazima awe na roho ya upambanaji kwa timu na hii itawagarimu sana.
 
Hapana Aisee, Ukimpa Herrera 350K Pogba na De Gea utawapa ngapi?

Issue mkuu sio hela Bali ni kutengeneza Umoja wa kitimu. Kama nilivyosema Comment ya juu huko, Alivyoondoka Ibra na Rooney Timu yetu ilikuwa more balanced kimshahara, wote walikuwa chini ya 300K, Hata matokeo yetu uwanjani yalikuwa mazuri Sana. Alivyokuja tu Sanchez na kupata 400K wachezaji kibao wakaanza kudai nyongeza na wao, alianza Martial, akaja de Gea akataka yeye ndio awe top Earner, Pogba Etc Na huwezi ukawalaumu Sana kwa viwango vyao vs huyo anayepata 400K

Unapomlipa Team player Kama Herrera ambaye Hata haqualify kuitwa world class 350K uta inflate mishahara ya watu wote.
Mie naamini hata rashford hakustahili £250k kwa wiki. Bado sana
 
Ilisemekana mia mbili au nyuma ya pazia ndio ilikuwa hivo? Ila ni sawa tu hata angedai mia nne. Wachezaji wengi wanadai hvo kwa kuangalia work rate ya pogba na hela anazopewa ni tofauti kabisa, Performance ya Alexis na hela anazochukua ni tofauti kabisa. Sasa akijiangalia yeye alivyokuwa anafia timu halafu sijui anchukua 80 huko ni ujinga. Ndio mana hata de gea inasemekana kadai 350 na imebidi wakubaliane nae.
Pogba hapati Hela nyingi Sana na No way performance ya Herrera inamzidi Pogba. Unless unafikiri kukaba ndio factor ya mshahara. Kwa hela anazoingiza Pogba ndani na nje ya uwanja mshahara wake ni wa kawaida Sana.
 
Herrera hajawahi kutaka mshahara wa £350k na hata huko PSG mshahara wake sio huo it's impossible Herrera awazidi kina Silva,Alves,Cavani,Mbappe,Di Maria azidiwe mshahara na Neymar tu (Neymar analipwa €500k)

The main problem ni how unasubiri mkataba wa mchezaji ufike mwisho ndio uanze negotiation mchezaji akifika hatua hiyo anakuwa na offer nyingi sana sababu anakuwa ni cheap hii mistakes imefanyika kwa Fellaini,Mata,Herrera na inaonekana itaendelea PSG wamempa Herrera mkataba wa miaka 4 + 1 year option United wangempa max ni 2 years
Hapana Aisee, Ukimpa Herrera 350K Pogba na De Gea utawapa ngapi?

Issue mkuu sio hela Bali ni kutengeneza Umoja wa kitimu. Kama nilivyosema Comment ya juu huko, Alivyoondoka Ibra na Rooney Timu yetu ilikuwa more balanced kimshahara, wote walikuwa chini ya 300K, Hata matokeo yetu uwanjani yalikuwa mazuri Sana. Alivyokuja tu Sanchez na kupata 400K wachezaji kibao wakaanza kudai nyongeza na wao, alianza Martial, akaja de Gea akataka yeye ndio awe top Earner, Pogba Etc Na huwezi ukawalaumu Sana kwa viwango vyao vs huyo anayepata 400K

Unapomlipa Team player Kama Herrera ambaye Hata haqualify kuitwa world class 350K uta inflate mishahara ya watu wote.
 
Herrera hajawahi kutaka mshahara wa £350k na hata huko PSG mshahara wake sio huo it's impossible Herrera awazidi kina Silva,Alves,Cavani,Mbappe,Di Maria azidiwe mshahara na Neymar tu (Neymar analipwa €500k)

The main problem ni how unasubiri mkataba wa mchezaji ufike mwisho ndio uanze negotiation mchezaji akifika hatua hiyo anakuwa na offer nyingi sana sababu anakuwa ni cheap hii mistakes imefanyika kwa Fellaini,Mata,Herrera na inaonekana itaendelea PSG wamempa Herrera mkataba wa miaka 4 + 1 year option United wangempa max ni 2 years
Actually Herrera anakula 300K Psg na mkataba wa miaka 5
 
Back
Top Bottom