Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana Rais wa barca kakutana na kiongoz wa Atletico , dili linakamilika muda wowote
Jana hiyo hiyo unayosemea.

Obviously Atletico Madrid's answer was negative, understanding that both Barcelona and the player have disrespected Atletico Madrid and all their fans.
"As a consequence, today Atletico Madid have ordered the player, his sister in her capacity as his agent and his lawyer, that Antoine Griezmann must present himself on Sunday at the club to begin pre-season with the rest of his team-mates, in compliance with his contractual obligations.
"By way of this statement Atletico Madrid wish to express their deepest disgust at the behaviour of both parties, especially Barcelona, for having induced a player to break his contract with Atletico Madrid at a point in the season where the club was fighting not just for the Champions League against Juventus, but also La Liga itself against none other than Barcelona, something that we consider contravenes the established negotiation periods with players and distorts the basic rules that ensure the integrity of all sporting competition, as well as causing enormous damage to our club and our millions of fans."
 
Mkuu unadhani Antonio Gree anaeza kuja apo OT? yani aje acheze Europa kabisa?
 
Ikiwa Ole ataendelea na huyu kijana, Ole na Woodward wafukuzwe!
Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake

Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu

Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka

Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni
 
Hapa ndo namuona Ole ni dhaifu sana, unalazimishaje mchezaji acheze na wewe ikiwa mwenyewe anataka kuondoka? Mimi nashangaa sana, huyu jamaa ameonesha wazi kutoka kuondoka MUFC lakini bado Ole ana imani nae. Huyu mchezaji mmoja anaidhalilisha timu nzima.

Ole mzinguaji sana, sifahamu anataka kufanya nini, ila atambue kuwa, There is no time to build a team from scratch, no one does that anymore, kila kocha sasa ivi anatumia hela kununua wachezaji experience. Anatakiwa ajue kuwa mpira umebadilika saiv.
 
Inatakiwa anunuliwe mbadala kabla hajauzwa, maana timu zikiona tu umepata 100m ama 150M Kila sehemu wata inflate wachezaji wao.
 
Hapa ndo namuona Ole ni dhaifu sana, unalazimishaje mchezaji acheze na wewe ikiwa mwenyewe anataka kuondoka? Mimi nashangaa sana, huyu jamaa ameonesha wazi kutoka kuondoka MUFC lakini bado Ole ana imani nae. Huyu mchezaji mmoja anaidhalilisha timu nzima.

Ole mzinguaji sana, sifahamu anataka kufanya nini, ila atambue kuwa, There is no time to build a team from scratch, no one does that anymore, kila kocha sasa ivi anatumia hela kununua wachezaji experience. Anatakiwa ajue kuwa mpira umebadilika saiv.
Hii strategy so tulisha ijaribu? Kuna msimu tulikuwa na RVP, Di Maria, Falcao, Rooney, Mata, De Gea Etc lakini hatukufanya chochote.

Na wapo makocha wanaotengeneza Timu si kweli kwamba wote wananunua mfano Spurs, Atletico Madrid, Ajax, Monaco, Napoli, Dortmund, etc

Hata hizo Timu zinazonunua zinahitaji backbone kwanza, Man city Wana backbone ya Timu wanachofanya ni ku improve tu, same kwa timu kubwa Kama juve, Barca etc.

Kuna namba Man U zilikuwa hazina watu mfano beki wa kulia, winga wa kulia, kuna namba Kuna mtu mmoja tu Tena unakuta sio reliable mfano beki wa Kati wa kushoto na kiungo mkabaji. Tunahitaji tusajili kwanza tutengeneze UTI wa timu, tuwe na wachezaji 11 wa uhakika then baada ya Hapo tuta improve na wachezaji wazuri, hivi ndio Fergie alivyokuja akijenga timu.

Na Hata Ole akifeli usajili Kama Huu wa kina AWB utaifaidisha timu kivyovyote vile.
 
Hapa ndo namuona Ole ni dhaifu sana, unalazimishaje mchezaji acheze na wewe ikiwa mwenyewe anataka kuondoka? Mimi nashangaa sana, huyu jamaa ameonesha wazi kutoka kuondoka MUFC lakini bado Ole ana imani nae. Huyu mchezaji mmoja anaidhalilisha timu nzima.

Ole mzinguaji sana, sifahamu anataka kufanya nini, ila atambue kuwa, There is no time to build a team from scratch, no one does that anymore, kila kocha sasa ivi anatumia hela kununua wachezaji experience. Anatakiwa ajue kuwa mpira umebadilika saiv.
Pogba angepigwa bei mapema maana mimi naona hata akibaki msimi ujao atacheza kwa kujisikia tu...

Daka Bruno Fernandez,then tafuta decent holding midfielder..kazi kwisha

Hatuwezi kuwa na wachezaji ambao akili zao zipo valuvalu...
 
Hii strategy so tulisha ijaribu? Kuna msimu tulikuwa na RVP, Di Maria, Falcao, Rooney, Mata, De Gea Etc lakini hatukufanya chochote.
Kuuza star kisha ukashindwa kureplace ni tatizo lako mwenyewe. Lakini huwezi kuendelea kushikilia mchezaji ambae atakuja kutia sumu timu nzima. Sote tunajua kuwa Pogba akianza ukorofi, timu nzima anaipeleka chini!

Na wapo makocha wanaotengeneza Timu si kweli kwamba wote wananunua mfano Spurs, Atletico Madrid, Ajax, Monaco, Napoli, Dortmund, etc
Hizi timu ulizotaja zote, ndio timu za kutulelea wachezaji akisha timu kubwa kuja kununua. Huwezi kufananisha Totenham na MUFC, achilia MUFC, huwezi kuifananisha na Arsenal.

MUFC iko kwenye group ya EUROPEAN GIANTS,ni timu ambayo inaheshimika Europe na ni timu yenye influence. We are talking about competing and not participating, MUFC was built on competing. Real Madrid na Bayern umeona usajili wao, wale ndio unajua kama jamaa wapo kuchukua makombe na sio kupoteza mda. all those years, spurs amekuwa akibottle tu, how can you compete na timu ambazo zinanunua mizinga uhakika mkuu? MUFC is not competing with Spurs, We are competing with MCFC na LFC, RM, Barca, Bayern Munich, our competition got no time raise a team full of inexperience players
 
Kuuza star kisha ukashindwa kureplace ni tatizo lako mwenyewe. Lakini huwezi kuendelea kushikilia mchezaji ambae atakuja kutia sumu timu nzima. Sote tunajua kuwa Pogba akianza ukorofi, timu nzima anaipeleka chini!

Hizi timu ulizotaja zote, ndio timu za kutulelea wachezaji akisha timu kubwa kuja kununua. Huwezi kufananisha Totenham na MUFC, achilia MUFC, huwezi kuifananisha na Arsenal.

MUFC iko kwenye group ya EUROPEAN GIANTS,ni timu ambayo inaheshimika Europe na ni timu yenye influence. We are talking about competing and not participating, MUFC was built on competing. Real Madrid na Bayern umeona usajili wao, wale ndio unajua kama jamaa wapo kuchukua makombe na sio kupoteza mda. all those years, spurs amekuwa akibottle tu, how can you compete na timu ambazo zinanunua mizinga uhakika mkuu? MUFC is not competing with Spurs, We are competing with MCFC na LFC, RM, Barca, Bayern Munich, our competition got no time raise a team full of inexperience players
Mkuu wewe endelea kuishia 2013 na ikatae reality ila miaka 6 iliopita tumeingia top 4 mara 2 tu na hatujachukua ligi, ndani ya hiyo miaka timu zote hizo nilizozitaja Zina mafanikio kushinda sisi Kila idara kasoro huyo Spurs pengine, na yeye pia kwenye ligi ana uhakika wa top 4 kuliko sisi.

Miaka yote hiyo tumesajili ma super star hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kudai mishahara kikubwa, wanaijua ndio sehemu ya kutajirika Basi.
 
msimu ulioisha tumemsajili nani....??

halaf tatzo la man u tulikuwa tunasajili mtu mmoja kwa ajiili ya kumaliza matatizo ya timu nzima kitu ambacho hakiwezekan na ndo mana tunashindwana na pogba mana tulipomsajili tulitaka tupate ushindi tu bila kuangalia nafasi nyingine

tazama gurdiola alivobadili kikosi kizima cha city ndan ya msimu mmoja na mafanikio kayapata
 
Issue ya Guardiola mkuu tumeshaizungumzia humu, ni kazi ya kina Tixi Begiristain, mkuu usiangalie tu mafanikio ya nje ya club ukajua ndio sababu ya hayo mafanikio.

Kabla ya Pep, Man city walianza zamani kuchukua viongozi wa Barca, Huyo Tixi ndio Dof wa City Sasa hivi na yupo na wenzake wengi. Hao jamaa wanajua wanachokifanya na kabla pep kuja tayari walianza usajili wa wachezaji pep anaowataka ama kocha anaefanania na yeye. Ndio maana unaona kina de bruyne, Fernandinho, Sterling etc hawakusajiliwa na pep ila wanafit mfumo wake.

Hawasajili tu eti sababu Mchezaji Fulani makubwa anapatikana, Bali wanasajili Mchezaji anaecheza mfumo Fulani pekee, kifupi Wana identity Kama vile ilivyo Barca.

Upande wetu tuna jambazi kuu Woodward, yeye Maisha yake yote ni banker anajua tu hela, elimu yake ya mpira ni 0, ana mamlaka yote ya usajili, analeta watu ambao watauza zaidi jezi kuliko ku improve timu. Yupo Radhi namba ikae miaka 7 bila mtu as long as hajapata mtu anaemhitaji. Hata Guardiola angekuja Man U asingefanya lolote.

Na mkuu tumesajili watu kibao msimu wa kwanza tu wa LVG kama
-shaw
-Falcao
-Di Maria
-Blind
-Rojo
-Herrera

Wachezaji 6 dirisha moja.

Kifupi Mou na LVG wamesajili so chini ya wachezaji 23, ndani ya miaka 4, hio ni timu nzima.
 
Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake

Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu

Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka

Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni
Hahahahahahahahah.........Ni aibu sana kung'ang'ania mchezaji ambaye hana Consistently, He don't play for badge, Mchezaji mvivu ,Altitude mbovu,Endeleeni kujenga ya kumzunguka yeye tu hamna namna.
 
Pogba hapati Hela nyingi Sana na No way performance ya Herrera inamzidi Pogba. Unless unafikiri kukaba ndio factor ya mshahara. Kwa hela anazoingiza Pogba ndani na nje ya uwanja mshahara wake ni wa kawaida Sana.
Siyo kukaba tu, naongelea utimizaji Wa majukumu ktk nafasi yake kwa kiwango cha juu. Pogba hana passion ya kuipigania timu!
 
Huyu jamaa ilibidi wafanye mpango wa kuziba mapema pengo lake

Angeuzwa fasta tumchukue Ndombele na Bruno Fernandes, sasa Ndombele kashaenda Spurs na sisi tumebaki na kirusi chetu

Hivi unalazimisha vipi kubaki na mtu asiyekutaka

Tukisubiri sana Kirusi ataondoka, na wachezaji wa kuziba pengo lake hawatakuwepo sokoni
Man U nadhani wanania ya kumuuza ila hawataki ionekane ni rahisi sana kumpata huyu kirusi ili timu zinazokitaka hiki kirusi ziweke mpunga Wa maana
 
Back
Top Bottom