Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gazzetta dello Sport journalist Nicolo Schira tweeted: “All confirmed: tonight Miguel Pinho (#BrunoFernandes' agent) will be in England to discuss the Bruno's deal to #ManchesterUnited.
“They have a telephone agreement by €6M a year plus bonuses.
“Now have to decide the strategy and offer for Sporting. #transfers #MUFC #mutd.”
 
IMG_5815.JPG
 
Kazi ya mishahara waachie wamiliki. Kwasababu ndo wanaweza kumlipa hivyo.

Kazi yako ni kushabikia ushindi.

Huyo mchezaji ajira yake ndo hiyo.
Hivi ni kweli hujui athari ya mishahara mikubwa kwa wachezaji wetu?

Hujiulize ni kwanini inakuwa kazi kuoffload wachezaji tusiowahitaji kikosini?
 
A na B yote sawa.....tuache tu mdau
Kwa hiyo mmeamua kufuata playbook ya projects za Poch na Klopp?
The question is: Mna patience ya rebuilding process ambayo normally takes 3-5 years hadi muwe true contenders?
Ama mtaamua kufuata Projects za Mourinho na Guardiola ambazo ni kumwaga mapesa ili kupata instant success in 1-2 years?
 
Inawezekana kwamba Maguire akawa anaonaekana ni expensive ila kwenye soko sasa hvi kuna beki mbadala ambae tunaweza kumnunua?
Mourinho kipindi anafukuzwa moja ya sababu kubwa kwake ilikua hakupata wachezaji sahihi maana alihtaji central back and nature winger hakupewa.
Kama OGS amaeamua kudeal na wazawa acha asajili hao ili baadae aje ahojiwe mafanikio / anguko lake kwa maamuzi ambayo anayafanya sasa hvi.
So far kwa aina ya wachezaj ambao ameshanunua akiongeza na Bruno plus Maguire sidhan kama team yetu itakua ina matatzo makubwa.
 
Kwa bei ya £75m ni ya kawaida tu kwa Soko la sasa. Ila watu wanachohoji ni uwezo wa Maguire mwenyewe! Wanasema beki huyu katika Maisha Yake yote ya soka kang'ara kwenye Kombe la Dunia tu, lakini baada ya Kombe la Dunia mpaka leo hajacheza vizuri kwenye Timu ya Taifa mpaka Club.
Je haoneshi kuwa ni type ya Lovren ambaye pia alicheza vizuri kwenye Kombe la Dunia mpaka akafikia kujiita Beki bora?

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo Washabiki wanayoyahoji Mkuu.
 
Yeah ni kwel si yule ambae ameonyesha kiwango kama cha kombe la Dunia, Tukija kwenye uhalisia Ukimuondoa Lindelof hawa Jones, Smalling, Baily wana kitu gan kumzid huyu Maguire?
 
Daniel James ni bad news kwa wapinzani, lets wait and prove

Wan Bissaka atasaidia sana defence inayovuja kwa sasa

Hakuna ubishi tunahitaji world class deffender

BF na kiungo mwingine wanahitajika kuongeza creativity na uimara wa kuilinda back four yetu

Pogba akiondoka tutahitaji kiungo wa tatu, yaani tusajili watu 3 wapya wa kati

Lukaku akiondoka tunahitaji mbadala wake, tukimtegemea Rashford, atazidiwa magoli hadi na midfielders

Msimu ujao, tunapaswa kumtafutia Luke Shaw mshindani wa namba, winger wa kulia na beki mwingine wa kati
 
Ninatamani kuona Bruno akisajiliwa mapema maana hata mata nae umri umekwenda
 
Back
Top Bottom