Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa bei ya £75m ni ya kawaida tu kwa Soko la sasa. Ila watu wanachohoji ni uwezo wa Maguire mwenyewe! Wanasema beki huyu katika Maisha Yake yote ya soka kang'ara kwenye Kombe la Dunia tu, lakini baada ya Kombe la Dunia mpaka leo hajacheza vizuri kwenye Timu ya Taifa mpaka Club.
Je haoneshi kuwa ni type ya Lovren ambaye pia alicheza vizuri kwenye Kombe la Dunia mpaka akafikia kujiita Beki bora?

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo Washabiki wanayoyahoji Mkuu.
Yaan sijui kina De ligt wanaopatikana kwa 60, hawaonekan ,

Nimeamini ukiwa na Negotiator na DOF utasajiri vzr bila kupigwa ovyo, na utauza vzr ,

Sasa hivi uwepo wa Michael Edward Mna enjoy ,
 
Yaan sijui kina De ligt wanaopatikana kwa 60, hawaonekan ,

Nimeamini ukiwa na Negotiator na DOF utasajiri vzr bila kupigwa ovyo, na utauza vzr ,

Sasa hivi uwepo wa Michael Edward Mna enjoy ,
Swala sio hawaonekani, je huyo De ligt yuko tayari kuja Man u, kucheza europa lig pamoja Smalling, Lingard na Rashford, aache kucheza CL, pamoja na bonucci, Chellin, bila kumsahau Ronaldo?

Halafu, kitu kingine, wachezaji wanaocheza timu za epl, sio rahisi kuwang'oa kwenye vilabu vyao kwa pesa ndogo
sababu vilabu vina hela. Timu kama Leicester city, Westham, Wolves, Everton n.k, zinamilikiwa na matajiri wakubwa. Ukitaka mchezaji kutoka kwenye timu hizo, lazima utoe mpunga wa kutosha. Maana hawana shida na ki hela chako.

Hii ni tofauti ukienda kuchukua mchezaji Sampdoria.

Kwahiyo hapo hata kama ukiwa na DOF gani .Timu inayouza inakuwa na nguvu, labda mkatapa uwe unaelekea ukingoni.

Note: simkubali Maguire.
 
Daniel James ni bad news kwa wapinzani, lets wait and prove

Wan Bissaka atasaidia sana defence inayovuja kwa sasa

Hakuna ubishi tunahitaji world class deffender

BF na kiungo mwingine wanahitajika kuongeza creativity na uimara wa kuilinda back four yetu

Pogba akiondoka tutahitaji kiungo wa tatu, yaani tusajili watu 3 wapya wa kati

Lukaku akiondoka tunahitaji mbadala wake, tukimtegemea Rashford, atazidiwa magoli hadi na midfielders

Msimu ujao, tunapaswa kumtafutia Luke Shaw mshindani wa namba, winger wa kulia na beki mwingine wa kati
Unamaanisha pogba ana thamani ya viungo watatu au unashauri timu iongeze viungo? Pogba kwa work rate yake hata akiongezeka kiungo Wa kawaida kama replacement yake na Fernandez inatosha
 
Unamaanisha pogba ana thamani ya viungo watatu au unashauri timu iongeze viungo? Pogba kwa work rate yake hata akiongezeka kiungo Wa kawaida kama replacement yake na Fernandez inatosha
No Pogba hawezi beba viungo 3 ndani yake mkuu

Ninachosema msimu huu ameondoka Fellini na Herrera na hakuna replacement iliyofanyika, hivyo tunahitaji angalau viungo wawili, hata asipoondoka Pogba

Na endapo Pogba ataondoka tunahitaji viungo watatu wapya sasa
 
Aaah tumesomana bro! Ni sahihi
 
Daah inauma
e75176e0724058e670f921af3c8af9af.jpg
 
Hongereni kwa kumnyakua AWB ni hatua nzuri sana, ila sioni mafanikio yeyote atakayopata chini ya Ole..
 
Tunategemea SUPER FRANKIE LAMPARD atafuata nyayo na ZIDDANE ZIZZOU na sio OLE SENDEKA
 
Back
Top Bottom